Maombi Mungu anajibu siku zote / Nabii TB Joshua
-
0:00 - 0:06Umekua ukifunga lakini Hakuna matokeo?
-
0:06 - 0:08Jaribu haya kuanzia leo
-
0:08 - 0:14Wow! Mungu wangu utakua hapa na ushuhuda
-
0:15 - 0:20NEEMA na Amani kwenu katika Jina la Yesu
-
0:20 - 0:25Karibu katika kipindi kingine cha 'Urithi unaoishi'
-
0:25 - 0:31Leo tunawaletea maonesho mawili kutoka kwa Nabii TB Joshua
-
0:31 - 0:37Akiongelea Mada muhimu Sana na yenye maelekezo
-
0:37 - 0:41Ambayo itakusaidia Maisha yako ya ukristo
-
0:41 - 0:45Onyesho la Kwanza limechukuliwa katikati ya ibada
-
0:45 - 0:49Na ya pili imeoneshwa katikati ya ushuhuda
-
0:49 - 0:54Kutoka kwa binti wa Afrika ya kusini, aliepokea uponyaji
-
0:54 - 0:59Kutoka kwenye nguvu za giza zilizo mpeleka kwenye uchawi
-
0:59 - 1:05Na wakati Nabii TB Joshua anasikiliza ushuhuda wake
-
1:05 - 1:10Alitumia uzoefu wa Maisha Yake kama fursa
-
1:10 - 1:15Kufundisha watu kanuni hii muhimu
-
1:15 - 1:21Sasa barikiwa wakati una jifunza Aina hii ya maombi
-
1:21 - 1:29Aina ya mfungo unaovuta uelekeo wa Mungu
-
1:29 - 1:32Hebu tuangalie
-
1:32 - 1:37Kama hutaki shetani akutumikishe, Tafadhali fanyia kazi tabia yako
-
1:37 - 1:41Hii ina maana kuanzia Leo, usianze kumuambia Mungu 'niponye'
-
1:41 - 1:47Kemea udhaifu wako
-
1:47 - 1:51Kuanzia Leo acha kusema 'Mungu nibariki'
-
1:51 - 1:56Kemea udhaifu wako
-
1:56 - 1:59Kuanzia Leo acha kusema 'Mungu nilinde'
-
1:59 - 2:01Watu wananifatilia, Wanataka kuniua
-
2:01 - 2:02Unapoteza muda wako
-
2:02 - 2:07Nenda moja kwa moja - Kemea udhaifu wako
-
2:07 - 2:11Hiyo ni njia anayo tumia shetani, kuingia
-
2:11 - 2:13Kukutesa na umasikini
-
2:13 - 2:15Kukutesa na kutojiamini
-
2:15 - 2:17Kukutesa na magonjwa
-
2:17 - 2:19Kukutesa na chochote unachokiongelea
-
2:19 - 2:22Anatumia udhaifu wetu kutuingia
-
2:22 - 2:29Ukifunga huo mlango, shetani hayupo tena
-
2:29 - 2:39Kaka njoo, niyakusumbua Leo, sababu Hua unanisumbua
-
2:39 - 2:46Simama hapa kaka, Tafadhali simama
-
2:46 - 2:51Simama hapa
-
2:51 - 2:59Huyu mtu atapita hapa Kuja kwanhi
-
2:59 - 3:05Lakini sisi wawili tukiwa karibu Sana, Hakuna njia ya yeye kupita
-
3:05 - 3:18Ina maana unaishi kwa ukamilfu-wingi wa maisha
-
3:18 - 3:22Kilicho kizuri ni kufunga hiyo
-
3:22 - 3:24Huo udhaifu
-
3:24 - 3:31Hapa ni mlango wa udhaifu, kwa mtu huyu kupitia na kuja
-
3:31 - 3:34Na mateso ya umasikini
-
3:34 - 3:35Mateso ya magonjwa
-
3:35 - 3:43Mateso ya kurudishwa nyuma - taja kila Aina ya mateso
-
3:43 - 3:45Hapa ni Mahali pa kupita
-
3:45 - 3:52Badala ya kusema 'Mungu niponye'
-
3:52 - 3:55Inaleta maana yoyote kusema 'Mungu niponye?'
