Swahili subtitles

← Njia ya kuwapatia elimu ya juu na ajira kwa wakimbizi

Get Embed Code
59 Languages

Showing Revision 9 created 10/02/2020 by Hanningtone Omollo.

 1. Saida Aden Said: Bado nina taswira hii
  mbaya katika kumbukumbu zangu.
 2. ningeweza ona watu wakianguka chini,
 3. milio ya risasi.
 4. Niliogopa sana.
 5. Kwa kweli, nililia sana.
 6. Mtu aliyewajua baba na mama yangu
  akanishika mkono, akisema,
 7. "Twenda! Twende! Twende!"
 8. Nikawa nasema," Mamangu yuwapi?
  Mama yangu? Mama yangu?"
 9. Noria Dambrine Dusabireme:
  Usiku tungesikia milio ya risasi,

 10. tulisikia bunduki,
 11. Uchaguzi ulitakiwa kufanyika.
 12. Vijana walienda barabarani,
 13. walikuwa na migomo.
 14. Na vijana wengi walifariki
 15. SAS: Tulipanda gari.

 16. Lilikuwa limejaa sana
 17. Watu walikimbia kunusuru maisha yao,
 18. Hivi ndivyo nilivyochipuruka Somalia.
 19. Mama yangu alinimisi sana.
 20. Hakuna yeyote aliyemweleza nilikokwenda.
 21. NDD:Ukweli ni kwamba,
  hatukusoma,

 22. Hatukuweza kwenda sokoni,
  tulibaki nyumbani tu
 23. ikanifanya nijue kuwa ningepata
  nafasi ya kuchagua kitu kizuri,
 24. ningeweza kukichagua na kuwa na
  maisha bora mbeleni.
 25. (Muziki)

 26. Ignazio Matteini: Duniani,
  idadi wa watu walio uhamishoni

 27. imekuwa ikiongezeka
 28. Sasa takriban watu Millioni 60
  wako uhamishoni duniani
 29. Na kwa bahati mbaya, haipungui.
 30. Chrystina Russell:Nafikiri jamii
  ya misaada kibinadamu

 31. inaanza kugundua kutokana na
  utafiti na uhakika
 32. tunaongelea tatizo la kudumu zaidi
 33. Baylie Damtie Yeshita: Wanafunzi hawa,
  wanahitaji elimu ya juu,

 34. shahada wanayoweza kuitumia.
 35. Ikiwa wanafunzi wanaishi Rwanda sasa,
 36. Ikiwa watahama,
  bado wataendelea na masomo yao.
 37. Bado, shahada yao itakuwa na maana,
  kokote wako
 38. CR: Mradi wetu wa kijasiri
  ulikuwa ni kwa ajili ya kupima

 39. Vuguvugu la Elimu Ulimwenguni la Chuo cha
  New Hampshire ya Kusini
 40. uwezo wa kukuza
 41. shahada za kwanza na
  mifumo ya kupata ajira
 42. kufikia wahamiaji na wale ambao
  wasingeweza kufikia elimu ya juu
 43. SAS: Kama mhamiaji,
  ni changamani

 44. kujiendeleza kielimu
  na kitaaluma.
 45. Jina langu ni Saida Aden Said,
 46. Na ninatokea Somalia,
 47. Nilikuwa na miaka tisa,
  nilipokuja Kakuma,
 48. na nikaanza shule nikiwa na miaka 17
 49. Kwa sasa nafanya shahada yangu ya kwanza
 50. na SNHU.
 51. NDD: My name is Noria Dambrine Dusabireme.

 52. Ninasomea shahada ya kwanza ya sanaa
  katika mawasiliano
 53. nikijikita katika masuala ya biashara.
 54. CR:Tunahudumia wanafunzi kutoka
  nchi tano tofauti:

 55. Lebanon, Kenya, Malawi,
  Rwanda na Afrika ya Kusini.
 56. Tunafurahia wahitimu wa kiwango cha AA
  800 na zaidi ya 400 wa shahada ya kwanza
 57. na karibu wanafunzi 1000
  walioandikisha kwa sasa.
 58. la ajabu, tunaangazia maisha ya
  wakimbizi kama yalivyo.

 59. Hakuna ubaguzi kitabaka
 60. Hakuna mihadhara.
 61. Hakuna tarehe za mwisho
 62. Hakuna mitihani ya mwisho.
 63. shahada hili linapima uwezo
  na haujafungwa na muda.
 64. Unachagua muda wa kuanza mradi wako.
 65. Unachagua utakavyoikabili
 66. NDD:Unapofungua jukwaa,
  ndipo unapoweza kuona malengo.

 67. Kwenye kila lengo, tunaweza kupata miradi.
 68. Unapofungua mradi,
  unakutana na uweza
 69. ambao unatakiwa kumudu,
 70. uelekeo
 71. na muhtasari wa mradi,
 72. CR: Kiungo muhimu cha SNHU

 73. ni kujumuisha usomaji kwa kuangalia
  uwezo
 74. pamoja na usomaji wa pamoja na washirika
 75. ili kuwa na msaada pande zote
 76. Hii ni pamoja na ufundishaji kitaaluma.
 77. Inamaanisha msaada saikolojia-jamii,
 78. msaada wa kimatibabu,
 79. na pia ni ule msaada wa mlango
  wa nyuma wa ajira
 80. ndiyo inasababisha
  hitimu kwa asilimia 95,
 81. na asilimia 88 kuajiriwa,
 82. NDD: mimi mzoezi wa
  vitendo ya kuratibu mitandao ya kijamii.

 83. Inahusiana na shahada ya
  mawasiliano ninayoifanya.
 84. Nimejifunza mambo mengi
  katika mradi huu na dunia halisi.
 85. CR: Mazoezi ya vitendo yanayoongozwa
  ni nafasi

 86. kwa wanafunzi kufanyia mazoezi ujuzi wao
 87. kwa sisi kutengeneza daraja katika
  mazoezi kwa vitendo
 88. na upatikanaji wa nafasi za kazi baadae.
 89. (Muziki)

 90. Hii ni modeli ambayo inazuia
  kuweka muda

 91. na sera za chuo kikuu
  na utaratibu kipao mbele
 92. na badala yake unamweka mwanafunzi
  kileleni
 93. IM: Modeli ya SNHU ni njia kubwa ya
  kutikisa mti.

 94. Kubwa
 95. ni mtikisiko mkubwa kwenye njia ya
  asili ya elimu ya juu hapa
 96. BDY:inaweza badilisha maisha
  ya wanafunzi

 97. kutoka katika hali ya mashaka na
  ukimbizi
 98. NDD: nikipata shahada

 99. naweza rudi na kufanya
  kazi popote nitakapo
 100. Ninaweza kufanya shahada ya pili
  kwa ujasiri katika Kiingereza,
 101. kitu nisingewazia
  hapo awali
 102. Na nina ujasiri na ujuzi unaohitajika
 103. kwenda na kupambana katika
  mazingira ya kazi
 104. bila kujali kuwa nitaweza.
 105. SAS: Nilitaka kufanya kazi na jamii.

 106. Nataka kuanzisha shirika isiyo ya faida
 107. Tunahimiza elimu ya wanawake.
 108. Ninataka kuwa mtu ambaye
  ni kama balozi
 109. na kuwashawishi kusoma
 110. na kuwaambia hawajachelewa.
 111. Ni ndoto