UKOMBOZI WA UMA wakati wa MAOMBI YENYE NGUVU!!!
-
0:00 - 0:06Ninakuona ukitoka kwenye ngome hiyo.
-
0:06 - 0:09Toka nje ya ngome sasa hivi!
-
0:09 - 0:12Kutoka kwenye kizimba cha laana za vizazi!
-
0:12 - 0:14Toka kwenye kizimba cha mateso!
-
0:14 - 0:16Toka kwenye kizimba cha kulevya!
-
0:16 - 0:19Toka kwenye kizimba hicho sasa hivi!
-
0:21 - 0:27Sijui uchungu
unaopitia -
0:27 - 0:33ambao umekusukuma kuungana
na huduma hii leo. -
0:33 - 0:37Lakini jambo moja najua -
-
0:37 - 0:44hata haujawazuia
ninyi kumtafuta Mungu, -
0:44 - 0:50ni kwa ajili ya ukombozi wenu,
si uharibifu wenu. -
0:50 - 0:58Kwa hivyo usizingatie maumivu yako;
kazia kusudi la Mungu. -
0:58 - 1:06Usizingatie maisha yako ya zamani; zingatia kile ambacho Mungu anakisema juu ya sasa yako -
-
1:06 - 1:09hapa, sasa hivi.
-
1:09 - 1:13Unakotoka
sio suala. -
1:13 - 1:19Suala ni moyo wako sasa -
uamuzi wa moyo wako sasa, -
1:19 - 1:23hapa, katika wakati huu.
-
1:23 - 1:25Fungua moyo wako kwa Mungu.
-
1:25 - 1:30Fungua moyo wako Kwake na
uruhusu nguvu za Roho Wake -
1:30 - 1:41zioshe kila maumivu ya zamani - aibu yote, majuto na ugonjwa wa zamani.
-
1:41 - 1:45Katika mazingira haya ya imani,
watu wa Mungu, inukeni! -
1:45 - 1:49Ni wakati wa maombi sasa hivi.
-
1:49 - 1:56Uongo wowote ambao shetani ametumia
kukumbusha maisha yako ya nyuma - -
1:56 - 2:02nyamazishwe, katika
jina kuu la Yesu Kristo. -
2:18 - 2:29Mnyororo huo wa maumivu ya zamani - nasema, uvunjwe
katika jina la Yesu Kristo! -
2:40 - 2:45Kumbuka, kile unachoshikilia dhidi ya mtu mwingine ndicho hasa kinachokurudisha nyuma!
-
2:45 - 2:52Roho hiyo ya kutokusamehe inakuzuia kusonga mbele -
-
2:52 - 2:55Ninasema, ondolewa!
-
2:55 - 2:57Uondolewe sasa hivi!
-
2:57 - 3:02Roho hiyo ya kutosamehe,
roho ya uchungu, -
3:02 - 3:05roho hiyo ya chuki -
-
3:05 - 3:08uondolewa, kwa jina la Yesu Kristo!
-
3:34 - 3:41Sasa hivi watu wa Mungu sijui shetani amewaweka ndani ya ngome gani
-
3:41 - 3:44au njia ambayo ametumia
kukuweka kwenye ngome hiyo, -
3:44 - 3:47lakini nawaambia leo kwa imani -
-
3:47 - 3:54leo ni siku yako ya kufunguliwa kutoka utumwani!
-
3:54 - 3:59Funguliwa kutoka kwa ngome hiyo!
-
3:59 - 4:03Funguliwa, katika jina la Yesu Kristo!
-
4:27 - 4:31Ufunguliwe sasa hivi kutoka kwenye
hicho kizimba ya ugonjwa. -
4:31 - 4:36Atolewe sasa hivi kutoka kwa
kesi hicho kizimba cha jinamizi. -
4:36 - 4:41Ufunguliwe, katika jina la Yesu Kristo, kutoka katika kizimba hicho cha utumwa.
-
4:41 - 4:44Ninasema, utolewe kwenye kizimba hicho!
-
4:44 - 4:47Toka kwenye kizimba hicho sasa hivi!
-
5:04 - 5:10Ninakuona ukitoka kwenye kizimba hicho.
-
5:10 - 5:13Toka nje ya kizimba sasa hivi!
-
5:13 - 5:16Toka kwenye kizimba cha laana za vizazi!
-
5:16 - 5:18Toka kwenye kizimba cha mateso!
-
5:18 - 5:21Kutoka kwenye kizimba cha uraibu!
-
5:21 - 5:24Toka kwenye kizimba hicho sasa hivi!
-
5:44 - 5:52Nguvu yoyote ya giza
inyoafanya kazi katika maisha yako - -
5:52 - 5:56Natangaza ukombozi sasa hivi!
-
5:56 - 5:59Ukombolewe kutoka gizani!
-
5:59 - 6:01Ukombolewe kutoka katika ugonjwa!
-
6:01 - 6:04Ukombolewe kutoka katika nguvu za adui!
-
6:04 - 6:09Kombolewa sasa hivi,
katika jina la Yesu Kristo. -
6:26 - 6:32Ndiyo, watu wa Mungu, ukombozi
unafanyika sasa hivi. -
6:32 - 6:36Roho Mtakatifu anawasiliana na roho zenu.
-
6:36 - 6:43Na kuwe na nuru!
-
6:58 - 7:06Roho huyo wa kishetani anayehusika na
hali yako, nyuma ya hali yako, -
7:06 - 7:11Ninasema sasa hivi - toka nje,
katika jina la Yesu Kristo! -
7:11 - 7:15Roho hiyo ya uchungu - toka sasa hivi!
-
7:15 - 7:19Roho hiyo ya mateso - toka sasa hivi!
-
7:19 - 7:23Roho hiyo ya uraibu - toka nje!
-
7:42 - 7:51Ninakuambia - kila neno hasi linalotamkwa juu ya maisha yako,
-
7:51 - 7:59kwa imani katika jina la Yesu Kristo -
futwa! Futwa sasa hivi! -
7:59 - 8:03Futa hayo maneno mabaya
yaliyotangazwa juu ya maisha yako. -
8:03 - 8:06Yafute kwa jina la Yesu Kristo.
-
8:25 - 8:30Wengi wetu tumekuwa tukipata ishara mbaya katika ndoto zetu -
-
8:30 - 8:32jinamizi la ajabu.
-
8:32 - 8:38Ninasema hivi sasa kwa kila mtu aliye chini ya
ushawishi wa programu hii -
8:38 - 8:40kuteswa na ndoto mbaya -
-
8:40 - 8:45jinamizi hilo, lisitishwe!
-
8:45 - 8:47Futwa sasa hivi!
-
9:07 - 9:12Sasa hivi, nataka wewe kwa
imani uweke mkono wako - -
9:12 - 9:17ikiwa kuna sehemu yoyote ya mwili wako
ambapo unapata maumivu, -
9:17 - 9:21weka mkono wako hapo kama mahali pa kuwasiliana.
-
9:21 - 9:25Ikiwa una picha hapo ya mtu
ambaye anateseka, -
9:25 - 9:27Shikilia picha hiyo kwa imani.
-
9:27 - 9:31Roho wa Mungu anatenda kazi sasa hivi.
-
9:31 - 9:38Chochote ulichokula katika meza ya adui
-
9:38 - 9:49ambacho ni kinasababisha hayo magonjwa, mateso, maumivu - nasema, tupiliwa nje sasa hivi!
-
9:49 - 9:53Kitapike, katika jina la Yesu Kristo!
-
9:53 - 9:59Kitoke kwenye mfumo wako! Kitoke kwenye viungo vyako!
Kitoke kwenye uwezo wako! -
10:21 - 10:29Ninazungumza na mifupa yako iliyo chini ya ushawishi wa magonjwa - kuwa mzima!
