WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:08.633 Ni kawaida sana siku hizi watu kulaumu udhaifu juu ya makosa. 00:00:08.633 --> 00:00:13.500 Unasikia watu wanasema mambo kama, 'Ninapambana na udhaifu wangu. 00:00:13.500 --> 00:00:19.166 Hili ni eneo langu dhaifu. Ninajaribu kubadilika lakini siwezi. 00:00:19.166 --> 00:00:23.100 Udhaifu wangu ni mwingi tu. Siwezi kujizuia.' 00:00:23.100 --> 00:00:26.600 Loo, ni inauma, watu wa Mungu! 00:00:26.600 --> 00:00:32.566 Inakera na inatia uchungu kusikia lugha kama hiyo kwa sababu 00:00:32.566 --> 00:00:39.166 huu ni moja ya uongo mkubwa unaoratibiwa na shetani 00:00:39.166 --> 00:00:45.466 hutuingiza katika hisia ya kinga batili 00:00:45.466 --> 00:00:51.866 juu ya uwajibikaji na athari za makosa. 00:00:51.866 --> 00:00:57.900 Sisemi kwamba udhaifu sio sababu ya makosa. 00:00:57.900 --> 00:00:59.400 Hapana, ni sababu. 00:00:59.400 --> 00:01:01.500 Lakini lazima tutambue shetani ni mdanganyifu. 00:01:01.500 --> 00:01:02.366 Lakini lazima tutambue shetani ni mdanganyifu. 00:01:02.366 --> 00:01:05.900 Anafurahia kupotosha ukweli 00:01:05.900 --> 00:01:13.033 na uwongo wenye ufanisi zaidi huwa na kipengele cha ukweli. 00:01:13.033 --> 00:01:14.966 Ibilisi ni mwongo. 00:01:14.966 --> 00:01:27.100 Ingawa udhaifu ni sababu ya makosa, haipaswi kamwe kutumika kama kisingizio cha makosa, 00:01:27.100 --> 00:01:34.666 kwa sababu Mungu daima hutoa njia ya kutokea kwa watoto wake.