-
3:55 - 4:04Kwanini usifunge njia na uwe na Maisha mazuri
-
4:04 - 4:06Lakini tunaendelea kusema 'niponye'
-
4:06 - 4:07Unapokua magonjwa unasema 'niponye'
-
4:07 - 4:10Unapokua maskini unasema 'nibariki'
-
4:10 - 4:13Unapokua tasa unasema 'nibariki na uzao'
-
4:13 - 4:17Hapana, Mungu anajua Hali yako
-
4:17 - 4:20Unapoanza kumuambia Mungu 'nataka kwenda kule'
-
4:20 - 4:24Ina maanisha kusema Mungu ni kipofu
-
4:24 - 4:27Mungu alie kuumba anakujua
-
4:27 - 4:30Anajua pasipo Mahali Palo, anajua mawazo yako
-
4:30 - 4:35Na wewe unamwambia 'mimi ni maskini, nibariki'
-
4:35 - 4:37Inaleta maana?
-
4:37 - 4:44Unasema nini Sasa? Kufanya na kutengeneza Maisha yako
-
4:44 - 4:46Inabidi uimarishe Maisha yako
-
4:46 - 4:52Maisha mengi yame chomolewa kutoka wa Muumbaji
-
4:52 - 5:03Ili kuimarisha Maisha Tena, lazima tukemee udhaifu wetu
-
5:03 - 5:09Hiki ndicho Mungu alimuambia Mtume Paul
-
5:09 - 5:17Mara Tatu alimuambia 'niponye Nina mwiba kwenye mwili wangu'
-
5:17 - 5:20Kila Muda Mungu alimuambia 'NEEMA yangu inakutosha'
-
5:20 - 5:31Hii ina maana 'Ukamilifu wangu unakutosha'
-
5:31 - 5:35Kila Muda mtume Paul alisema'niponye' Mungu alisema Neema yangu yakutosha
-
5:35 - 5:44Ina maana tafuta Kwanza ufalme. Uponyaji, baraka, na kila kitu kitaongezwa
-
5:44 - 5:53Mungu anatumia Paul kama mfano kwetu sote
-
5:53 - 5:57Hatukusikia chochote baada ya Mungu kutamka Neno lile
-
5:57 - 5:59'NEEMA yangu yakutosha
-
5:59 - 6:00Hakuna rekodi kuhusu hiyo tena
-
6:00 - 6:06Hatukuwahi kusikia ugonjwa huo ndio ulio muua Paul
-
6:06 - 6:11Na Paulo aillishi umri alio ahidiwa na Mungu
-
6:11 - 6:16Nini changamoto yako Sasa? Udhaifu
-
6:16 - 6:23Mwambie jirani yako "changamoto yangu ni udhaifu" sio ugumu wa Maisha
-
6:23 - 6:29Sio magonjwa. Sio masumbuko
-
6:29 - 6:33Changamoto yangu ni udhaifu wangu
-
6:33 - 6:36Hiyo ndio changamoto yako
-
6:36 - 6:41Kama ungekua unaombea Hilo kwa muda
-
6:41 - 6:44Hali yako isingebaki hivyo
-
6:44 - 6:57Kwa ufupi, maombi yako kuanzia Leo yawe ni dhidi ya udhaifu wako
-
6:57 - 7:01Mimi ni maskini - Mungu anajua
-
7:01 - 7:04Naumwa--Mungu anajua
-
7:04 - 7:07Mimi ni tasa - Mungu anajua
-
7:07 - 7:10Changamoto yoyote uliyonayo Mungu anaijua
-
7:10 - 7:12Sio lazima kuipa jina
-
7:12 - 7:17Nipo hivi, nahitaji hivi
-
7:17 - 7:22Ziba njia ambayo shetani anatumia kukutesa
-
7:22 - 7:30Ziba njia ambayo shetani anatumia kukuumiza ambayo ni udhaifu
-
7:30 - 7:32Anatumia udhaifu wetu kutudhuru
-
7:32 - 7:33Anatumia madhaifu yetu kutushambulia
-
7:33 - 7:36Anatumia madhaifu yetu kutupiga
-
7:36 - 7:40Huo ni udhaifu, omba dhidi ya udhaifu wako
-
7:40 - 7:46Na pale mlango huu utazimbwa, vitu vingine vitaongezeka kwako
-
7:46 - 7:49Kitu kimoja kuhusu udhaifu
-
7:49 - 7:52Unapofungua mdomo na kusema 'Mungu naongea sana'
-
7:52 - 7:57Tafadhali naomba neema sitaki kuongea sana
-
7:57 - 8:03Baada ya maombi kama mwanadamu utataka kujaribu kile ulichokiombea
-
8:03 - 8:05Unapenda na kutaka kuanza kuongea sana
-
8:05 - 8:12Utakumbuka kwamba uliomba dhidi yake
-
8:12 - 8:16Kama mtu akisema TB Joshua unasemaje kuhusu hili?
