[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:06.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninakuona ukitoka kwenye ngome hiyo. Dialogue: 0,0:00:06.00,0:00:09.00,Default,,0000,0000,0000,,Toka nje ya ngome sasa hivi! Dialogue: 0,0:00:09.00,0:00:12.00,Default,,0000,0000,0000,,Kutoka kwenye kizimba cha laana za vizazi! Dialogue: 0,0:00:12.00,0:00:14.00,Default,,0000,0000,0000,,Toka kwenye kizimba cha mateso! Dialogue: 0,0:00:14.00,0:00:16.00,Default,,0000,0000,0000,,Toka kwenye kizimba cha kulevya! Dialogue: 0,0:00:16.00,0:00:19.00,Default,,0000,0000,0000,,Toka kwenye kizimba hicho sasa hivi! Dialogue: 0,0:00:21.00,0:00:27.00,Default,,0000,0000,0000,,Sijui uchungu \Nunaopitia Dialogue: 0,0:00:27.00,0:00:33.00,Default,,0000,0000,0000,,ambao umekusukuma kuungana\Nna huduma hii leo. Dialogue: 0,0:00:33.00,0:00:37.00,Default,,0000,0000,0000,,Lakini jambo moja najua - Dialogue: 0,0:00:37.00,0:00:44.00,Default,,0000,0000,0000,,hata haujawazuia \Nninyi kumtafuta Mungu, Dialogue: 0,0:00:44.00,0:00:50.00,Default,,0000,0000,0000,,ni kwa ajili ya ukombozi wenu,\Nsi uharibifu wenu. Dialogue: 0,0:00:50.00,0:00:58.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo usizingatie maumivu yako;\Nkazia kusudi la Mungu. Dialogue: 0,0:00:58.00,0:01:06.00,Default,,0000,0000,0000,,Usizingatie maisha yako ya zamani; zingatia kile ambacho Mungu anakisema juu ya sasa yako - Dialogue: 0,0:01:06.00,0:01:09.00,Default,,0000,0000,0000,,hapa, sasa hivi. Dialogue: 0,0:01:09.00,0:01:13.00,Default,,0000,0000,0000,,Unakotoka \Nsio suala. Dialogue: 0,0:01:13.00,0:01:19.00,Default,,0000,0000,0000,,Suala ni moyo wako sasa - \Nuamuzi wa moyo wako sasa, Dialogue: 0,0:01:19.00,0:01:23.00,Default,,0000,0000,0000,,hapa, katika wakati huu. Dialogue: 0,0:01:23.00,0:01:25.00,Default,,0000,0000,0000,,Fungua moyo wako kwa Mungu. Dialogue: 0,0:01:25.00,0:01:30.00,Default,,0000,0000,0000,,Fungua moyo wako Kwake na \Nuruhusu nguvu za Roho Wake Dialogue: 0,0:01:30.00,0:01:41.00,Default,,0000,0000,0000,,zioshe kila maumivu ya zamani - aibu yote, majuto na ugonjwa wa zamani. Dialogue: 0,0:01:41.00,0:01:45.00,Default,,0000,0000,0000,,Katika mazingira haya ya imani,\Nwatu wa Mungu, inukeni! Dialogue: 0,0:01:45.00,0:01:49.00,Default,,0000,0000,0000,,Ni wakati wa maombi sasa hivi. Dialogue: 0,0:01:49.00,0:01:56.00,Default,,0000,0000,0000,,Uongo wowote ambao shetani ametumia\Nkukumbusha maisha yako ya nyuma - Dialogue: 0,0:01:56.00,0:02:02.00,Default,,0000,0000,0000,,nyamazishwe, katika \Njina kuu la Yesu Kristo. Dialogue: 0,0:02:18.00,0:02:29.00,Default,,0000,0000,0000,,Mnyororo huo wa maumivu ya zamani - nasema, uvunjwe \Nkatika jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:02:40.00,0:02:45.00,Default,,0000,0000,0000,,Kumbuka, kile unachoshikilia dhidi ya mtu mwingine ndicho hasa kinachokurudisha nyuma! Dialogue: 0,0:02:45.00,0:02:52.00,Default,,0000,0000,0000,,Roho hiyo ya kutokusamehe inakuzuia kusonga mbele - Dialogue: 0,0:02:52.00,0:02:55.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninasema, ondolewa! Dialogue: 0,0:02:55.00,0:02:57.00,Default,,0000,0000,0000,,Uondolewe sasa hivi! Dialogue: 0,0:02:57.00,0:03:02.00,Default,,0000,0000,0000,,Roho hiyo ya kutosamehe, \Nroho ya uchungu, Dialogue: 0,0:03:02.00,0:03:05.00,Default,,0000,0000,0000,,roho hiyo ya chuki - Dialogue: 0,0:03:05.00,0:03:08.00,Default,,0000,0000,0000,,uondolewa, kwa jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:03:34.00,0:03:41.00,Default,,0000,0000,0000,,Sasa hivi watu wa Mungu sijui shetani amewaweka ndani ya ngome gani Dialogue: 0,0:03:41.00,0:03:44.00,Default,,0000,0000,0000,,au njia ambayo ametumia \Nkukuweka kwenye ngome hiyo, Dialogue: 0,0:03:44.00,0:03:47.00,Default,,0000,0000,0000,,lakini nawaambia leo kwa imani - Dialogue: 0,0:03:47.00,0:03:54.00,Default,,0000,0000,0000,,leo ni siku yako ya kufunguliwa kutoka utumwani! Dialogue: 0,0:03:54.00,0:03:59.00,Default,,0000,0000,0000,,Funguliwa kutoka kwa ngome hiyo! Dialogue: 0,0:03:59.00,0:04:03.00,Default,,0000,0000,0000,,Funguliwa, katika jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:04:27.00,0:04:31.00,Default,,0000,0000,0000,,Ufunguliwe sasa hivi kutoka kwenye \Nhicho kizimba ya ugonjwa. Dialogue: 0,0:04:31.00,0:04:36.00,Default,,0000,0000,0000,,Atolewe sasa hivi kutoka kwa \Nkesi hicho kizimba cha jinamizi. Dialogue: 0,0:04:36.00,0:04:41.00,Default,,0000,0000,0000,,Ufunguliwe, katika jina la Yesu Kristo, kutoka katika kizimba hicho cha utumwa. Dialogue: 0,0:04:41.00,0:04:44.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninasema, utolewe kwenye kizimba hicho! Dialogue: 0,0:04:44.00,0:04:47.00,Default,,0000,0000,0000,,Toka kwenye kizimba hicho sasa hivi! Dialogue: 0,0:05:04.00,0:05:10.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninakuona ukitoka kwenye kizimba hicho. Dialogue: 0,0:05:10.00,0:05:13.00,Default,,0000,0000,0000,,Toka nje ya kizimba sasa hivi! Dialogue: 0,0:05:13.00,0:05:16.00,Default,,0000,0000,0000,,Toka kwenye kizimba cha laana za vizazi! Dialogue: 0,0:05:16.00,0:05:18.00,Default,,0000,0000,0000,,Toka kwenye kizimba cha mateso! Dialogue: 0,0:05:18.00,0:05:21.00,Default,,0000,0000,0000,,Kutoka kwenye kizimba cha uraibu! Dialogue: 0,0:05:21.00,0:05:24.00,Default,,0000,0000,0000,,Toka kwenye kizimba hicho sasa hivi! Dialogue: 0,0:05:44.00,0:05:52.00,Default,,0000,0000,0000,,Nguvu yoyote ya giza \Ninyoafanya kazi katika maisha yako - Dialogue: 0,0:05:52.00,0:05:56.00,Default,,0000,0000,0000,,Natangaza ukombozi sasa hivi! Dialogue: 0,0:05:56.00,0:05:59.00,Default,,0000,0000,0000,,Ukombolewe kutoka gizani! Dialogue: 0,0:05:59.00,0:06:01.00,Default,,0000,0000,0000,,Ukombolewe kutoka katika ugonjwa! Dialogue: 0,0:06:01.00,0:06:04.00,Default,,0000,0000,0000,,Ukombolewe kutoka katika nguvu za adui! Dialogue: 0,0:06:04.00,0:06:09.00,Default,,0000,0000,0000,,Kombolewa sasa hivi, \Nkatika jina la Yesu Kristo. Dialogue: 0,0:06:26.00,0:06:32.00,Default,,0000,0000,0000,,Ndiyo, watu wa Mungu, ukombozi \Nunafanyika sasa hivi. Dialogue: 0,0:06:32.00,0:06:36.00,Default,,0000,0000,0000,,Roho Mtakatifu anawasiliana na roho zenu. Dialogue: 0,0:06:36.00,0:06:43.00,Default,,0000,0000,0000,,Na kuwe na nuru! Dialogue: 0,0:06:58.00,0:07:06.00,Default,,0000,0000,0000,,Roho huyo wa kishetani anayehusika na \Nhali yako, nyuma ya hali yako, Dialogue: 0,0:07:06.00,0:07:11.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninasema sasa hivi - toka nje, \Nkatika jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:07:11.00,0:07:15.00,Default,,0000,0000,0000,,Roho hiyo ya uchungu - toka sasa hivi! Dialogue: 0,0:07:15.00,0:07:19.00,Default,,0000,0000,0000,,Roho hiyo ya mateso - toka sasa hivi! Dialogue: 0,0:07:19.00,0:07:23.00,Default,,0000,0000,0000,,Roho hiyo ya uraibu - toka nje! Dialogue: 0,0:07:42.00,0:07:51.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninakuambia - kila neno hasi linalotamkwa juu ya maisha yako, Dialogue: 0,0:07:51.00,0:07:59.00,Default,,0000,0000,0000,,kwa imani katika jina la Yesu Kristo - \Nfutwa! Futwa sasa hivi! Dialogue: 0,0:07:59.00,0:08:03.00,Default,,0000,0000,0000,,Futa hayo maneno mabaya \Nyaliyotangazwa juu ya maisha yako. Dialogue: 0,0:08:03.00,0:08:06.00,Default,,0000,0000,0000,,Yafute kwa jina la Yesu Kristo. Dialogue: 0,0:08:25.00,0:08:30.00,Default,,0000,0000,0000,,Wengi wetu tumekuwa tukipata ishara mbaya katika ndoto zetu - Dialogue: 0,0:08:30.00,0:08:32.00,Default,,0000,0000,0000,,jinamizi la ajabu. Dialogue: 0,0:08:32.00,0:08:38.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninasema hivi sasa kwa kila mtu aliye chini ya \Nushawishi wa programu hii Dialogue: 0,0:08:38.00,0:08:40.00,Default,,0000,0000,0000,,kuteswa na ndoto mbaya - Dialogue: 0,0:08:40.00,0:08:45.00,Default,,0000,0000,0000,,jinamizi hilo, lisitishwe! Dialogue: 0,0:08:45.00,0:08:47.00,Default,,0000,0000,0000,,Futwa sasa hivi! Dialogue: 0,0:09:07.00,0:09:12.00,Default,,0000,0000,0000,,Sasa hivi, nataka wewe kwa \Nimani uweke mkono wako - Dialogue: 0,0:09:12.00,0:09:17.00,Default,,0000,0000,0000,,ikiwa kuna sehemu yoyote ya mwili wako \Nambapo unapata maumivu, Dialogue: 0,0:09:17.00,0:09:21.00,Default,,0000,0000,0000,,weka mkono wako hapo kama mahali pa kuwasiliana. Dialogue: 0,0:09:21.00,0:09:25.00,Default,,0000,0000,0000,,Ikiwa una picha hapo ya mtu \Nambaye anateseka, Dialogue: 0,0:09:25.00,0:09:27.00,Default,,0000,0000,0000,,Shikilia picha hiyo kwa imani. Dialogue: 0,0:09:27.00,0:09:31.00,Default,,0000,0000,0000,,Roho wa Mungu anatenda kazi sasa hivi. Dialogue: 0,0:09:31.00,0:09:38.00,Default,,0000,0000,0000,,Chochote ulichokula katika meza ya adui Dialogue: 0,0:09:38.00,0:09:49.00,Default,,0000,0000,0000,,ambacho ni kinasababisha hayo magonjwa, mateso, maumivu - nasema, tupiliwa nje sasa hivi! Dialogue: 0,0:09:49.00,0:09:53.00,Default,,0000,0000,0000,,Kitapike, katika jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:09:53.00,0:09:59.00,Default,,0000,0000,0000,,Kitoke kwenye mfumo wako! Kitoke kwenye viungo vyako!