Je,kutakuja kuwepo ghorofa la maili moja?
-
0:07 - 0:08Mwaka 1956,
-
0:08 - 0:10Msanifu majengo Frank Lloyd Wright
-
0:10 - 0:13Alitoa wazo la kujenga ghorofa la maili moja.
-
0:13 - 0:16Lingekuwa ghorofa refu zaidi duniani,
-
0:16 - 0:17Kwa yote--
-
0:17 - 0:20Mara tano ya urefu wa Eiffel Tower.
-
0:20 - 0:23Lakini wasahihishi wengi walimcheka msanifu majengo huyu,
-
0:23 - 0:26Wakibisha kwamba watu itabidi wasubiri masaa mengi lifti ije,
-
0:26 - 0:31Au jengo lenyewe linaweza kudondoka kutokana na uzito wake.
-
0:31 - 0:32Wahandisi Wengi walikubali,
-
0:32 - 0:35Ukiachana na umaarufu wa wazo hilo,
-
0:35 - 0:38Jengo la Titanic halikujengwa.
-
0:38 - 0:39Lakini leo
-
0:39 - 0:42Majengo marefu na makubwa yanajengwa duniani.
-
0:42 - 0:46Makampuni yanapanga maghorofa yenye urefu wa kilometa moja,
-
0:46 - 0:49Kama Jeddah tower Saudi Arabia,
-
0:49 - 0:52Mara Tatu ya Eiffel Tower.
-
0:52 - 0:53Hivi punde,
-
0:53 - 0:56Ndoto ya maili moja ya Wright inaweza itimie.
-
0:56 - 0:58Je ni nini kilichokuwa kinatuzuia
-
0:58 - 1:01Kujenga haya majengo makubwa miaka 70 iliyopita,
-
1:01 - 1:05Na tunajengaje kitu cha maili moja Leo?
-
1:05 - 1:07Kwenye ujenzi wowote ule,
-
1:07 - 1:12Kila ghorofa inatakiwa ishabihiane na ghorofa ya juu yake.
-
1:12 - 1:13Kadri urefu wa kujenga unavyoongezeka,
-
1:13 - 1:18Ndio mvutano na pressure kutoka ghorofa za juu kwenda za chini.
-
1:18 - 1:21Hii kanuni imetawala mfumo wa majengo yetu kwa muda mrefu,
-
1:21 - 1:25Kuwapelekea wasanifu majengo wa zamani,kupendelea ma piramidi yenye misingi mikubwa
-
1:25 - 1:27Ambayo ina sapoti Levo za juu nyepesi.
-
1:27 - 1:31Lakini hili suluhisho halimaanishi majengo ya mji--
-
1:31 - 1:35Piramidi refu hivyo linaweza kuwa na upana wa maili moja na nusu,
-
1:35 - 1:38Ngumu kuibana katikati ya mji.
-
1:38 - 1:43Lahasha,matirio ngumu kama sementi inaweza zuia huu muundo.
-
1:43 - 1:48Na majengo ya kisasa yanawekewa Chuma kwa ajili ya nguvu,
-
1:48 - 1:52Na polyma za kuzuia maji kuepusha kupasuka.
-
1:52 - 1:56Zege kwenye jengo refu zaidi duniani la Burj Khalifa la Dubai,
-
1:56 - 2:01Linaweza kustahimili presha ya tani 8000 Kwa mita ya mraba-
-
2:01 - 2:06Uzito wa zaidi ya tembo 1200 wa kiafrica!
-
2:06 - 2:08Atakama jengo lina jisapoti lenyewe,
-
2:08 - 2:10Bado linahitaji sapoti kutoka chini.
-
2:10 - 2:12Bila ya msingi,
-
2:12 - 2:16Majengo marefu yanamna hii yanaweza kuzama,kudondoka au kupinda.
-
2:16 - 2:19Kuepusha jengo refu la tani zaidi ya milioni kuzama,
-
2:19 - 2:27Zege 192 na chuma zilichimbiwa Mita 50 ndani.
-
2:27 - 2:30Mvutano katika ya mzigo na ardhi,
-
2:30 - 2:33Unalifanya hili jengo liendelee kusimama.
-
2:33 - 2:34Ukiachana na kuushinda mvuto,
-
2:34 - 2:36Unao livuta jengo chini,
-
2:36 - 2:40Ghorofa refu linatakiwa pia liushinde upepo,
-
2:40 - 2:42Unaotoka kila upande.
