Katika 2025, VIKWAZO vyako vitabadilishwa kuwa MIUJIZA!
-
0:00 - 0:13Mwaka huu wa 2025, unapotumia wakati wa kila siku na Mungu,
-
0:13 - 0:20utaona utukufu wa Mungu katika historia ya maisha yako.
-
0:20 - 0:26Vikwazo vyako vitabadilishwa kuwa miujiza.
-
0:26 - 0:31Ucheleweshaji wako utatoa njia ya maendeleo.
-
0:31 - 0:37Maumivu yako yatakuweka katika nafasi ya kupandishwa cheo.
-
0:37 - 0:43Na ushuhuda wako utakuwa na matokeo na wenye mafunzo
-
0:43 - 0:45katika kuwaleta watu wengi kwa Kristo.
-
0:45 - 0:49Hivi sasa, ikiwa unaamini hilo kwa moyo wako wote,
-
0:49 - 0:59nisikie sauti yako huku UKISHANGILIA!
- Title:
- Katika 2025, VIKWAZO vyako vitabadilishwa kuwa MIUJIZA!
- Description:
-
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 01:00
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for In 2025, your OBSTACLES will be transformed into MIRACLES! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for In 2025, your OBSTACLES will be transformed into MIRACLES! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for In 2025, your OBSTACLES will be transformed into MIRACLES! |