-
10:29 - 10:33Uwe mzima, katika
jina la Yesu Kristo! -
10:46 - 10:54Ninazungumza na damu yako iliyo chini ya ushawishi wa mateso - takaswa!
-
10:54 - 10:58Usafishwe kwa Damu ya Yesu Kristo!
-
11:11 - 11:21Ninazungumza na ogani hiyo iliyoharibiwa kwenye mfumo wako - anza kufanya kazi!
-
11:21 - 11:24Fanya kazi, katika jina la Yesu Kristo!
-
11:36 - 11:47Popote pale ugonjwa huo ulipo,
ndani au nje, -
11:47 - 11:52kwa mamlaka katika
jina la Yesu Kristo - -
11:52 - 11:55Ninatangaza uponyaji sasa hivi!
-
11:55 - 12:00Uponywe, katika jina la Yesu!
-
12:00 - 12:03Uponywe, katika jina la Yesu Kristo!
-
12:23 - 12:33Sehemu yoyote ya maisha yako inayotishwa na ugonjwa, mateso au ugonjwa -
-
12:33 - 12:39leo, natangaza urejesho! Urejeshwe!
-
12:39 - 12:43Urejeshwe kwa nguvu za ufufuo!
-
13:01 - 13:08Wewe shetani unayehusika na ugonjwa huo,
unayehusika na maumivu hayo, -
13:08 - 13:12unayehusika kwa ile laana ya kizazi
ya ugonjwa, -
13:12 - 13:16Nakuambia, shetani
lazima uondoke sasa hivi! -
13:16 - 13:19Ninasema, ondoka kwa jina la Yesu!
-
13:19 - 13:23Ondoka na maumivu yako ya mgongo!
Ondoka na maumivu ya moyo wako! -
13:23 - 13:27Ondoka na maumivu ya goti!
Ondoka na maumivu ya kichwa! -
13:27 - 13:31Ondoka, kwa jina la Yesu Kristo!
-
13:52 - 13:58Kuna wengi wetu ambao wanaonekana wameingia kwenye mzunguko huu wa dhuluma
-
13:58 - 14:00kutoka kizazi hadi kizazi -
-
14:00 - 14:07ukandamizaji unajidhihirisha kwa namna ya magonjwa, maradhi, shida, umaskini.
-
14:07 - 14:16Sasa hivi, nakuambia -
achana na mzunguko huo! -
14:16 - 14:20Furahia! Achana nae sasa hivi!
-
14:39 - 14:46Jikomboe na mzunguko huo wa magonjwa!
Ondoka kutoka kwenye mzunguko huo wa umaskini! -
14:46 - 14:49Jikomboe na mzunguko huo wa vilio!
-
14:49 - 14:54Jiweke huru! Achana navyo sasa hivi!
-
15:10 - 15:18Najua kuna wengi wetu ambao wameshikwa sawa katika mzunguko wa kufadhaika -
-
15:18 - 15:26kuchanganyikiwa katika sehemu zetu za kazi,
fedha, biashara. -
15:26 - 15:28Inatosha!
-
15:28 - 15:39Hivi sasa, kila mzunguko wa kufadhaika -
Nasema, uvunjwe! -
15:39 - 15:40Kuvunjika sasa hivi!
-
15:40 - 15:43Vunja mlolongo huo wa kufadhaika!
-
15:43 - 15:46Vunja kwa jina la Yesu Kristo.
-
16:10 - 16:24Kuchanganyikiwa huko katika kazi yako, fedha, biashara, kutafuta kazi, masomo -
-
16:24 - 16:32Ninasema, uvunjwe, katika
jina la Yesu Kristo! -
16:50 - 17:00Vunja roho hiyo ya kufadhaika
na upokee hekima ya Mungu. -
17:00 - 17:03Pokea hekima ya Mungu sasa hivi!
-
17:03 - 17:06Hekima ya kusimamia fedha zako.
-
17:06 - 17:08Hekima ya kusimamia biashara yako.
-
17:08 - 17:10Hekima ya kusimamia familia yako.
-
17:10 - 17:13Hekima ya kusimamia uchaguzi wako wa kazi.
-
17:13 - 17:16Pokea hekima kutoka kwa Mungu!
-
17:36 - 17:44Kila roho ya ngeni ya ubinafsi
na kujijali peke yetu tu - -
17:44 - 17:46sio sehemu yako!
-
17:46 - 17:49Ninasema, toka sasa hivi!
-
17:49 - 17:51Toka, katika jina la Yesu Kristo!
-
17:51 - 17:55Toka, katika jina kuu la Yesu Kristo!
-
18:09 - 18:14Hivi sasa, ninataka kutoa
maombi kwa wanandoa -
18:14 - 18:17ambao wamejiunnga kwa wakati huu.
-
18:17 - 18:23Ikiwa uko hapa na mumeo au mke wako, shikaneni sasa hivi.
-
18:23 - 18:25Tuombe kwa ajili ya ndoa.
-
18:25 - 18:33Kila roho inayoshambulia
huba katika ndoa yako - -
18:33 - 18:38Ninasema, toka sasa hivi!
-
18:38 - 18:41Toka, katika jina la Yesu Kristo!
-
18:41 - 18:48Fungua midomo yako kwa imani moyoni mwako na anza kuomba katika jina la Yesu Kristo
-
18:48 - 18:52dhidi ya roho hiyo inayoshambulia
huba katika ndoa yako. -
18:52 - 18:54Toka nje sasa hivi!
-
19:15 - 19:20Chochote ambacho shetani anakitumia
kuiba furaha katika ndoa yako, -
19:20 - 19:25kuiba amani katika ndoa yako,
kuiba umoja katika ndoa yako - -
19:25 - 19:30Ninasema, uondolewe sasa hivi.
-
19:30 - 19:33Ondoka, kwa jina kuu la Yesu!
-
19:50 - 20:08Sikiliza. Chochote kinachosumbua moyo wako sasa hivi - nasema, uimarishwe katika imani!
-
20:08 - 20:12Uimarishwe na
Roho wa Mungu sasa hivi! -
20:27 - 20:33Chochote kinachoweza kuwa kinasumbua moyo wako -
pokea amani, kwa jina la Yesu. -
20:33 - 20:36Amani ipitayo akili zote.
-
20:36 - 20:39Amani katika ndoa yako!
Amani nyumbani kwako! -
20:39 - 20:45Amani katika familia yako! Amani katika
fedha zako! Pokea amani! -
21:04 - 21:07Unapomwomba Mungu amani,
-
21:07 - 21:13ikiwa una bendera ya nchi yako,
iinue kama mahali pa kuwasiliana - -
21:13 - 21:16tuombe kwa ajili ya dunia!
-
21:16 - 21:19Kuna nguvu katika maombezi.
-
21:19 - 21:27Omba amani ya Mungu itawale ndani ya mioyo
ya viongozi wa taifa lako. -
21:27 - 21:32Omba sasa hivi. Simama katika pengo
kwa niaba ya viongozi wako. -
21:32 - 21:36Omba amani sasa hivi
itawale mioyoni mwao - -
21:36 - 21:45amani ya Kristo itawale mioyoni mwao na kuathiri kufanya maamuzi yao.
-
21:45 - 21:47Muombe sasa hivi!
-
22:08 - 22:12Muombe hekima ya Mungu -
-
22:12 - 22:18Hekima ya Mungu kusema kwa ajili ya
viongozi wa taifa lako, -
22:18 - 22:23Hekima ya Mungu kuabiri
mivutano ya sasa -
22:23 - 22:27na hali zinazoendelea
ulimwenguni kote. -
22:27 - 22:30Omba hekima ya Mungu sasa hivi!
-
22:47 - 22:55Mbinu zozote ambazo shetani amezipanga
ili kukutenganisha na Mungu - -
22:55 - 23:02Nasema, pokea nguvu ya kuzipinga!
-
23:02 - 23:07Pokea nguvu hizo za kupinga majaribu!
-
23:27 - 23:33Pokea nguvu hizo za kupinga jaribu la maafikiano.
-
23:33 - 23:39Pokea nguvu hizo za kupinga jaribu la kuwa vuguvugu kiroho.
-
23:39 - 23:44Pokea nguvu hizo kutoka
juu, katika jina la Yesu. -
24:02 - 24:13Najua kuna sauti nyingi za kukata tamaa, zinazokuambia ukate tamaa, uache -
-
24:13 - 24:18kwamba hakuna njia ya kutoka au hakuna njia ya mbele.
-
24:18 - 24:28Ninakuambia leo - pokea
ujasiri wa kuendelea kushinikiza. -
24:28 - 24:32Pokea ujasiri wa kuendelea kushinikiza.
-
24:32 - 24:39Pokea imani ya kuendelea kushinikiza - usikate tamaa kamwe!
-
25:07 - 25:17Kuna wengi wetu chini ya
mtego wa kutojithamini -
25:17 - 25:25kwa sababu hatujakubali
utambulisho wetu katika Kristo. -
25:25 - 25:34Uongo wowote kutoka kwa shetani kushambulia hakikisho la wewe ni nani katika Kristo -
-
25:34 - 25:43Ninasema sasa hivi, uondolewe,
katika jina la Yesu Kristo! -
25:43 - 25:45Wewe ni yule ambaye Mungu anasema uko!
-
25:45 - 25:47Una kile Mungu anasema unacho!
-
25:47 - 25:50Unaweza kufanya kile ambacho Mungu anasema unaweza kufanya!
-
26:15 - 26:21Katika jina tukufu la
Yesu Kristo tunaomba! -
26:27 - 26:38Watu wa Mungu, kwa imani, naweza kusikia sauti ya furaha nyumbani kwako.
-
26:38 - 26:43Ninaweza kusikia kelele za
sherehe nyumbani kwako. -
26:43 - 26:48Ninaweza kusikia kelele za ushuhuda
nyumbani kwako! -
26:48 - 26:52Furahia sasa hivi!
-
26:52 - 26:54Kwa nini kuna sherehe?
-
26:54 - 26:59Kwa sababu zamani yako imekwisha!
-
26:59 - 27:02Maisha yako ya zamani ya ugonjwa yamekwisha!
-
27:02 - 27:05Maisha yako ya zamani ya unyogovu yamekwisha!
-
27:05 - 27:08Maisha yako ya zamani ya utumwa yamekwisha!
-
27:08 - 27:11Maisha yako ya zamani ya ndoto mbaya yamekwisha!
-
27:11 - 27:14Maisha yako ya zamani ya ugonjwa yamekwisha!
-
27:14 - 27:17Maisha yako ya zamani ya mateso yamekwisha!
-
27:17 - 27:21Imekwisha!
-
27:21 - 27:27Kwa kuwa Mungu ametangaza mambo yako
ya kale yamekwisha, jukumu lako ni nini? -
27:27 - 27:34Ni lazima ukubaliane na ukweli huo
na kutembea kulingana na ukweli huo. -
27:34 - 27:38Anza kutembea kulingana
na ukweli huo sasa hivi. -
27:38 - 27:40Sherehekea katika nuru ya uhuru wako.
-
27:40 - 27:42Furahi katika nuru ya uhuru wako.
-
27:42 - 27:45Shuhudia katika nuru ya uhuru wako.
-
27:45 - 27:47Wale waliokuwa na maradhi miongoni mwenu,
-
27:47 - 27:51Ninataka ujichunguze,
uangalie mwili wako sasa hivi -
27:51 - 27:57kwa sababu nguvu za Roho Mtakatifu zimekugusa - roho, nafsi na mwili.
-
27:57 - 28:01Jiangalie na ufurahi!
-
28:01 - 28:06Unapofurahi,
kusherehekea na kushuhudia, -
28:06 - 28:10niwakumbushe, watu wa Mungu;
-
28:10 - 28:19Kwa kuwa maisha yako ya nyuma yamepita, hupaswi kurudi kwenye tabia zako za zamani
-
28:19 - 28:24ambayo unajua hayakumtukuza Mungu.
-
28:24 - 28:33Ndiyo, umechukua hatua hiyo ya imani;
sasa lazima ubaki katika imani. -
28:33 - 28:36Kumbuka Maneno ya
Yesu tuliyosoma hapo awali - -
28:36 - 28:41'Kaeni ndani yangu kama navyokaa ndani yenu.'
-
28:41 - 28:45Je, tunabakije ndani ya Kristo?
-
28:45 - 28:53Kristo na Neno Lake ni kitu kimoja.
-
28:53 - 29:03Ninakuhimiza usome
Biblia yako kila siku kwa moyo wazi. -
29:03 - 29:10Kadiri unavyosoma Neno la Mungu,
ndivyo unavyoelewa zaidi kukuhusu wewe mwenyewe -
29:10 - 29:17na ndivyo unavyozidi kuelewa mpango Wake na kusudi la maisha yako.
-
29:17 - 29:25Na mnapochukua hatua hiyo, watu wa Mungu, hatuwezi kusubiri kusikia shuhuda zenu
-
29:25 - 29:31kwa sababu Mungu amegusa maisha yako
leo kwa namna ya pekee sana.
- Title:
- UKOMBOZI WA UMA wakati wa MAOMBI YENYE NGUVU!!!
- Description:
-
Je, unahitaji maombi kwa ajili ya ukombozi? Video hii ni kwa ajili yako! Iwapo kuna eneo lolote la maisha yako lililofungwa katika ngome ya mashetani, jiunge na maombi haya - pamoja na maelfu waliounganishwa kwa wakati mmoja ulimwenguni kote kupitia Zoom - na upokee uhuru wako! Fungua moyo wako na uwe tayari KUTOKA kwenye ngome hiyo, katika jina kuu la Yesu Kristo!
SURA:
00:00 - Muhtasari mfupi wa maombi
00:21 - Maandalizi ya maombi
01:50 - Maombi ya msamaha
03:34 - Maombi ya ukombozi
09:08 - Maombi ya uponyaji
15:10 - Maombi kwa ajili ya mafanikio
18:09 - Maombi kwa ajili ya ndoa
21:04 - Maombi kwa ajili ya mataifa
22:47 - Maombi kwa ajili ya safari ya imani mbele
26:27 - Kukiri kwa imani
27:21 - Maneno ya kutia moyo#Maombi Shirikishi
➡️ Pata kutiwa Moyo Kila Siku kwenye WhatsApp - https://godsheart.tv/whatsapp/
➡️ Saidia TV ya Moyo wa Mungu kifedha - https://godsheart.tv/financial/
➡️ Habari kuhusu Maombi ya Mwingiliano - https://godsheart.tv/interactive-prayer/
➡️ Jitolee kama Mtafsiri wa TV ya Moyo wa Mungu - https://godsheart.tv/translate/
➡️ Shirikisha ushuhuda wako - https://godsheart.tv/testimony
➡️ Jiunge na Ibada yetu ya Maombi ya Moja kwa Moja Jumamosi ya kwanza ya kila mwezi - https://www.youtube.com/godshearttv/live - Video Language:
- English
- Team:
- God's Heart TV
- Duration:
- 30:02
georgejbudeba edited Swahili subtitles for MASS DELIVERANCE during POWERFUL PRAYER!!! | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for MASS DELIVERANCE during POWERFUL PRAYER!!! | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for MASS DELIVERANCE during POWERFUL PRAYER!!! | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for MASS DELIVERANCE during POWERFUL PRAYER!!! | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for MASS DELIVERANCE during POWERFUL PRAYER!!! | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for MASS DELIVERANCE during POWERFUL PRAYER!!! | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for MASS DELIVERANCE during POWERFUL PRAYER!!! | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for MASS DELIVERANCE during POWERFUL PRAYER!!! |