\NKitoke kwenye uwezo wako! Dialogue: 0,0:10:21.00,0:10:29.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninazungumza na mifupa yako iliyo chini ya ushawishi wa magonjwa - kuwa mzima! Dialogue: 0,0:10:29.00,0:10:33.00,Default,,0000,0000,0000,,Uwe mzima, katika \Njina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:10:46.00,0:10:54.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninazungumza na damu yako iliyo chini ya ushawishi wa mateso - takaswa! Dialogue: 0,0:10:54.00,0:10:58.00,Default,,0000,0000,0000,,Usafishwe kwa Damu ya Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:11:11.00,0:11:21.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninazungumza na ogani hiyo iliyoharibiwa kwenye mfumo wako - anza kufanya kazi! Dialogue: 0,0:11:21.00,0:11:24.00,Default,,0000,0000,0000,,Fanya kazi, katika jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:11:36.00,0:11:47.00,Default,,0000,0000,0000,,Popote pale ugonjwa huo ulipo, \Nndani au nje, Dialogue: 0,0:11:47.00,0:11:52.00,Default,,0000,0000,0000,,kwa mamlaka katika \Njina la Yesu Kristo - Dialogue: 0,0:11:52.00,0:11:55.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninatangaza uponyaji sasa hivi! Dialogue: 0,0:11:55.00,0:12:00.00,Default,,0000,0000,0000,,Uponywe, katika jina la Yesu! Dialogue: 0,0:12:00.00,0:12:03.00,Default,,0000,0000,0000,,Uponywe, katika jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:12:23.00,0:12:33.00,Default,,0000,0000,0000,,Sehemu yoyote ya maisha yako inayotishwa na ugonjwa, mateso au ugonjwa - Dialogue: 0,0:12:33.00,0:12:39.00,Default,,0000,0000,0000,,leo, natangaza urejesho! Urejeshwe! Dialogue: 0,0:12:39.00,0:12:43.00,Default,,0000,0000,0000,,Urejeshwe kwa nguvu za ufufuo! Dialogue: 0,0:13:01.00,0:13:08.00,Default,,0000,0000,0000,,Wewe shetani unayehusika na ugonjwa huo,\Nunayehusika na maumivu hayo, Dialogue: 0,0:13:08.00,0:13:12.00,Default,,0000,0000,0000,,unayehusika kwa ile laana ya kizazi \Nya ugonjwa, Dialogue: 0,0:13:12.00,0:13:16.00,Default,,0000,0000,0000,,Nakuambia, shetani \Nlazima uondoke sasa hivi! Dialogue: 0,0:13:16.00,0:13:19.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninasema, ondoka kwa jina la Yesu! Dialogue: 0,0:13:19.00,0:13:23.00,Default,,0000,0000,0000,,Ondoka na maumivu yako ya mgongo!\NOndoka na maumivu ya moyo wako! Dialogue: 0,0:13:23.00,0:13:27.00,Default,,0000,0000,0000,,Ondoka na maumivu ya goti!\NOndoka na maumivu ya kichwa! Dialogue: 0,0:13:27.00,0:13:31.00,Default,,0000,0000,0000,,Ondoka, kwa jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:13:52.00,0:13:58.00,Default,,0000,0000,0000,,Kuna wengi wetu ambao wanaonekana wameingia kwenye mzunguko huu wa dhuluma Dialogue: 0,0:13:58.00,0:14:00.00,Default,,0000,0000,0000,,kutoka kizazi hadi kizazi - Dialogue: 0,0:14:00.00,0:14:07.00,Default,,0000,0000,0000,,ukandamizaji unajidhihirisha kwa namna ya magonjwa, maradhi, shida, umaskini. Dialogue: 0,0:14:07.00,0:14:16.00,Default,,0000,0000,0000,,Sasa hivi, nakuambia - \Nachana na mzunguko huo! Dialogue: 0,0:14:16.00,0:14:20.00,Default,,0000,0000,0000,,Furahia! Achana nae sasa hivi! Dialogue: 0,0:14:39.00,0:14:46.00,Default,,0000,0000,0000,,Jikomboe na mzunguko huo wa magonjwa!