< Return to Video

Nimemjaribu MUNGU na kumuona kuwa nimwaminifu!

  • 0:00 - 0:03
    Shikilia sana ujasiri wako katika Neno la Mungu
  • 0:03 - 0:07
    hata pale ambapo imani yako inapojaribiwa.
  • 0:07 - 0:11
    Awe ameniponya au la, Yeye ndiye Mponyaji wangu.
  • 0:11 - 0:13
    Ikiwa ataondoa hali hii au la,
  • 0:13 - 0:15
    Yeye ndiye Mwokozi wangu.
  • 0:15 - 0:18
    Iwe ameniokoa au la, Yeye ni Mwokozi wangu.
  • 0:18 - 0:21
    Atanirejesha au la, Yeye ndiye Mrejeshaji wangu.
  • 0:21 - 0:23
    Huu ni ujasiri wangu.
  • 0:23 - 0:25
    Sina mbadala mwingine.
  • 0:25 - 0:26
    Sina njia nyingine.
  • 0:26 - 0:28
    Nimemjaribu Mungu na kumwona kuwa ni wa kutumainika.
  • 0:28 - 0:31
    Nimemjaribu Mungu na kumuona anategemewa.
  • 0:31 - 0:36
    Nimemjaribu Mungu na kugundua kuwa ni kweli, anastahili.
Title:
Nimemjaribu MUNGU na kumuona kuwa nimwaminifu!
Description:

Onjeni mwone ya kuwa Bwana ni mwema! “Shikilia sana tumaini lako katika Neno la Mungu hata pale imani yako inapojaribiwa. Awe ameniponya au la, Yeye ndiye Mponyaji wangu. Ikiwa ataondoa hali hii au la, Yeye ni Mwokozi wangu. Iwe ameniokoa au la, Yeye ni Mwokozi wangu. Iwe Amenurejeshea au la, Yeye ndiye Mrejeshaji wangu. Huu ni ujasiri wangu. Sina mbadala mwingine. Sina njia nyingine. Nimemjaribu Mungu na kumwona kuwa ni mwaminifu. Nimemjaribu Mungu na kumuona kuwa anategemeka. Nimemjaribu Mungu na kumwona kuwa wa kweli, anastahili.”

Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Kaka Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=e1RgtTO_W38

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:36

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions