[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:08.63,Default,,0000,0000,0000,,Ni kawaida sana siku hizi watu kulaumu udhaifu juu ya makosa. Dialogue: 0,0:00:08.63,0:00:13.50,Default,,0000,0000,0000,,Unasikia watu wanasema mambo kama, 'Ninapambana na udhaifu wangu. Dialogue: 0,0:00:13.50,0:00:19.17,Default,,0000,0000,0000,,Hili ni eneo langu dhaifu. Ninajaribu kubadilika lakini siwezi. Dialogue: 0,0:00:19.17,0:00:23.10,Default,,0000,0000,0000,,Udhaifu wangu ni mwingi tu. Siwezi kujizuia.' Dialogue: 0,0:00:23.10,0:00:26.60,Default,,0000,0000,0000,,Loo, ni inauma, watu wa Mungu! Dialogue: 0,0:00:26.60,0:00:32.57,Default,,0000,0000,0000,,Inakera na inatia uchungu kusikia lugha kama hiyo kwa sababu Dialogue: 0,0:00:32.57,0:00:39.17,Default,,0000,0000,0000,,huu ni moja ya uongo mkubwa unaoratibiwa na shetani Dialogue: 0,0:00:39.17,0:00:45.47,Default,,0000,0000,0000,,hutuingiza katika hisia ya kinga batili Dialogue: 0,0:00:45.47,0:00:51.87,Default,,0000,0000,0000,,juu ya uwajibikaji na athari za makosa. Dialogue: 0,0:00:51.87,0:00:57.90,Default,,0000,0000,0000,,Sisemi kwamba udhaifu sio sababu ya makosa. Dialogue: 0,0:00:57.90,0:00:59.40,Default,,0000,0000,0000,,Hapana, ni sababu. Dialogue: 0,0:00:59.40,0:01:01.50,Default,,0000,0000,0000,,Lakini lazima tutambue shetani ni mdanganyifu. Dialogue: 0,0:01:01.50,0:01:02.37,Default,,0000,0000,0000,,Lakini lazima tutambue shetani ni mdanganyifu. Dialogue: 0,0:01:02.37,0:01:05.90,Default,,0000,0000,0000,,Anafurahia kupotosha ukweli Dialogue: 0,0:01:05.90,0:01:13.03,Default,,0000,0000,0000,,na uwongo wenye ufanisi zaidi huwa na kipengele cha ukweli. Dialogue: 0,0:01:13.03,0:01:14.97,Default,,0000,0000,0000,,Ibilisi ni mwongo. Dialogue: 0,0:01:14.97,0:01:27.10,Default,,0000,0000,0000,,Ingawa udhaifu ni sababu ya makosa, haipaswi kamwe kutumika kama kisingizio cha makosa, Dialogue: 0,0:01:27.10,0:01:34.67,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu Mungu daima hutoa njia ya kutokea kwa watoto wake.