1 00:00:00,344 --> 00:00:03,564 Baadhi ya nguo zetu nyingi hazita tumika tena. 2 00:00:04,208 --> 00:00:09,448 99% zitaishia hapa, kutupwa na kuchomwa kwenye jaa. 3 00:00:09,958 --> 00:00:14,368 Dunia yetu sasa hivi haiwezi kufyonza kiasi kikubwa cha nguo 4 00:00:14,368 --> 00:00:15,920 zinazo tengenezwa kila mwaka 5 00:00:16,054 --> 00:00:18,274 je, ingekuaje kama hizo nguo zilizoharibika 6 00:00:18,274 --> 00:00:21,974 zingetengezwa na kubadilishwa kuwa vitu vingine 7 00:00:23,004 --> 00:00:25,981 Nimekuja katika mji wa Italy unao itwa Prato 8 00:00:26,216 --> 00:00:31,866 Mji huu umetaalimu mtindo wa kugeuza mabaki ya zamani kuwa nguo mpya 9 00:00:32,059 --> 00:00:34,239 Hutupa ufahari 10 00:00:34,443 --> 00:00:36,133 Kinacho tendeka hapa ni cha kipekee 11 00:00:36,530 --> 00:00:39,160 Kuna kampuni zaidi ya mia katika mji huu mdogo 12 00:00:39,160 --> 00:00:43,285 Na kila moja ina utaalamu wake katika sehemu moja ya utengenezaji 13 00:00:43,632 --> 00:00:46,992 Iwe ni uzungushaji, ushoneshaji au kubuni. 14 00:00:47,566 --> 00:00:49,299 Na leo, ajabu 15 00:00:49,299 --> 00:00:55,253 Mji huu wasemekana kutengeza 15% ya vifaa vinavyo tumika tena duniani 16 00:00:56,792 --> 00:00:58,125 kama hii ni shati yako 17 00:00:58,125 --> 00:01:01,715 kama imezeeka sana kutumika katika duka la msaada, hutumwa kurekebishwa 18 00:01:02,345 --> 00:01:06,175 Hapa, hutenganishwa na rangi alafu kuraruliwa , kuoshwa 19 00:01:06,516 --> 00:01:11,421 alafu kifaa hicho kipya cha kutumika tena huchukuliwa na kubadilishwa 20 00:01:11,421 --> 00:01:14,421 kutengeza nguo mpya yenye mabaki kidogo 21 00:01:16,178 --> 00:01:17,348 Tumeharakisha sana 22 00:01:18,009 --> 00:01:19,999 Turudie mchakato huo tena 23 00:01:20,546 --> 00:01:21,816 unatoa nguo msaada 24 00:01:22,621 --> 00:01:25,891 zinafika hapa kutoka nchi nyingi tofauti 25 00:01:26,199 --> 00:01:29,394 Nguo zote zinazo weza kuuzwa mtumba 26 00:01:29,394 --> 00:01:31,854 zinapelekwa katika kampuni hii iliokuwa karibu 27 00:01:32,892 --> 00:01:35,903 Hapa, hazitenganishwi na rangi tu 28 00:01:36,251 --> 00:01:38,051 pia nyenzo 29 00:01:38,767 --> 00:01:40,717 Nadhani hizi zilikua suruali 30 00:01:40,989 --> 00:01:44,348 Nguo kama ngapi hapa mwazitengeza upya? 31 00:01:44,691 --> 00:01:46,890 Takriban tani 25 kila siku. 32 00:01:47,892 --> 00:01:49,762 Hizo nguo zaekwa hapa 33 00:01:49,828 --> 00:01:52,278 Inaitwa Carbonizing Machine 34 00:01:52,363 --> 00:01:55,014 Hutoa uchafu wote kutoka kwa pamba 35 00:01:55,832 --> 00:01:57,151 alafu hupitia hapa 36 00:01:57,764 --> 00:02:00,314 Ni kama mashini kubwa ya kufua 37 00:02:00,543 --> 00:02:03,723 Hukatwa katwa, kusafishwa na kukaushwa 38 00:02:04,633 --> 00:02:06,243 Hii ndio bidhaa ya mwisho. 39 00:02:06,709 --> 00:02:12,519 Nguo zako nzee zimebadilishwa kuwa pamba nyembamba nzuri. 40 00:02:13,393 --> 00:02:14,976 Katika mchakato wa mwisho 41 00:02:14,976 --> 00:02:18,916 Hivi ndivyo bidhaa vya mwisho hua 42 00:02:19,376 --> 00:02:23,226 Hubadilishwa hapa mpaka chapa ya mitindo kuvinunua 43 00:02:23,461 --> 00:02:25,454 na kuvitumia kutengeza nguo 44 00:02:25,678 --> 00:02:30,088 Watu wengine husema kuwa mnatumia taka taka kutengeza nguo 45 00:02:30,390 --> 00:02:33,154 Hivi ndivo kulikua miaka ya zamani kidogo. 46 00:02:33,154 --> 00:02:36,799 Neno "taka taka" lilikua tusi. 47 00:02:37,101 --> 00:02:40,331 ila siku hizi, chapa ya mitindo mingi... hununua vifaa vyangu kwa sababu yake 48 00:02:40,331 --> 00:02:45,349 Kwa sababu wanajua kurejelea matumizi ya rasilimali itaokoa sayari. 49 00:02:47,233 --> 00:02:50,213 Matumizi ya pamba tena ni jambo zuri katika mazingira 50 00:02:50,373 --> 00:02:53,075 uzalishaji wa c02 ni zaidi ya nusu 51 00:02:53,075 --> 00:02:56,401 ukilinganishwa na utoleshaji wa nguo kutumia nyenzo mpya 52 00:02:56,672 --> 00:02:59,916 Tuna athari ya haraka kwa ustawi ya wanyama 53 00:02:59,916 --> 00:03:02,976 kwa sababu unapunguza mkazo kwamba unapaswa kuekea wanyama 54 00:03:03,115 --> 00:03:04,215 ili kupata pamba 55 00:03:04,530 --> 00:03:06,540 ukaribu sawa na kuondoa rangi kabisa 56 00:03:06,540 --> 00:03:10,115 Kwa sababu ya vile pamba hutengenezwa tena kutenganisha kwa rangi 57 00:03:11,352 --> 00:03:15,172 Njia hii imepitishwa kutoka kwa baba mpaka kwa mwanawe 58 00:03:16,076 --> 00:03:17,712 Mila za Prato 59 00:03:17,712 --> 00:03:21,006 Ni mila ambazo zinahatijika katika tasnia nzima ya mitindo 60 00:03:21,006 --> 00:03:24,172 kwa sababu yategemea na ushirikani wa undani 61 00:03:24,286 --> 00:03:26,938 lakini wana uwezo wa kuenyesha vipi 62 00:03:26,938 --> 00:03:29,728 hivi vitu vya chukuliwa katika kiwango cha taifa au kimataifa 63 00:03:30,351 --> 00:03:32,034 Sekta nzima inaeza kufaidika 64 00:03:32,916 --> 00:03:36,236 Watu wa mji huu walilazimika ku tengeneza nguo zao upya 65 00:03:36,659 --> 00:03:38,819 kwa sababu hawange weza kununua nguo mpya 66 00:03:39,111 --> 00:03:43,751 sasa mitindo yao, iliotumika zaidi ya miaka mia, 67 00:03:43,950 --> 00:03:47,850 inaweza kutoa njia mbele kwa ulimwengu wa mitindo endelevu zaidi. 68 00:03:48,160 --> 00:03:51,060 Subtitles by Hafidha Ahmed