Immigrant and Refugee Mental Health
-
0:04 - 0:05Hujambo, Jina langu ni Suzan Song,
-
0:05 - 0:09Mwelekezi wa Kitengo cha Tiba na Taaluma ya Ugonjwa wa Akili kwa Watoto, Vijana na Familia
-
0:09 - 0:10cha Chuo Kikuu cha George Washington,
-
0:10 - 0:12na Mshauri wa Kulinda Ubinadamu
-
0:12 - 0:15kwa waathiriwa wa uhamishaji
wa lazima kote duniani na nchini. -
0:15 - 0:17Kumekuwa na ongezeko la kipekee
-
0:17 - 0:19la idadi ya wakimbizi kote ulimwenguni,
-
0:19 - 0:23wakiwemo wakimbizi, watafuta
makao, wahamiaji wasio halali -
0:23 - 0:25na watoto walio pweke.
-
0:25 - 0:28Kote ulimwenguni, zaidi ya watu milioni 65
-
0:28 - 0:32kwa sasa ni wakimbizi kutokana
na vita, mateso au mgogoro wa kivita. -
0:32 - 0:36Kufikia mwanzo mwa 2018, takribani watoto milioni 31 kote ulimwenguni
-
0:36 - 0:38walifanywa wakimbizi kutokana na vurugu na migogoro.
-
0:38 - 0:40Iwapo mitindo hii ya sasa itaendelea,
-
0:40 - 0:43mtu mmoja kati ya watu mia moja
atakuwa mkimbizi hivi karibuni. -
0:43 - 0:46Kwa bahati mbaya, wakimbizi na
waathiriwa wengi wa uhamaji wa lazima -
0:46 - 0:48hawapokei huduma
inayohitajika ya afya ya akili. -
0:49 - 0:52kutokana na umakini wa huduma,
ukosefu wa kufikia huduma ya kitaalamu, -
0:53 - 0:54na shutuma dhidi ya matatizo ya akili.
-
0:55 - 0:57Wakimbizi ni wale ambao
wametoroka katika nchi zao halisi -
0:57 - 1:00kutokana na wasiwasi wa
mateso yaliyopangwa -
1:00 - 1:03yanayolingana na mbari, dini,
uraia, maoni ya kisiasa -
1:03 - 1:05au uanachama katika
kikundi fulani cha jumuiya. -
1:06 - 1:08Ingawa wakimbizi huomba
ulinzi wakiwa ughaibuni -
1:08 - 1:11na wanapewa ruhusa ya kuingia Marekani,
-
1:11 - 1:14Watu wanaotafuta
makao pia wana hofu ya mateso. -
1:14 - 1:17Lakini wanatafuta ulinzi wakiwa
ndani ya Marekani. -
1:17 - 1:19Wakimbizi na watu wengine
walioathiriwa na mzozo -
1:19 - 1:22waliripotiwa kuwa na
asilimia 15 hadi 30 ya -
1:22 - 1:23PTSD na mafadhaiko,
-
1:24 - 1:29ikilinganishwa na asilimia 3.5 ya PTSD
miongoni mwa wasio wakimbizi. -
1:29 - 1:31Mambo thabiti
yanayoashiria afya mbovu ya akili -
1:31 - 1:35ni kupitia mateso na matukio
mengi yanayosababisha kiwewe. -
1:35 - 1:39Lakini mateso, kutenganishwa na familia, michakato ya kuchosha ya mahali pa hifadhi,
-
1:39 - 1:41kutengwa na hali ngumu katika nchi unakoishi
-
1:41 - 1:43zote huongeza ubaya wa afya ya akili.
-
1:43 - 1:47
-
1:47 - 1:49
-
1:49 - 1:53
-
1:53 - 1:54
-
1:55 - 1:58
-
1:58 - 2:00
-
2:00 - 2:03
-
2:03 - 2:07
-
2:07 - 2:10
-
2:10 - 2:12
-
2:12 - 2:15
-
2:16 - 2:18
-
2:18 - 2:20
-
2:21 - 2:25
-
2:25 - 2:27
-
2:27 - 2:30
-
2:30 - 2:32
-
2:33 - 2:34
-
2:34 - 2:37
-
2:38 - 2:40
-
2:40 - 2:43
-
2:44 - 2:47
-
2:47 - 2:50
-
2:50 - 2:54
-
2:54 - 2:57
-
2:57 - 2:59
-
3:00 - 3:02
-
3:02 - 3:05
- Title:
- Immigrant and Refugee Mental Health
- Description:
-
- Video Language:
- English
- Team:
Amplifying Voices
- Project:
- Mental Health
- Duration:
- 03:13
![]() |
Eddie Simiyu Wafulah edited Swahili subtitles for Immigrant and Refugee Mental Health | |
![]() |
Eddie Simiyu Wafulah edited Swahili subtitles for Immigrant and Refugee Mental Health | |
![]() |
Eddie Simiyu Wafulah edited Swahili subtitles for Immigrant and Refugee Mental Health | |
![]() |
Eddie Simiyu Wafulah edited Swahili subtitles for Immigrant and Refugee Mental Health | |
![]() |
Eddie Simiyu Wafulah edited Swahili subtitles for Immigrant and Refugee Mental Health | |
![]() |
Eddie Simiyu Wafulah edited Swahili subtitles for Immigrant and Refugee Mental Health | |
![]() |
Eddie Simiyu Wafulah edited Swahili subtitles for Immigrant and Refugee Mental Health | |
![]() |
Eddie Simiyu Wafulah edited Swahili subtitles for Immigrant and Refugee Mental Health |