KUPANDISHWA CHEO hadi kuwa Mkuu kwa ngazi ya Mkoa Baada ya Miaka Nane ya Kudumaa Kazini!
-
0:00 - 0:05Nilikuwa na udumavu kwa karibu
miaka minane katika kupandishwa cheo kazini. -
0:05 - 0:07Nilijaribu awali nikashindwa.
-
0:07 - 0:12Kisha nikasema, 'Acha nifanye kazi kwa kanuni ya Mungu' kwa sababu nilikuwa nikitumia fomula yangu mwenyewe.
-
0:19 - 0:27Ninazungumza na taaluma yako. Kazi yako -
ulindwe kwa damu ya Yesu Kristo! -
0:27 - 0:33Utengwe kwa ajili ya mafanikio ya kimungu
katika kazi yako! -
0:35 - 0:40Jina langu ni Joseph.
Nimeunganishwa kutoka Namibia. -
0:40 - 0:44Ushuhuda wangu wa ajabu ni
kuhusu mafanikio ya kazi. -
0:44 - 0:49Nilikuwa na udumavu kwa karibu
miaka minane bila kupandishwa cheo. -
0:49 - 0:55Nilijaribu niwezavyo hapa na pale.
Kisha nikagundua kuwa mambo hayafanikiwi. -
0:55 - 0:58Nilijaribu awali nikashindwa.
-
0:58 - 1:01Nilisema, 'Acha nifanye kazi na fomula ya Mungu'
kwa sababu nilikuwa nikitumia fomula yangu mwenyewe. -
1:01 - 1:06Ndipo nikaamua kuwasiliana na
TV ya Moyo wa Mungu mwaka jana (2024). -
1:06 - 1:11Nilituma ombi la maombi kuhusu nafasi ambayo ilitangazwa katika wizara yetu ya serikali.
-
1:11 - 1:13Ilikuwa ni kupandishwa cheo.
-
1:13 - 1:19Na kisha mnamo Desemba 7, nilialikwa kujiunga na Huduma ya Maombi ya Pamoja.
-
1:19 - 1:23Wakati wa Maombi ya Pamoja na
Ndugu Chris, ilikuwa 'kawaida' tu. -
1:23 - 1:25Sikuweza kuhisi au kujidhihirisha kwa namna yeyote.
-
1:25 - 1:27Nilikuwa tu pale nikisikiliza alipokuwa akituombea.
-
1:27 - 1:34Lakini baada ya kutuombea, nilijua 2025 ndio mwaka ambao mambo yangebadilika katika maisha yangu.
-
1:34 - 1:39Kisha nikawa na imani hiyo kwamba mambo yangebadilika kupitia maombi ya Ndugu Chris.
-
1:39 - 1:41'Ameniombea.
Najua mambo yatabadilika.' -
1:41 - 1:45Kwa hivyo kilichotokea ni kwamba baada ya kujiunga na
Ibada ya Maombi ya Pamoja, -
1:45 - 1:51wiki iliyofuata,
nilialikwa kwa ajili ya mahojiano. -
1:51 - 1:57Nilikwenda kwenye mahojiano -
hiyo ilikuwa Desemba 20. -
1:57 - 2:01Baada ya kufanya mahojiano,
nilirudi nyumbani. -
2:01 - 2:05Mnamo Januari, nilituma
maombi mengine kwa Ndugu Chris, -
2:05 - 2:11ambapo nilialikwa kwenye Ibada ya Pamoja ya Maombi mnamo Februari 1.
-
2:11 - 2:14Nilihudhuria Ibada ya Maombi ya Pamoja.
-
2:14 - 2:18Alituombea na kusema tunapaswa kutangaza kwamba tumetiwa alama kwa ajili ya upendeleo wa Mungu.
-
2:18 - 2:21Nikasema, 'Nimewekewa alama ya upendeleo wa Mungu.'
-
2:21 - 2:24Na kisha kutoka hapo,
aliomba kwa ajili ya kupandishwa cheo kwetu. -
2:24 - 2:28Wiki iliyofuata, nilipokea
barua ya miadi -
2:28 - 2:34kwamba mimi ni mmoja wa watu waliobahatika
kupata cheo hicho. -
2:34 - 2:40Kwa hiyo nilipandishwa cheo. Kisha kutoka hapo,
niliambiwa kwamba lazima niende kuripoti -
2:40 - 2:42kwenye kituo changu kipya cha kazi.
-
2:42 - 2:46Kisha niliondoka Machi 1 na kwenda
kuripoti katika kituo changu kipya cha kazi. -
2:46 - 2:49Mimi ni msimamizi wa wilaya.
