< Return to Video

Pokea UJASIRI wa KWENDA katika mwelekeo wa WITO wa MUNGU kwa maisha yako!

  • 0:00 - 0:03
    Kuna wengi wetu - tunajua
  • 0:03 - 0:08
    sauti ya Mungu imechochea mioyo yetu kuchukua hatua.
  • 0:08 - 0:12
    Lakini kwa sababu ya hofu, kwa sababu ya shaka, kwa sababu ya kutojithamini,
  • 0:12 - 0:18
    tunasalia katika wavu unaoonekana kuwa na usalama tuliouzoea .
  • 0:18 - 0:23
    Sasa hivi, pokea ujasiri huo!
  • 0:23 - 0:31
    Pokea ujasiri huo wa kwenda katika mwelekeo wa kile ambacho Mungu ameweka moyoni mwako,
  • 0:31 - 0:36
    kupiga hatua katika mwelekeo wa wito wa Mungu kwa maisha yako!
  • 0:36 - 0:41
    Unapokwenda katika mwelekeo wa wito wa Mungu, utajishangaa mwenyewe,
  • 0:41 - 0:45
    utajishangaa, utaleta mabadiliko katika ulimwengu wako!
  • 0:45 - 0:51
    Pokea ujasiri huo, pokea nguvu hizo, pokea ujasiri huo!
Title:
Pokea UJASIRI wa KWENDA katika mwelekeo wa WITO wa MUNGU kwa maisha yako!
Description:

"Kuna wengi wetu - tunajua sauti ya Mungu imechochea mioyo yetu kuchukua hatua. Lakini kwa sababu ya hofu, kwa sababu ya mashaka, kwa sababu ya kutokujithamini , tunasalia katika wavu unaoonekana kuwa na usalama tuliouzoea. Hivi sasa, pokea ujasiri huo! Pokea ujasiri huo wa kwenda katika mwelekeo wa kile ambacho Mungu ameweka moyoni mwako, ili kupiga hatua katika mwelekeo wa wito wa Mungu katika maisha yako. Unapokwenda katika mwelekeo wa wito wa Mungu, utajishangaa, utajistaabisha, utafanya mabadiliko katika ulimwengu wako! Pokea ujasiri huo, pokea nguvu hizo, pokea ujasiri huo!”

Unaweza kutazama muda wote wa maombi pamoja na Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=DthQqMlULzI

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:51

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions