-
-
Kuainisha kiasi na asili kwenye
-
sehemu 3 ya 4 ,au 3/4.
-
Kwa hiyo tuiandike ionekane vizuri.
-
Tuandike sehemu.
-
3 ya 4 , 3/4.
-
Sasa, tuainishe kiasi na
-
asili.
-
-
Kwa hiyo kiasi ni namba ya juu,kwa hiyo
-
kiasi ni 3 .
-
Na kutafuta asili .
-
Asili ni namba ya chini.
-
Ni 4.
-
Kwa hiyo, kiasi ni ngapi?
-
3.
-
Asili ni ngapi?
-
Ni 4, ni namba ya chini.
-
Wanaweza kuiita namba ya chini .
-
Wanaweza kuiita namba ya juu.
-
Sasa tukifikiria inawakilisha nini ,katika sehemu
-
inawakilisha, unaweza kufikiria ni tatu ya
-
nne ya vipande vya pai.
-
Hivyo ndivyo ukifikiria.
-
Unaweza kupatia picha, asili ina maana
-
ya kutoa sehemu au kujua kuna vipande vingapi?
-
Tufanye mfano wa pai.
-
Tunaweza kuchora pai mraba.
-
-
Kwa hiyo, hii ndio inayo wakilisha asili.
-
Hii inawakilisha namba ya china .
-
Na 3, inawakilisha tatu ya
-
vipande vinne.
-
Kwa hiyo, 3 ina tuambia nje ya 4 zinazowezekana,
-
tunatumia tatu, au labda
-
tunakula vipande vinne.
-
Kwa hiyo, unapatia picha mtu akisema anakuta tatu ya nne ya
-
pai-inasomeka kama tatu ya nne-watakula
-
sehemu ya bluu ya pai kama itakawa hivi.
-
Kama utapatia picha ya pai la duara, inatazamika hivi.
-
Nachora pai la duara.
-
Ni hili hapa pai la duara.
-
Tukikata vipande vinne sawa au
-
au vinavyoelekea sawa.
-
Na kama mtu atasema amekula vipande vitatu vya vinne vya pai,
-
Wakati 3 ni kiasi , na 4 ,utasema
-
ni tatu ya nne, 4 ni asili,
-
watakuwa wamekula ukubwa wa pai.
-
Wamekula vipande 3 kati ya vinne.
-
-
Kwa hiyo, hiki ni kipande cha kwanza, hiki cha pili, na hiki ni
-
kipande cha nne.
-
Kwa hiyo, unaweza pata picha ya nne, asili inawakilisha
-
idadi ya namba ya vipande vya pai, na 3 inawakilisha
-
idadi ya vipande vilivyoliwa.
-