< Return to Video

Amini Mkono wa Mungu UNAFANYA KAZI hata kama huwezi kuona UANDISHI wa mkono wake!

  • 0:00 - 0:08
    Unapoweka kila kitu mikononi mwa Mungu,
  • 0:08 - 0:14
    hivi karibuni utaona mikono ya Mungu katika kila jambo.
  • 0:14 - 0:21
    Lazima uamini kwamba mkono Wake unafanya kazi
  • 0:21 - 0:27
    hata wakati ambao huwezi kufuatilia maandishi ya mkono Wake.
  • 0:27 - 0:35
    Labda naweza nisijue mwisho wa simulizi,
  • 0:35 - 0:40
    Lakini ninamwamini Mwandishi wa simulizi.
  • 0:40 - 0:46
    Labda naweza nisione picha kamili.
  • 0:46 - 0:50
    Lakini ninamwamini Mpangaji Mkuu.
  • 0:50 - 0:53
    Labda naweza nisione bidhaa iliyokamilishwa.
  • 0:53 - 0:57
    Lakini ninamwamini Mbunifu wa Kiungu.
Title:
Amini Mkono wa Mungu UNAFANYA KAZI hata kama huwezi kuona UANDISHI wa mkono wake!
Description:

"Unapoweka kila kitu mikononi mwa Mungu, hivi karibuni utaona mikono ya Mungu katika kila kitu. Lazima uamini kwamba mkono Wake unafanya kazi hata wakati huwezi kuyaona maandishi ya mkono Wake. Huenda nisijue mwisho wa hadithi, lakini ninamwamini Mtungaji wa hadithi hiyo. Huenda nisione picha kamili, lakini ninamwamini Mpangaji Mkuu. Huenda nisione bidhaa iliyokamilika, lakini ninamwamini Mbunifu wa Kiungu."

Unaweza kutazama mahubiri kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=jlsNWVnOE80

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:58

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions