0:00:00.000,0:00:03.033 Kuna wengi wetu - tunajua 0:00:03.033,0:00:07.566 sauti ya Mungu imechochea mioyo yetu kuchukua hatua. 0:00:07.566,0:00:12.300 Lakini kwa sababu ya hofu, kwa sababu ya shaka, kwa sababu ya kutojithamini, 0:00:12.300,0:00:18.366 tunasalia katika wavu unaoonekana kuwa na usalama tuliouzoea . 0:00:18.366,0:00:23.266 Sasa hivi, pokea ujasiri huo! 0:00:23.266,0:00:31.400 Pokea ujasiri huo wa kwenda katika mwelekeo wa kile ambacho Mungu ameweka moyoni mwako, 0:00:31.400,0:00:35.666 kupiga hatua katika mwelekeo wa wito wa Mungu kwa maisha yako! 0:00:35.666,0:00:40.900 Unapokwenda katika mwelekeo wa wito wa Mungu, utajishangaa mwenyewe, 0:00:40.900,0:00:44.966 utajishangaa, utaleta mabadiliko katika ulimwengu wako! 0:00:44.966,0:00:50.800 Pokea ujasiri huo, pokea nguvu hizo, pokea ujasiri huo!