[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:00.59,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:00:00.59,0:00:02.16,Default,,0000,0000,0000,,Tuna namba nne hapa. Dialogue: 0,0:00:02.16,0:00:04.85,Default,,0000,0000,0000,,Tunachofanya ni kukaribisha kila moja Dialogue: 0,0:00:04.85,0:00:07.72,Default,,0000,0000,0000,,kwenye makumi au mamia. Dialogue: 0,0:00:07.72,0:00:11.13,Default,,0000,0000,0000,,Simamisha video na ujaribu hii. Dialogue: 0,0:00:11.13,0:00:12.36,Default,,0000,0000,0000,,tutengeneze safu mbili. Dialogue: 0,0:00:12.36,0:00:16.90,Default,,0000,0000,0000,,Tutengeneze safu ya kukaribisha makumi Dialogue: 0,0:00:16.90,0:00:22.61,Default,,0000,0000,0000,,na safu ya kukaribisha kwenye mamia. Dialogue: 0,0:00:22.61,0:00:25.12,Default,,0000,0000,0000,,Tuanze na 154. Dialogue: 0,0:00:25.12,0:00:30.37,Default,,0000,0000,0000,,Kwenye 154 namba za juu zinazogawanyika kwa 10 ni zipi? Dialogue: 0,0:00:30.37,0:00:32.19,Default,,0000,0000,0000,,ni 160. Dialogue: 0,0:00:32.19,0:00:37.64,Default,,0000,0000,0000,,Na za chini zinazogawanyika kwa 10 ni 150. Dialogue: 0,0:00:37.64,0:00:41.95,Default,,0000,0000,0000,,hivyo tunakaribisha kwa kuongeza mpaka 160 na kukaribisha kwa kupunguza mpaka 150. Dialogue: 0,0:00:41.95,0:00:44.30,Default,,0000,0000,0000,,Tunapokaribisha kwenye makumi, Dialogue: 0,0:00:44.30,0:00:45.99,Default,,0000,0000,0000,,tunaangalia kwenye sehemu ya mamoja. Dialogue: 0,0:00:45.99,0:00:48.83,Default,,0000,0000,0000,,Mamoja inakuwa mkono wa kulia wa namba tunayoikaribisha. Dialogue: 0,0:00:48.83,0:00:51.15,Default,,0000,0000,0000,,hivyo tunaiangalia hii 4 kwenye sehemu ya mamoja Dialogue: 0,0:00:51.15,0:00:58.32,Default,,0000,0000,0000,,Sababu 4 ni ndogo kuliko 5,tunakaribisha kwa kupunguza mpaka 150. Dialogue: 0,0:00:58.32,0:01:00.40,Default,,0000,0000,0000,,Tuangalie namba hiyo hiyo 154, Dialogue: 0,0:01:00.40,0:01:05.44,Default,,0000,0000,0000,,kuikaribisha kwenye mamia. Dialogue: 0,0:01:05.44,0:01:07.65,Default,,0000,0000,0000,,Inabidi tufikirie kama tunakaribisha kwa kuongeza, Dialogue: 0,0:01:07.65,0:01:10.68,Default,,0000,0000,0000,,kwenye 154 namba zipi zinagawanyika kwa 100? Dialogue: 0,0:01:10.68,0:01:14.98,Default,,0000,0000,0000,,160 sio namba ya juu zinazogawanyika kwa 100, Dialogue: 0,0:01:14.98,0:01:16.55,Default,,0000,0000,0000,,ila 200 inagawanyika. Dialogue: 0,0:01:16.55,0:01:19.49,Default,,0000,0000,0000,,zinazogawanyika kwa100 za chini ni zipi kwenye 154? Dialogue: 0,0:01:19.49,0:01:22.30,Default,,0000,0000,0000,,itakuwa ni 100. Dialogue: 0,0:01:22.30,0:01:24.86,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tunakaribisha kwenye mamia Dialogue: 0,0:01:24.86,0:01:26.26,Default,,0000,0000,0000,,tunaangalia sehemu ya mamia. Dialogue: 0,0:01:26.26,0:01:27.85,Default,,0000,0000,0000,,tunaangalia sehemu moja mkono wa kulia w ahiyo namba Dialogue: 0,0:01:27.85,0:01:29.75,Default,,0000,0000,0000,,ambayo ni sehemu ya makumi. Dialogue: 0,0:01:29.75,0:01:33.32,Default,,0000,0000,0000,,kama sehemu hiyo ina 5 au zaidi tunakaribisha kwa kuongeza. Dialogue: 0,0:01:33.32,0:01:35.73,Default,,0000,0000,0000,,kama ni ndogo tunakaribisha kwa kupunguza. Dialogue: 0,0:01:35.73,0:01:39.27,Default,,0000,0000,0000,,hapa 5 ni kubwa hivyo tunakaribisha kwa kuongeza. Dialogue: 0,0:01:39.27,0:01:40.23,Default,,0000,0000,0000,,Hii inavutia. Dialogue: 0,0:01:40.23,0:01:42.72,Default,,0000,0000,0000,,Tulivyokaribisha kwenye makumi , kwasababu tulikuwa na 4 Dialogue: 0,0:01:42.72,0:01:44.71,Default,,0000,0000,0000,,kwenye mamoja tukakaribisha kwa kupunguza. Dialogue: 0,0:01:44.71,0:01:46.66,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kwenye mamia Dialogue: 0,0:01:46.66,0:01:51.76,Default,,0000,0000,0000,,kwasababu tulikuwa na tano kwenye makumi tulikaribisha kwa kuongeza mpaka 200. Dialogue: 0,0:01:51.76,0:01:52.96,Default,,0000,0000,0000,,Tuendelee. Dialogue: 0,0:01:52.96,0:01:53.77,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni nzuri. Dialogue: 0,0:01:53.77,0:02:00.27,Default,,0000,0000,0000,,4,674. Dialogue: 0,0:02:00.27,0:02:08.11,Default,,0000,0000,0000,,Namba za juu zinazogawanyika kwa 10 ni 4680 Dialogue: 0,0:02:08.11,0:02:13.62,Default,,0000,0000,0000,,za chini ni 4,670. Dialogue: 0,0:02:13.62,0:02:16.56,Default,,0000,0000,0000,,Kumbuka tunaangalia tu zinazogawanyika kwa 10. Dialogue: 0,0:02:16.56,0:02:19.00,Default,,0000,0000,0000,,Je tunakaribisha kwa kuongeza au kupunguza? Dialogue: 0,0:02:19.00,0:02:22.40,Default,,0000,0000,0000,,Tunataka kukaribisha makumi. Dialogue: 0,0:02:22.40,0:02:25.52,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo itakuwa 8 kama tukikaribisha kwa kuongeza, Dialogue: 0,0:02:25.52,0:02:27.38,Default,,0000,0000,0000,,au 7 kama tukikaribisha kwa kupunguza. Dialogue: 0,0:02:27.38,0:02:30.33,Default,,0000,0000,0000,,Kujua hii, tunaangalia kwenye mamoja. Dialogue: 0,0:02:30.33,0:02:32.44,Default,,0000,0000,0000,,kama sehemu ya mamoja ni 5 au zaidi tunakaribisha kwa kuongeza. Dialogue: 0,0:02:32.44,0:02:34.41,Default,,0000,0000,0000,,kama ni ndogo kuliko tano, tunakaribisha kwa kupunguza. Dialogue: 0,0:02:34.41,0:02:41.05,Default,,0000,0000,0000,,Hapa tena ni ndogo kuliko 5 hivyo tunakaribisha kwa kupunguza mpaka 4,670. Dialogue: 0,0:02:41.05,0:02:43.34,Default,,0000,0000,0000,,Sasa tukaribishe namba hiyo hiyo kwenye mamia. Dialogue: 0,0:02:43.34,0:02:46.27,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:02:46.27,0:02:48.61,Default,,0000,0000,0000,,Namba zipi za chini kwenye namba hii zinazogawanyika kwa 100? Dialogue: 0,0:02:48.61,0:02:52.90,Default,,0000,0000,0000,,ni 4,600. Dialogue: 0,0:02:52.90,0:02:57.51,Default,,0000,0000,0000,,za juu ni 4,700. Dialogue: 0,0:02:57.51,0:02:59.78,Default,,0000,0000,0000,,Tukitaka kukaribisha kwenye mamia Dialogue: 0,0:02:59.78,0:03:02.98,Default,,0000,0000,0000,,tunaangalia kwenye sehemu ya makumi. Dialogue: 0,0:03:02.98,0:03:09.84,Default,,0000,0000,0000,,Makumi ni 5. tano ni kubwa hiyo tunakaribisha kwa kuongeza mpaka 4,700. Dialogue: 0,0:03:09.84,0:03:13.79,Default,,0000,0000,0000,,Sasa tufanye 9,995. Dialogue: 0,0:03:13.79,0:03:15.30,Default,,0000,0000,0000,,Kwa mara nyingine simamisha video Dialogue: 0,0:03:15.30,0:03:16.88,Default,,0000,0000,0000,,kabla hatujaifanya, Dialogue: 0,0:03:16.88,0:03:19.02,Default,,0000,0000,0000,,jaribu kuifanya mwenyewe. Dialogue: 0,0:03:19.02,0:03:22.89,Default,,0000,0000,0000,,9,995. Dialogue: 0,0:03:22.89,0:03:25.88,Default,,0000,0000,0000,,Je namba zipi za chini ya hii zinazogawanyika 10? Dialogue: 0,0:03:25.88,0:03:30.18,Default,,0000,0000,0000,,namba yenyewe ni 9,990. Dialogue: 0,0:03:30.18,0:03:32.40,Default,,0000,0000,0000,,na namba zipi za juu zinazogawanyika kwa 9,995? Dialogue: 0,0:03:32.40,0:03:38.78,Default,,0000,0000,0000,,ukiizidisha kwa 10 unapata 10,000. Dialogue: 0,0:03:38.78,0:03:41.16,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza sema hizi hazigawanyiki kwa 100 Dialogue: 0,0:03:41.16,0:03:42.72,Default,,0000,0000,0000,,na kimsingi hizi zinagawanyika kwa maelfu-- Dialogue: 0,0:03:42.72,0:03:44.28,Default,,0000,0000,0000,,10,000. Dialogue: 0,0:03:44.28,0:03:46.26,Default,,0000,0000,0000,,na zote hizo, ila zinazogawanyika Dialogue: 0,0:03:46.26,0:03:50.61,Default,,0000,0000,0000,,kwa 10 juu ya 9,995 ni 10,000. Dialogue: 0,0:03:50.61,0:03:53.09,Default,,0000,0000,0000,,Unaongeza kidogo tu kupata 10,000. Dialogue: 0,0:03:53.09,0:03:56.99,Default,,0000,0000,0000,,Au namba za chini ya 9, 990 zinazogawanyika kwa 10 Dialogue: 0,0:03:56.99,0:04:00.56,Default,,0000,0000,0000,,10 zaidi ya hizo zinakupa 10,000. Dialogue: 0,0:04:00.56,0:04:01.99,Default,,0000,0000,0000,,Je tunaikaribishaje? Dialogue: 0,0:04:01.99,0:04:04.88,Default,,0000,0000,0000,,Kama tunaikaribisha kwenye makumi, Dialogue: 0,0:04:04.88,0:04:07.30,Default,,0000,0000,0000,,tutaangalia kwenye sehemu ya mamoja. Dialogue: 0,0:04:07.30,0:04:13.89,Default,,0000,0000,0000,,Mamoja ni 5 au kubwa kuliko, hivyo tunakaribisha mpaka 10,000. Dialogue: 0,0:04:13.89,0:04:16.45,Default,,0000,0000,0000,,Sasa tukaribishe kwenye mamia. Dialogue: 0,0:04:16.45,0:04:18.26,Default,,0000,0000,0000,,Sasa inakubidi kuzoea. Dialogue: 0,0:04:18.26,0:04:21.53,Default,,0000,0000,0000,,Kwenye mamia ipi ni ndogo Dialogue: 0,0:04:21.53,0:04:26.12,Default,,0000,0000,0000,,ni 9,900. Dialogue: 0,0:04:26.12,0:04:29.59,Default,,0000,0000,0000,,kubwa kuliko hii Dialogue: 0,0:04:29.59,0:04:35.23,Default,,0000,0000,0000,,ni 10,000 Dialogue: 0,0:04:35.23,0:04:37.56,Default,,0000,0000,0000,,Je tunaamua vipi kama tunakaribisha kwa kuongeza au kupunguza? Dialogue: 