-
2:42 - 2:43Kwenye siku za kawaida,
-
2:43 - 2:49Upepo unaweza kutoa mpaka paundi 17 kwa mita mraba kwenye jengo refu--
-
2:49 - 2:52Kwa uzito wa gust wa mipira ya kuchezea.
-
2:52 - 2:55Kusanifu majengo yawe ya kubadilika angani,
-
2:55 - 2:57Kama ghorofa la China la Shanghai Tower,
-
2:57 - 3:00Inaweza punguza hiyo nguvu Mpaka robo.
-
3:00 - 3:03Na fremu zenye upepo ndani na nje ya jengo
-
3:03 - 3:06Inaweza kumeza nguvu ya upepo iliyobaki
-
3:06 - 3:08Kama kwenye jengo la Seoul la Lotte.
-
3:08 - 3:11Lakini hata baada ya haya yote,
-
3:11 - 3:14Unaweza ukajikuta unaenda mbele na nyuma
-
3:14 - 3:17Zaidi ya mita kwenye floo za juu kwenye kimbunga
-
3:17 - 3:20Kuepusha upepo kutingisha maghorofa,
-
3:20 - 3:25Majengo mengi hutumia kipimo chenye uzito wa tani nyingi
-
3:25 - 3:28Kinachoitwa "tuned mass damper".
-
3:28 - 3:30Jengo la Taipei 101,mfano,
-
3:30 - 3:35Limeweka Chuma kubwa ya duara kwenye ghorofa ya 87.
-
3:35 - 3:37Upepo ukija kwenye jengo,
-
3:37 - 3:39Hili duara linafanya kazi,
-
3:39 - 3:42Linameza nishati ya kinetic.
-
3:42 - 3:44Mizunguko yake inavyolifwata jengo,
-
3:44 - 3:47mzunguko wa hydraulic Kati ya mpira na jengo
-
3:47 - 3:49Unaibadilisha hiyo nishati ya kinetic kuwa joto,
-
3:49 - 3:52Na kupunguza kupepesuka kwa jengo.
-
3:52 - 3:55Na Technolojia zote hizi zilizopo,
-
3:55 - 3:58Majengo yetu yanasimama na kuwa imara.
-
3:58 - 4:03Lakini kusafiri kwenye jengo kubwa hivi ni changamoto pia.
-
4:03 - 4:04Kwa miaka ya Wright,
-
4:04 - 4:08Lifti za haraka zilitembea kilomita 22 kwa li saa.
-
4:08 - 4:14Bahati,lifti za sasa zina spidi zaidi,kusafiri kilometa 70 kwa saa.
-
4:14 - 4:18Na zinazokuja kutumia magneti zisizokuwa na msuguano
-
4:18 - 4:19Kwa spidi kubwa zaidi
-
4:19 - 4:23Na hesabu za traffic zinawagawa watumiaji kwa makundi
-
4:23 - 4:28Kuwafanya wateja na vyumba visivyokuwa Na watu vifike vinapotaka kwenda.
-
4:28 - 4:33Maghorofa yametoka mbali tangu Wright atoe wazo la ghorofa lake la maili moja.
-
4:33 - 4:35Yaliyowazwa kuwa ni mawazo yasiyowezekana zamani
-
4:35 - 4:38Yamekuwa ni nafasi kwa wasanifu majengo.
-
4:38 - 4:40Leo inaweza kuwa ni muda tu
-
4:40 - 4:44Mpaka jengo liende ile maili moja zaidi.
- Title:
- Je,kutakuja kuwepo ghorofa la maili moja?
- Speaker:
- Stefan AI
- Description:
-
Mwaka 1956, msanifu majengo Frank Lloyd Wright alitoa wazo la ghorofa la maili moja, jengo lenye urefu mara tano wa Eiffel Tower. Japokuwa jengo hili halikujengwa, Leo hii majengo makubwa makubwa yanajengwa duniani. Imekuwaje haya mawazo ambayo mwanzoni yalionekana hayawezekani kuwa fursa Kwa wasanifu majengo? Stefan AI anaelezea jinsi gani haya majengo yamekuwa sehemu ya anga yetu.
- Video Language:
- English
- Team:
closed TED
- Project:
- TED-Ed
- Duration:
- 04:44
![]() |
Julieth Mbeyella edited Swahili subtitles for Will there ever be a mile-high skyscraper? |