< Return to Video

UONGO wenye ufanisi zaidi huwa na kipengele cha UKWELI!

  • 0:00 - 0:09
    Ni kawaida sana siku hizi watu kulaumu udhaifu juu ya makosa.
  • 0:09 - 0:14
    Unasikia watu wanasema mambo kama, 'Ninapambana na udhaifu wangu.
  • 0:14 - 0:19
    Hili ni eneo langu dhaifu. Ninajaribu kubadilika lakini siwezi.
  • 0:19 - 0:23
    Udhaifu wangu ni mwingi tu. Siwezi kujizuia.'
  • 0:23 - 0:27
    Loo, ni inauma, watu wa Mungu!
  • 0:27 - 0:33
    Inakera na inatia uchungu kusikia lugha kama hiyo kwa sababu
  • 0:33 - 0:39
    huu ni moja ya uongo mkubwa unaoratibiwa na shetani
  • 0:39 - 0:45
    hutuingiza katika hisia ya kinga batili
  • 0:45 - 0:52
    juu ya uwajibikaji na athari za makosa.
  • 0:52 - 0:58
    Sisemi kwamba udhaifu sio sababu ya makosa.
  • 0:58 - 0:59
    Hapana, ni sababu.
  • 0:59 - 1:02
    Lakini lazima tutambue shetani ni mdanganyifu.
  • 1:02 - 1:02
    Lakini lazima tutambue shetani ni mdanganyifu.
  • 1:02 - 1:06
    Anafurahia kupotosha ukweli
  • 1:06 - 1:13
    na uwongo wenye ufanisi zaidi huwa na kipengele cha ukweli.
  • 1:13 - 1:15
    Ibilisi ni mwongo.
  • 1:15 - 1:27
    Ingawa udhaifu ni sababu ya makosa, haipaswi kamwe kutumika kama kisingizio cha makosa,
  • 1:27 - 1:35
    kwa sababu Mungu daima hutoa njia ya kutokea kwa watoto wake.
Title:
UONGO wenye ufanisi zaidi huwa na kipengele cha UKWELI!
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:35

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions