< Return to Video

Huduma ya kiroho HAUUZWI!

  • 0:00 - 0:07
    Wakikuomba ulipe kabla ya kukuombea, tafadhali ukimbie.
  • 0:07 - 0:11
    Huduma ya kiroho haiuzwi.
  • 0:11 - 0:14
    Ikiwa kuna masharti -
  • 0:14 - 0:17
    'Kabla sijakuombea, lazima utoe hiki' -
  • 0:17 - 0:22
    tafadhali kimbia. Jitenganishe.
  • 0:22 - 0:26
    Hiyo ni bendera kubwa nyekundu kiroho.
  • 0:26 - 0:33
    Kinachoombewa hakiwezi kulipiwa.
  • 0:33 - 0:37
    Hakuna kiasi cha pesa kinachoweza kukupa amani ya moyo.
  • 0:37 - 0:41
    Kuna vitu Mungu pekee anaweza kutoa.
  • 0:41 - 0:44
    Tukisema lazima utoe pesa kabla ya kupokea maombi,
  • 0:44 - 0:47
    unaweza kupokea maombi bila amani.
  • 0:47 - 0:52
    Na mimi ninayekuombea - pia sitakuwa na amani yoyote.
  • 0:52 - 0:57
    Ninaweza kukuombea ukinilipa, lakini sitakuwa na amani.
  • 0:57 - 0:59
    Haitaambatana na furaha.
  • 0:59 - 1:03
    Haitaambatana na kuridhika.
  • 1:03 - 1:05
    Ni somo watu wa Mungu.
  • 1:05 - 1:08
    Tafadhali, usifanye kwa sababu ya kukata tamaa,
  • 1:08 - 1:13
    usifanye hivyo kwa sababu ya ushawishi wa ulimwengu huu
  • 1:13 - 1:16
    kwenda nje ya viwango vya Mungu katika kutafuta suluhu,
  • 1:16 - 1:18
    hata kwa mtu anayedai kuwa ni wa Mungu.
  • 1:18 - 1:21
    Kuwa mwangalifu. Hebu kuwe na busara.
  • 1:21 - 1:26
    Biblia ndio kiwango chetu.
Title:
Huduma ya kiroho HAUUZWI!
Description:

"Wakikuomba ulipe kabla ya maombi, tafadhali ukimbie. Huduma ya kiroho haiuzwi. Ikiwa kuna masharti - 'Kabla sijakuombea, lazima utoe hiki' - tafadhali ukimbie. Jitenganisha. Hiyo ni bendera kubwa nyekundu kiroho. Kinachoombewa hakiwezi kulipiwa. Hakuna kiasi cha pesa kinachoweza kukupa amani ya moyo. Kuna vitu ambavyo Mungu pekee anaweza kukupa, na kama tukisema, ni lazima upokee pesa. Na kama tukisema, ni lazima utoe pesa kabla ya kupokea maombi, utapokea maombi bila amani. Naweza kukuombea ukinilipa, lakini sitakuwa na amani yeyote. Maombi hayataambatana na amani au kuridhika. Ni funzo watu wa Mungu. Tafadhali, usifanye kwa sababu ya kukata tamaa, kwa sababu ya ushawishi wa ulimwengu huu usiende nje ya viwango vya Mungu katika kutafuta kwako suluhisho, hata kwa mtu anayedai kuwa wa Mungu. Kuwa mwangalifu. Hebu kuwe na busara. Biblia ndio kiwango chetu.”

Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=XDGdXtxIvPI

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:27

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions