< Return to Video

Haitakiwi KUTOKUITHAMINI NEEMA!

  • 0:00 - 0:11
    "Kwa hiyo sasa hakuna hukumu
  • 0:11 - 0:14
    kwa wale walio katika Kristo Yesu” (Warumi 8:1).
  • 0:14 - 0:20
    Sasa, Maandiko haya hayatupi msingi wa kukubaliana dhambi,
  • 0:20 - 0:26
    kuhalalisha makosa au kuchukua neema kirahisi. Hapana!
  • 0:26 - 0:36
    Lakini yanasisitiza tu kwamba hatupaswi kuruhusu hatia ya makosa yetu
  • 0:36 - 0:46
    kutuibia amani isiyo ya kawaida inayopatikana katika msamaha wa Kristo.
  • 0:46 - 0:51
    Badala ya kosa lako kukutoa mbele za Mungu,
  • 0:51 - 0:58
    linapaswa kuwa sababu ya wewe kumkaribia Yeye zaidi.
Title:
Haitakiwi KUTOKUITHAMINI NEEMA!
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:59

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions