UONGO wenye ufanisi zaidi huwa na kipengele cha UKWELI!
-
0:00 - 0:09Ni kawaida sana siku hizi watu kulaumu udhaifu juu ya makosa.
-
0:09 - 0:14Unasikia watu wanasema mambo kama, 'Ninapambana na udhaifu wangu.
-
0:14 - 0:19Hili ni eneo langu dhaifu. Ninajaribu kubadilika lakini siwezi.
-
0:19 - 0:23Udhaifu wangu ni mwingi tu. Siwezi kujizuia.'
-
0:23 - 0:27Loo, ni inauma, watu wa Mungu!
-
0:27 - 0:33Inakera na inatia uchungu kusikia lugha kama hiyo kwa sababu
-
0:33 - 0:39huu ni moja ya uongo mkubwa unaoratibiwa na shetani
-
0:39 - 0:45hutuingiza katika hisia ya kinga batili
-
0:45 - 0:52juu ya uwajibikaji na athari za makosa.
-
0:52 - 0:58Sisemi kwamba udhaifu sio sababu ya makosa.
-
0:58 - 0:59Hapana, ni sababu.
-
0:59 - 1:02Lakini lazima tutambue shetani ni mdanganyifu.
-
1:02 - 1:02Lakini lazima tutambue shetani ni mdanganyifu.
-
1:02 - 1:06Anafurahia kupotosha ukweli
-
1:06 - 1:13na uwongo wenye ufanisi zaidi huwa na kipengele cha ukweli.
-
1:13 - 1:15Ibilisi ni mwongo.
-
1:15 - 1:27Ingawa udhaifu ni sababu ya makosa, haipaswi kamwe kutumika kama kisingizio cha makosa,
-
1:27 - 1:35kwa sababu Mungu daima hutoa njia ya kutokea kwa watoto wake.
- Title:
- UONGO wenye ufanisi zaidi huwa na kipengele cha UKWELI!
- Description:
-
"Ni jambo la kawaida sana siku hizi watu kulaumu udhaifu juu ya makosa. Unasikia watu wakisema maneno kama, "Ninapambana na udhaifu wangu. Hili ni eneo langu dhaifu. Ninajaribu kubadilika lakini siwezi. Udhaifu wangu ni mkubwa sana. Siwezi kujizuia." Inaumiza, watu wa Mungu! Inakera na inatia uchungu kusikia lugha kama hii kwa sababu huu ni uwongo mmoja mkubwa unaoratibiwa na shetani ili kutuingiza katika hisia potofu ya kutojali majukumu na athari za makosa. Sisemi kwamba udhaifu sio sababu ya makosa. Hapana, ni sababu. Lakini lazima tutambue shetani ni mdanganyifu. Yeye hufurahia kupotosha ukweli na uwongo wenye ufanisi zaidi huwa na kipengele cha ukweli. Ibilisi ni mwongo. Ingawa udhaifu ni sababu ya makosa, haupaswi kamwe kutumiwa kama kisingizio cha makosa, kwa sababu Mungu huwapa watoto wake njia ya kutokea sikuzote.”
Unaweza kutazama mahubiri kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=RMMASDuT9rM&list=PLw3Eu4dLEbFubKIePR7pD_nzDGASbHmky&index=3
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 01:35
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for The most effective LIES tend to contain an element of TRUTH! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for The most effective LIES tend to contain an element of TRUTH! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for The most effective LIES tend to contain an element of TRUTH! |