-
8:16 - 8:22Usijali - nitakuona baadae
-
8:22 - 8:25Sababu hutaki kuongea sana
-
8:25 - 8:31Sababu ni mjinga tu, ataomba dhidi ya udhaifu wa kuongea sana
-
8:31 - 8:36Na baada ya maombi unaendelea kuongea sana
-
8:36 - 8:38Unaombea Tena, Bwana sitaki kuongea sana
-
8:38 - 8:42Kwa muda unavyo endelea kuombea dhidi yake
-
8:42 - 8:47Unatakiwa kuanza kuishi kile unacho kiombea
-
8:47 - 8:51Mwambie jirani yako, ishi Maisha ya maombi yako
-
8:51 - 8:56Ambayo ni, unayoomba kwenye maombi, Anza kuyaishi
-
8:56 - 8:58'sitaki kuongea sana'
-
8:58 - 9:03Baada ya maombi ' Nita ishi Maisha ya kutoongea sana'
-
9:03 - 9:12Ukitaka kufunga, mfungo inaleta jibu kutoka kwa Mungu
-
9:12 - 9:19Wala hauto hitaji Mungu kukuhuburia uende kugunga
-
9:19 - 9:23Muda wowote unapoamua kufunga dhidi ya udhaifu wako Mungu anajibu
-
9:23 - 9:26Kama naongea N wewe naomba kuona mikono wako
-
9:26 - 9:32Lakini mifungo mwingine, yeyote _ unaenda mlimani kufunga kwasababu wewe ni masikini
-
9:32 - 9:34Na unataka Mungu akubariki na upenyo
-
9:34 - 9:37Ukikaa vichakani na kuanza kuomba kwa siku nne
-
9:37 - 9:45Hata kwa siku 100 utakufa huko
-
9:45 - 9:54Nenda na Funga dhidi ya udhaifu wako na utapata majibu ya moja kwa moja
-
9:54 - 10:03Mungu anajibu hapopapo sababu anataka mtu wa kujenga mahusiano
-
10:03 - 10:05Unapojenga mahusiano yako
-
10:05 - 10:09'naongea sana' sitaki kuongea sana - Mungu Ana furaha siku zote
-
10:09 - 10:15Anachohitaji Mungu ni mahusiano yetu Na Yake, sio Yale tunayofanya
-
10:15 - 10:19Nenda kafunge- vitu vingine vote utajumlishiwa
-
10:19 - 10:25Muda wote utakapopata muda wa kufunga sababu ya madhaifu yako
-
10:25 - 10:28Ni majibu ya moja kwa moja
-
10:28 - 10:34Umekua ukifunga lakini Hakuna matokeo
-
10:34 - 10:39Jaribu hili kuanzia leo
-
10:39 - 10:46Ukaipata siku ukafunga kuanzia asubuhi hadi jioni sababu ya madhaifu yako
-
10:46 - 10:53Utakuja hapa na ushuhuda
-
10:53 - 11:00Ndoto unazoota - kupitia udhaifu shetani Anakuja kukuvamia
-
11:00 - 11:02Ugumu unaopitia
-
11:02 - 11:07Shetani anapitia udhaifu kukupiga na roho ya ugumu
-
11:07 - 11:09Ugonjwa ulio nao sasa
-
11:09 - 11:15Ni kupitia udhaifu wako, shetani anakuvamia na roho ya magonjwa
-
11:15 - 11:19Ugumba_kupitia udhaifu
-
11:19 - 11:23Tafadhali ziba mlango huo - omba dhidi yake
-
11:23 - 11:25Acha haya yawe ni maombi yako
-
11:25 - 11:35Kwa hili Nina furaha kwa ajili ya Maisha yako
-
11:36 - 11:41Kama mtu ni mkristo, tukienda zaidi kuangalia Maisha yake
-
11:41 - 11:44Sehemu yenye udhaifu
-
11:44 - 11:47Kuna mahala utaona tu
-
11:47 - 11:51Sasa tunaangalia katika viwango vyao
-
11:51 - 11:54Kwa muda gani wa naomba?
-
11:54 - 11:57Kwa muda gani wanapata Hasira
-
11:57 - 11:59Je wanayo tamaa au udhaifu wowote
-
11:59 - 12:05Inaweza kua tamaa, hasira, kutokusamehe, chuki au majigambo
-
12:05 - 12:09Inuka
-
12:09 - 12:14Hili sio funzo?
-
12:14 - 12:18Ndio maana ni Kasema simama na simama kwa ajili ya Yesu
-
12:18 - 12:22Tutasimama na kumuacha yeye aongee
-
12:22 - 12:27Ina mafunzo Sana, andika, umesikia hayo?
-
12:27 - 12:31Ameonge kuhusu, matunda ya mwilini
-
12:31 - 12:35Amesema Kuna Sehemu lazima.... Hilo eneo
-
12:35 - 12:39OK, Anza ulipoishia sasa
-
12:39 - 12:44Inaweza kua hasira, majivuno au kujisifu
-
12:44 - 12:48Mfano mzuri, kama mtu Ana majigambo, unatumiaje hayo majivuno
-
12:48 - 12:51Unapenyaje kwenye hayo majigambo
-
12:51 - 12:54Mfano kama tatizo ni majivuno
-
12:54 - 13:00Tunatengeneza Hali itakayo mfanya kijigamba zaidi
-
13:00 - 13:06Kujiongelea, maendeleo Yake na Yale alio vuna
-
13:06 - 13:12Katika eneo Hilo la udhaifu, tuna kuza Hilo eneo
-
13:12 - 13:18Ili ujisahau katika Hilo na sisi tunapata nafasi ya kufanya mambo yetu
-
13:18 - 13:21Pigia Yesu makofi
-
13:21 - 13:23Umesikia hayo
-
13:23 - 13:27Hiyo ni majivuno, tuna tumia majivuno na kuingia
-
13:27 - 13:33Sasa una Anza kua na majivuno na majigambo
-
13:33 - 13:48Hiyo inatosha kikuangusha, kukutega kwenye nyavu
-
13:48 - 13:50Endelea
-
13:50 - 13:52Halafu tutatumia hio
-
13:52 - 13:57Wakati wewe umeshikiliwa katika udhaifu wako
-
13:57 - 14:00Halafu tunaingia na kufanya Yale tunayo yafanya
-
14:00 - 14:02Halafu tunakupata tu mwishoni
-
14:02 - 14:03Unataka kufanya nini?
-
14:03 - 14:08Labda tukitaka kuvunja ndoa
-
14:08 - 14:13Nio, tunataka huyu mwanaume kumuacha mkewe
-
14:13 - 14:19Na kumuoa huyu mwanaume amabye ni mteja wangu
-
14:19 - 14:22Na umefanikiwa kufanya hayo kwa wengi?
-
14:22 - 14:26Tumefanikiwa kufanya hayo mara nyingi
-
14:26 - 14:28Wakristo wengi,kama hivyo
-
14:28 - 14:31Wakristo wengi kama hivyo
-
14:31 - 14:36Umesikiliza kile anachokiongea?
-
14:36 - 14:42Anatumia neno- hakuna alie mkamilifu, hata mmoja
-
14:42 - 14:44Hiyo ni Kona wanayotumia
-
14:44 - 14:54Anglia Paulo alichosema"nijapokua sina nguvu nipo imara"
-
14:54 - 15:01Katika mkutano wetu wa mwisho nilitumia neno- mateso
-
15:01 - 15:08Mateso uetu ni kwaajili ya faida ya kiroho
-
15:08 - 15:17Namaanisha - muda mwingine tujaribiwa
-
15:17 - 15:23I'll tujifunze kuomba zaidi
-
15:23 - 15:30Sasa, anasema kwamba majivuno no udhaifu wako
-
15:30 - 15:34Na mstari wako wa maombi bado upo pale
-
15:34 - 15:39Jinsi unavyo jaribiwa na majivuno, unaomba zaidi
-
15:39 - 15:45Halafu hawawezi tena kutimia Kona hiyo dhidi yako
-
15:45 - 15:48Labda wafunge nguvu ya kuomba
-
15:48 - 15:54Nguvu ya kuomba ikifungwa, majivuno yanazidi
-
15:54 - 15:58Unaangamizwa zaidi
-
15:58 - 16:02Majivuno zaidi, uharibifu zaidi
-
16:02 - 16:08Lakini kama nguvu ya maombi haijafungwa
-
16:08 - 16:19Majivuno yanapokuja, unazidi kuomba
-
16:19 - 16:27Nia Yao, kutimia na kusudi la udhaifu ni kukutupa kama mkristo
-
16:27 - 16:34Lakini badala ya kukutupa, linazidi kukupa nguvu
-
16:34 - 16:42Wamepotea
-
16:42 - 16:44Upo pamoja nami?
-
16:44 - 16:51Sasa, nataka kubeba hii, kusukuma hii
-
16:51 - 17:00Upaojaribu kinizuia nisisukume, ndivyo ninapo zidi kusukuma
-
17:00 - 17:05Unaweza kuona kusudi la kunisukuma, limeshindwa
-
17:05 - 17:07Hivyo hamna haja ya kunisukuma
-
17:07 - 17:14Sababu ya shetani kutumia udhaifu
-
17:14 - 17:18Kwa kawaida anatumia udhaifu kama chambo
-
17:18 - 17:27Sasa kama majaribu yanapozidi kuja, ndivyo unazidi
-
17:27 - 17:36Ndo maama ya majaribu yanakuja kwa faida za kiroho
-
17:36 - 17:41Mateso yanaweza kua majaribu, umasikini,uvamizi nk
-
17:41 - 17:46Lakini yanapokuja ni kwaajili ya faida za kiroho
-
17:46 - 17:56Unaomba zaidi, unafunga zaidi, na kutafuta uso wa Mungu zaidi.
-
17:56 - 18:00Sasa anasema kua wanaangalia udhaifu
-
18:00 - 18:07Kama udhaifu wako ni huo na nguvu zako za maombi zipo
-
18:07 - 18:12Uvamizi unapokuja Una omba zaidi
-
18:12 - 18:23Hawana haki juu yako
-
18:23 - 18:25Lakini kama nguvu ya maombi imefungwa
-
18:25 - 18:32Wakichukua nguvu zako za maombi wamechukua maisha yako
-
18:32 - 18:39Ndo maana biblia inasema "hakuna kinachonitenga"
-
18:39 - 18:40Inamanisha
-
18:40 - 18:44Udhaifu? Hapana, kama nguvu zako za maombi zipo
-
18:44 - 18:50Lakini kama nguvu zako za maombi imefungwa, udhaifu unakutenganisha na Mungu
-
18:50 - 18:55Kama naongea na wewe, inua mkono
-
18:55 - 19:01Kama nguvu zako za maombi imefungwa udhaifu unakutenganisha na Mungu
-
19:01 - 19:04Lakini kama nguvu zako za maombi zipo hakuna kinachokutenga na Mungu
-
19:04 - 19:06Hivyo ndivyo Paulo alivyo maanisha
-
19:06 - 19:09Alisema" nini kitanitenganisha? Je ni mwimba? Hapana
-
19:09 - 19:14Je udhaifu? Je ni chuki
-
19:14 - 19:21Alisema hakuna cha kunitenganisha nae, sababu nguvu zako za maombi zilikuepo
-
19:21 - 19:31Lakini wanapofunga nguvu yako ya maombi, huwezi kuomba tena, umekwisha
-
19:31 - 19:39Tutaongelea hayo, mnaweza kukaa
-
19:39 - 19:42Angalia kesi ya Paulo
-
19:42 - 19:45Alimlilia Mungu mara Tatu, sio moja
-
19:45 - 19:49Mara Tatu maana yake mara Mia tatu
-
19:49 - 19:52Kila muda inamaana mara Mia moja
-
19:52 - 19:55Mara nyingi alimkimbilia Mungu
-
19:55 - 20:01Yesu niokoe, niponye, nibariki, niokoe
-
20:01 - 20:10Mara ngapi umemlilia Mungu kwa Jambo lako na kukata tamaa
-
20:10 - 20:19Bila kusikia kutoka kwa Mungu, lakini unakata tamaa
-
20:19 - 20:24Kumbuka Paulo alisikia kutoka kwa Mungu "neema yangu yakitosha"
-
20:24 - 20:29Bado anaendelea
-
20:29 - 20:34Vipi kuhusu wewe ambae hujasikia kutoka kwa Mungu na unakata tamaa
-
20:34 - 20:38Kulinganisha na mtu aliesikia kutoka kwa Mungu
-
20:38 - 20:44Neema yangu yakutosha usijali
-
20:44 - 20:48Lakini hujasikia na unakata tamaa
-
20:48 - 20:55Na hakukasirika kwa kua Mungu hakuondoa mwiba
-
20:55 - 21:01Kwa Neno-" neema yangu yakutosha ilikua inatosha kwake
-
21:01 - 21:04Sababu alijua kama ameponywa au bado
-
21:04 - 21:07Haibadilishi nafasi ya Mungu
-
21:07 - 21:10Kama umeingia kweye ufalme wa Mungu au lah
-
21:10 - 21:14Hio haitabadilisha ufalme wa Mungu
-
21:14 - 21:20Mungu atabaki kua mponyaji na mkombozi, awe amekuponya au bado
-
21:20 - 21:27Alijua hatakama hajaponywa, yesu ni mponyaji
-
21:27 - 21:33Sasa kwanini unajisumbua
-
21:33 - 21:40Tuongelee kuhusu udhaifu ambao, dada anaongelea hapa
-
21:40 - 21:41Biblia inasema hakuna mkamilifu
-
21:41 - 21:51Haijalishi udhaifu wako, kama nguvu yako ya maombi ipo wazi
-
21:51 - 22:04Huo udhaifu ni Milango WA kukusogeza kwa Mungu
-
22:04 - 22:11Kumkimbilia Mungu zaidi,kuamini zaidi, na kua na Imani ya kutosha
-
22:11 - 22:14Sababu unavyo Imani lakini haitoshi
-
22:14 - 22:17Lakini udhaifu utakufanya uwe na Imani ya kutosha
-
22:19 - 22:20Asante Yesu kristo
-
22:20 - 22:22Napenda huo ujumbe
-
22:22 - 22:26Napenda zaidi sehemu ya Kwanza,pale nabii Joshua aliposema
-
22:26 - 22:30Mungu anachotaka ni mjenga mahusiano
-
22:30 - 22:33Sababu hiyo ndio sababu watu wa Mungu
-
22:33 - 22:39Ni kuhusu kujenga mahusiano uetu na Mungu
-
22:39 - 22:41Ndio, tunayo madhaifu
-
22:41 - 22:45Ndio, katika safari ya maisha, tunafanya makosa
-
22:45 - 22:52Tunakitana na majaribu,matatizo na majaribu ya Imani
-
22:52 - 23:03Lakini tusiruhusu yaharibu mahusiano yetu na Mungu
-
23:03 - 23:11Shetani anaweza kuingila kwenye fedha,biashara, KAZI au afya
-
23:11 - 23:14Sio kwamba hatuwezi kufikiwa
-
23:14 - 23:20Lakini usiache akaharibu maisha yako ya kiroho
-
23:20 - 23:27Usiache akaharibu maombi yako kwa Mungu
-
23:27 - 23:29Nini kauli mbiu kama waumini?
