< Return to Video

Hisia Zangu Sio Nahodha Wa MOYO Wangu!

  • 0:00 - 0:07
    Ninakataa kuchafuliwa na kile ambacho hakinifafanui.
  • 0:07 - 0:12
    Ninakataa kuabudu maneno ambayo hayafanyi kazi.
  • 0:12 - 0:19
    Nakataa kupotoshwa na habari potofu za shetani!
  • 0:19 - 0:21
    Wanaweza kuniumiza lakini hawanishiki.
  • 0:21 - 0:25
    Wanaweza kunidhulumu lakini hawanimiliki. Hapana!
  • 0:25 - 0:29
    Ninaweza kujisikia vibaya lakini hisia zangu sio nahodha wa moyo wangu.
  • 0:29 - 0:32
    Hisia zangu sio usukani wa roho yangu.
  • 0:32 - 0:35
    Mimi si mtumwa wa hisia zangu.
  • 0:35 - 0:40
    Ndiyo, naweza kuitikia katika mwili lakini sitawaliwi na mwili.
  • 0:40 - 0:41
    Asante, Yesu!
Title:
Hisia Zangu Sio Nahodha Wa MOYO Wangu!
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:42

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions