-
-
Tuna namba nne hapa.
-
Tunachofanya ni kukaribisha kila moja
-
kwenye makumi au mamia.
-
Simamisha video na ujaribu hii.
-
tutengeneze safu mbili.
-
Tutengeneze safu ya kukaribisha makumi
-
na safu ya kukaribisha kwenye mamia.
-
Tuanze na 154.
-
Kwenye 154 namba za juu zinazogawanyika kwa 10 ni zipi?
-
ni 160.
-
Na za chini zinazogawanyika kwa 10 ni 150.
-
hivyo tunakaribisha kwa kuongeza mpaka 160 na kukaribisha kwa kupunguza mpaka 150.
-
Tunapokaribisha kwenye makumi,
-
tunaangalia kwenye sehemu ya mamoja.
-
Mamoja inakuwa mkono wa kulia wa namba tunayoikaribisha.
-
hivyo tunaiangalia hii 4 kwenye sehemu ya mamoja
-
Sababu 4 ni ndogo kuliko 5,tunakaribisha kwa kupunguza mpaka 150.
-
Tuangalie namba hiyo hiyo 154,
-
kuikaribisha kwenye mamia.
-
Inabidi tufikirie kama tunakaribisha kwa kuongeza,
-
kwenye 154 namba zipi zinagawanyika kwa 100?
-
160 sio namba ya juu zinazogawanyika kwa 100,
-
ila 200 inagawanyika.
-
zinazogawanyika kwa100 za chini ni zipi kwenye 154?
-
itakuwa ni 100.
-
Hivyo tunakaribisha kwenye mamia
-
tunaangalia sehemu ya mamia.
-
tunaangalia sehemu moja mkono wa kulia w ahiyo namba
-
ambayo ni sehemu ya makumi.
-
kama sehemu hiyo ina 5 au zaidi tunakaribisha kwa kuongeza.
-
kama ni ndogo tunakaribisha kwa kupunguza.
-
hapa 5 ni kubwa hivyo tunakaribisha kwa kuongeza.
-
Hii inavutia.
-
Tulivyokaribisha kwenye makumi , kwasababu tulikuwa na 4
-
kwenye mamoja tukakaribisha kwa kupunguza.
-
Lakini kwenye mamia
-
kwasababu tulikuwa na tano kwenye makumi tulikaribisha kwa kuongeza mpaka 200.
-
Tuendelee.
-
Hii ni nzuri.
-
4,674.
-
Namba za juu zinazogawanyika kwa 10 ni 4680
-
za chini ni 4,670.
-
Kumbuka tunaangalia tu zinazogawanyika kwa 10.
-
Je tunakaribisha kwa kuongeza au kupunguza?
-
Tunataka kukaribisha makumi.
-
Hivyo itakuwa 8 kama tukikaribisha kwa kuongeza,
-
au 7 kama tukikaribisha kwa kupunguza.
-
Kujua hii, tunaangalia kwenye mamoja.
-
kama sehemu ya mamoja ni 5 au zaidi tunakaribisha kwa kuongeza.
-
kama ni ndogo kuliko tano, tunakaribisha kwa kupunguza.
-
Hapa tena ni ndogo kuliko 5 hivyo tunakaribisha kwa kupunguza mpaka 4,670.
-
Sasa tukaribishe namba hiyo hiyo kwenye mamia.
-
-
Namba zipi za chini kwenye namba hii zinazogawanyika kwa 100?
-
ni 4,600.
-
za juu ni 4,700.
-
Tukitaka kukaribisha kwenye mamia
-
tunaangalia kwenye sehemu ya makumi.
-
Makumi ni 5. tano ni kubwa hiyo tunakaribisha kwa kuongeza mpaka 4,700.
-
Sasa tufanye 9,995.
-
Kwa mara nyingine simamisha video
-
kabla hatujaifanya,
-
jaribu kuifanya mwenyewe.
-
9,995.
-
Je namba zipi za chini ya hii zinazogawanyika 10?
-
namba yenyewe ni 9,990.
-
na namba zipi za juu zinazogawanyika kwa 9,995?
-
ukiizidisha kwa 10 unapata 10,000.
-
Unaweza sema hizi hazigawanyiki kwa 100
-
na kimsingi hizi zinagawanyika kwa maelfu--
-
10,000.
-
na zote hizo, ila zinazogawanyika
-
kwa 10 juu ya 9,995 ni 10,000.
-
Unaongeza kidogo tu kupata 10,000.
-
Au namba za chini ya 9, 990 zinazogawanyika kwa 10
-
10 zaidi ya hizo zinakupa 10,000.
-
Je tunaikaribishaje?
-
Kama tunaikaribisha kwenye makumi,
-
tutaangalia kwenye sehemu ya mamoja.
-
Mamoja ni 5 au kubwa kuliko, hivyo tunakaribisha mpaka 10,000.
-
Sasa tukaribishe kwenye mamia.
-
Sasa inakubidi kuzoea.
-
Kwenye mamia ipi ni ndogo
-
ni 9,900.
-
kubwa kuliko hii
-
ni 10,000
-
Je tunaamua vipi kama tunakaribisha kwa kuongeza au kupunguza?
-
Hatuangalii tena sehemu ya mamoja.
-
Kwasasa tunakaribisha kwenye mamia.
-
Hivyo tunataka kukaribisha kwenye mamia.
-
Kufanya hivyo tunangalia kulia kwenye mamia,
-
ambayo ni makumi.
-
kama ni 5 au zaidi, tunakaribisha kwa kuongeza.
-
kama ni ndogotunakaribisha kwa kupunguza.
-
5 ni kubwa hivyo tunakaribisha kwa kuongeza mpaka 10,000.
-
Sasa tuna nyingine hapa 8,346.
-
Namba za chini zinazogawanyika kwa 10 ni 8,340.
-
za juu ni 8,350.
-
kama tunaikaribisha kwenye makumi,
-
tunaangalia kwenye mamoja.
-
Mamoja ni 5 tunakaribisha kwa kuongeza.
-
Sasa tukaribishe kwenye mamia.
-
8,346. namba ya juu inayogawanyika kwa 100 ni 8,400.
-
Ya chini inayogawanyika kwa 100 ni 8,300.
-
Kumbuka tunakaribisha kwenye mamia.
-
kama tukikaribisha kwa kuongeza ,sehemu ya mamia itakuwa 4.
-
Tukikaribisha kwa kupunguza sehemu mamia itabakia 3,
-
ikifuatiwa na sifuri.
-
Tukikaribisha kwenye mamia,
-
tunaangalia kwenye makumi.
-
Sehemu ya makumi hapa ni ndogo kuliko 5 hivyo tunakaribisha kwa kupunguza mpaka 8,300.
-
Kumbuka pia tunapokaribisha kwenye makumi,
-
tunakaribisha kwa kuongeza mpaka 8,350.
-
Tunapokaribisha kwenye mamia,
-
tunakaribisha kwa kupunguza mpaka 8.300.
-