-
23:29 - 23:35Hakuna- hakuna cha kunitenganisha na Mungu
-
23:35 - 23:42Kwa Upendo wa Mungu katika kristo Yesu
-
23:42 - 23:49Nimependa mfano nabii Joshua aliposema kuhusu mtume paulo
-
23:49 - 23:522 koritho 12:7-10
-
23:52 - 23:57Sababu katika levo yake kwa mambo ya Mungu
-
23:57 - 24:00Katika mambo ya rohoni
-
24:00 - 24:06Biblia inasema alikua na mwiba kwenye mwili wake
-
24:06 - 24:13Lakini haikua kikwazo katika maisha yake ya rohoni
-
24:13 - 24:19Bali ikawa nafasi Zaid ya yeye kusogea karibu na Mungu
-
24:19 - 24:23Kuomba zaidi, kuamini zaidi,na kumpenda Mungu zaidi.
-
24:23 - 24:30Hakuna kilicho muharibia maombi yake
-
24:30 - 24:32Ni neno- la kututia Moyo leo
-
24:32 - 24:37Hata Hali yako iweje watu wa Mungu
-
24:37 - 24:42Kama Hali hiyo inakukimbisha kuhusu Mungu
-
24:42 - 24:49Hiyo Hali inakufanya umkumbuke Mungu
-
24:49 - 24:55Inaongeza kumtegemea kwako Mungu
-
24:55 - 25:00Just Kua kuinuliwa kunakuja
-
25:00 - 25:06Hivyo uhalisia wa maisha yetu
-
25:06 - 25:12Acha kuombea mabaya adui zako
-
25:12 - 25:16Anza kuomba dhidi ya udhaifu wako
-
25:16 - 25:22Funga mlango wa shetani katika maisha yako
-
25:22 - 25:26Maombi yako kwa Mungu yawe wazi
-
25:26 - 25:30Na usiache chochote katika dunia hii
-
25:30 - 25:36Iwe kikwazo katika maisha yako ya kiroho
-
25:36 - 25:40Na muda wa Mungu ukifika
-
25:40 - 25:44Kila kitu ni kizuri
-
25:44 - 25:45Asante Yesu
-
25:45 - 25:50Asante kwa kujiunga na ujumbe huu mzuri leo
-
25:50 - 25:52Ningependa kusikia ulichojifinza
-
25:52 - 25:56Ujumbe huu mzuri kutoka kwa nabii TB Joshua
-
25:56 - 26:01Mamneo haha yameongelewa chini ya usimamizi wa Roho Mtakatifu
-
26:01 - 26:04Hayana kizuizi cha muda
-
26:04 - 26:08Tuambie umekifunza nini kwenye komenti
-
26:08 - 26:12Na kumbuka siku zote
-
26:12 - 26:19Tafuta Moyo WA Mungu kuona maisha vizuri zaidi, katika jina la Yesu.
- Title:
- Maombi Mungu anajibu siku zote / Nabii TB Joshua
- Description:
-
Aina gani ya maombi na mfungo utakao mgusa Mungu kutuelekea? Tambua hili ili ubadilishe Maisha yako kwa kanuni za kiroho kutoka kwa Nabii TB Joshua na ufunge mlango kwa shetani kwenye Maisha yako!
'Urithi unaendelea kuishi' ni kipindi katika God's heart TV, pamoja na ndugu Chris, Katika kukusudia kushea maneno ya maarifa na mafundisho ya Maisha kutoka kwa Mtumishi wa Mungu, Nabii TB Joshua.
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 26:33
![]() |
GenovevaJohn edited Swahili subtitles for The Prayer God ALWAYS Answers!!! | Prophet TB Joshua | |
![]() |
GenovevaJohn edited Swahili subtitles for The Prayer God ALWAYS Answers!!! | Prophet TB Joshua | |
![]() |
GenovevaJohn edited Swahili subtitles for The Prayer God ALWAYS Answers!!! | Prophet TB Joshua | |
![]() |
GenovevaJohn edited Swahili subtitles for The Prayer God ALWAYS Answers!!! | Prophet TB Joshua | |
![]() |
GenovevaJohn edited Swahili subtitles for The Prayer God ALWAYS Answers!!! | Prophet TB Joshua | |
![]() |
GenovevaJohn edited Swahili subtitles for The Prayer God ALWAYS Answers!!! | Prophet TB Joshua | |
![]() |
GenovevaJohn edited Swahili subtitles for The Prayer God ALWAYS Answers!!! | Prophet TB Joshua |