-
2:49 - 2:53Zaidi ya hayo, ninasimamia
wafanyikazi wote. -
2:53 - 2:56Nina vituo vidogo vinavyoripoti kwangu.
-
2:56 - 3:00Mimi ndiye ninayesimamia
meli zote za serikali ofisini. -
3:00 - 3:05Shughuli za kawaida za kila siku
huratibiwa na mimi. -
3:05 - 3:11Kwa hivyo hizo ni sehemu za majukumu ninayofanya katika kituo kipya cha kazi.
-
3:11 - 3:14Kwa sasa, niko katika uhifadhi wa asili.
-
3:14 - 3:17Kwa hiyo, sisi ni watu wa kutunza maliasili.
-
3:17 - 3:24Ushuhuda wangu wa pili - kama nilivyosema,
nilialikwa tarehe 1 Februari -
3:24 - 3:29kwa sababu niliandika ombi lingine la maombi
linalohusiana na maisha yangu ya ndoa. -
3:29 - 3:34Kila tulipokuwa tukikutana kama mume na mke, asubuhi iliyofuata,
-
3:34 - 3:39tungejisikia kuchoka sana kana kwamba tumebeba mifuko ya simenti mabegani.
-
3:39 - 3:43Kwa hivyo ilinisumbua mimi na mke wangu pia.
-
3:43 - 3:50Nikasema, 'Lakini kwa nini?' Kwa hiyo niliamua kupeleka ombi la maombi kwa Ndugu Chris ili atuombee.
-
3:50 - 3:54Kwa hiyo baada ya maombi hayo, suala zima,
tatizo zima lilikuwa limekwisha. -
3:54 - 3:57Sasa tuna furaha. Tuna ndoa yenye furaha.
-
3:57 - 4:02Mimi na mke wangu - tunaweza kukaa, tunazungumza,
tunashirikishana mawazo. -
4:02 - 4:05Mambo yanakwenda vizuri.
Tunafurahia ndoa yetu. -
4:05 - 4:09Je, unaweza kutuambia sasa ni neno gani la ushauri wako kwa watazamaji wanaokusikiliza?
-
4:09 - 4:15Tunahitaji tu kumshirikisha Mungu katika kila jambo - katika sehemu zote mbili, kazini kwetu na kwenye maisha yetu ya ndoa.
-
4:15 - 4:19Tunahitaji tu kumshirikisha Mungu katika kila jambo tunalofanya, ili mambo yawezekane kwetu.
- Title:
- KUPANDISHWA CHEO hadi kuwa Mkuu kwa ngazi ya Mkoa Baada ya Miaka Nane ya Kudumaa Kazini!
- Description:
-
Baada ya kujiunga na Ibada ya Pamoja ya Maombi nchini Namibia na kujisalimisha kwneye 'mfumo wa Mungu', Joseph alitoka kwenye hali ya kudumaa hadi kupandishwa cheo - akiwa na shuhuda za ajabu za mkono wa Mungu ukifanya kazi katika kazi yake na maisha ya ndoa. Asante, Yesu Kristo!
Ili kupokea maombi bila malipo kutoka kwa Ndugu Chris kupitia Zoom, tuma ombi lako la maombi hapa - https://www.godsheart.tv/zoom - na Timu ya God's Heart TV itawasiliana nawe kupitia barua pepe kwa info@godsheart.tv
➡️ Pata Kutiwa Moyo Kila Siku kwenye WhatsApp - https://godsheart.tv/whatsapp/
➡️ Kuwa Mshirika wa TV wa Moyo wa Mungu - https://godsheart.tv/partnership
➡️ Habari kuhusu Maombi ya Mwingiliano - https://godsheart.tv/interactive-prayer/
➡️ Jitolee kama Mtafsiri wa TV ya Moyo wa Mungu - https://godsheart.tv/translate/
➡️ Shirikisha ushuhuda wako - https://godsheart.tv/testimony
➡️ Jiunge na Ibada yetu ya Maombi ya Moja kwa Moja Jumamosi ya kwanza ya kila mwezi - https://www.youtube.com/godshearttv/live - Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 04:49
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for PROMOTION To Regional Head After Eight Years Of Career Stagnation! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for PROMOTION To Regional Head After Eight Years Of Career Stagnation! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for PROMOTION To Regional Head After Eight Years Of Career Stagnation! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for PROMOTION To Regional Head After Eight Years Of Career Stagnation! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for PROMOTION To Regional Head After Eight Years Of Career Stagnation! |