0,0:04:37.56,0:04:39.48,Default,,0000,0000,0000,,Hatuangalii tena sehemu ya mamoja. Dialogue: 0,0:04:39.48,0:04:41.04,Default,,0000,0000,0000,,Kwasasa tunakaribisha kwenye mamia. Dialogue: 0,0:04:41.04,0:04:42.83,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tunataka kukaribisha kwenye mamia. Dialogue: 0,0:04:42.83,0:04:44.85,Default,,0000,0000,0000,,Kufanya hivyo tunangalia kulia kwenye mamia, Dialogue: 0,0:04:44.85,0:04:46.73,Default,,0000,0000,0000,,ambayo ni makumi. Dialogue: 0,0:04:46.73,0:04:49.14,Default,,0000,0000,0000,,kama ni 5 au zaidi, tunakaribisha kwa kuongeza. Dialogue: 0,0:04:49.14,0:04:51.24,Default,,0000,0000,0000,,kama ni ndogotunakaribisha kwa kupunguza. Dialogue: 0,0:04:51.24,0:04:56.83,Default,,0000,0000,0000,,5 ni kubwa hivyo tunakaribisha kwa kuongeza mpaka 10,000. Dialogue: 0,0:04:56.83,0:05:06.59,Default,,0000,0000,0000,,Sasa tuna nyingine hapa 8,346. Dialogue: 0,0:05:06.59,0:05:12.86,Default,,0000,0000,0000,,Namba za chini zinazogawanyika kwa 10 ni 8,340. Dialogue: 0,0:05:12.86,0:05:19.55,Default,,0000,0000,0000,,za juu ni 8,350. Dialogue: 0,0:05:19.55,0:05:22.00,Default,,0000,0000,0000,,kama tunaikaribisha kwenye makumi, Dialogue: 0,0:05:22.00,0:05:24.12,Default,,0000,0000,0000,,tunaangalia kwenye mamoja. Dialogue: 0,0:05:24.12,0:05:28.50,Default,,0000,0000,0000,,Mamoja ni 5 tunakaribisha kwa kuongeza. Dialogue: 0,0:05:28.50,0:05:30.67,Default,,0000,0000,0000,,Sasa tukaribishe kwenye mamia. Dialogue: 0,0:05:30.67,0:05:40.64,Default,,0000,0000,0000,,8,346. namba ya juu inayogawanyika kwa 100 ni 8,400. Dialogue: 0,0:05:40.64,0:05:45.18,Default,,0000,0000,0000,,Ya chini inayogawanyika kwa 100 ni 8,300. Dialogue: 0,0:05:45.18,0:05:47.10,Default,,0000,0000,0000,,Kumbuka tunakaribisha kwenye mamia. Dialogue: 0,0:05:47.10,0:05:50.71,Default,,0000,0000,0000,,kama tukikaribisha kwa kuongeza ,sehemu ya mamia itakuwa 4. Dialogue: 0,0:05:50.71,0:05:53.03,Default,,0000,0000,0000,,Tukikaribisha kwa kupunguza sehemu mamia itabakia 3, Dialogue: 0,0:05:53.03,0:05:54.100,Default,,0000,0000,0000,,ikifuatiwa na sifuri. Dialogue: 0,0:05:54.100,0:05:56.83,Default,,0000,0000,0000,,Tukikaribisha kwenye mamia, Dialogue: 0,0:05:56.83,0:05:59.17,Default,,0000,0000,0000,,tunaangalia kwenye makumi. Dialogue: 0,0:05:59.17,0:06:05.19,Default,,0000,0000,0000,,Sehemu ya makumi hapa ni ndogo kuliko 5 hivyo tunakaribisha kwa kupunguza mpaka 8,300. Dialogue: 0,0:06:05.19,0:06:07.23,Default,,0000,0000,0000,,Kumbuka pia tunapokaribisha kwenye makumi, Dialogue: 0,0:06:07.23,0:06:10.00,Default,,0000,0000,0000,,tunakaribisha kwa kuongeza mpaka 8,350. Dialogue: 0,0:06:10.00,0:06:11.62,Default,,0000,0000,0000,,Tunapokaribisha kwenye mamia, Dialogue: 0,0:06:11.62,0:06:15.12,Default,,0000,0000,0000,,tunakaribisha kwa kupunguza mpaka 8.300. Dialogue: 0,0:06:15.12,0:06:16.56,Default,,0000,0000,0000,,