\NOndoka kutoka kwenye mzunguko huo wa umaskini! Dialogue: 0,0:14:46.00,0:14:49.00,Default,,0000,0000,0000,,Jikomboe na mzunguko huo wa vilio! Dialogue: 0,0:14:49.00,0:14:54.00,Default,,0000,0000,0000,,Jiweke huru! Achana navyo sasa hivi! Dialogue: 0,0:15:10.00,0:15:18.00,Default,,0000,0000,0000,,Najua kuna wengi wetu ambao wameshikwa sawa katika mzunguko wa kufadhaika - Dialogue: 0,0:15:18.00,0:15:26.00,Default,,0000,0000,0000,,kuchanganyikiwa katika sehemu zetu za kazi, \Nfedha, biashara. Dialogue: 0,0:15:26.00,0:15:28.00,Default,,0000,0000,0000,,Inatosha! Dialogue: 0,0:15:28.00,0:15:39.00,Default,,0000,0000,0000,,Hivi sasa, kila mzunguko wa kufadhaika - \NNasema, uvunjwe! Dialogue: 0,0:15:39.00,0:15:40.00,Default,,0000,0000,0000,,Kuvunjika sasa hivi! Dialogue: 0,0:15:40.00,0:15:43.00,Default,,0000,0000,0000,,Vunja mlolongo huo wa kufadhaika! Dialogue: 0,0:15:43.00,0:15:46.00,Default,,0000,0000,0000,,Vunja kwa jina la Yesu Kristo. Dialogue: 0,0:16:10.00,0:16:24.00,Default,,0000,0000,0000,,Kuchanganyikiwa huko katika kazi yako, fedha, biashara, kutafuta kazi, masomo - Dialogue: 0,0:16:24.00,0:16:32.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninasema, uvunjwe, katika \Njina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:16:50.00,0:17:00.00,Default,,0000,0000,0000,,Vunja roho hiyo ya kufadhaika\Nna upokee hekima ya Mungu. Dialogue: 0,0:17:00.00,0:17:03.00,Default,,0000,0000,0000,,Pokea hekima ya Mungu sasa hivi! Dialogue: 0,0:17:03.00,0:17:06.00,Default,,0000,0000,0000,,Hekima ya kusimamia fedha zako. Dialogue: 0,0:17:06.00,0:17:08.00,Default,,0000,0000,0000,,Hekima ya kusimamia biashara yako. Dialogue: 0,0:17:08.00,0:17:10.00,Default,,0000,0000,0000,,Hekima ya kusimamia familia yako. Dialogue: 0,0:17:10.00,0:17:13.00,Default,,0000,0000,0000,,Hekima ya kusimamia uchaguzi wako wa kazi. Dialogue: 0,0:17:13.00,0:17:16.00,Default,,0000,0000,0000,,Pokea hekima kutoka kwa Mungu! Dialogue: 0,0:17:36.00,0:17:44.00,Default,,0000,0000,0000,,Kila roho ya ngeni ya ubinafsi \Nna kujijali peke yetu tu - Dialogue: 0,0:17:44.00,0:17:46.00,Default,,0000,0000,0000,,sio sehemu yako! Dialogue: 0,0:17:46.00,0:17:49.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninasema, toka sasa hivi! Dialogue: 0,0:17:49.00,0:17:51.00,Default,,0000,0000,0000,,Toka, katika jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:17:51.00,0:17:55.00,Default,,0000,0000,0000,,Toka, katika jina kuu la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:18:09.00,0:18:14.00,Default,,0000,0000,0000,,Hivi sasa, ninataka kutoa \Nmaombi kwa wanandoa Dialogue: 0,0:18:14.00,0:18:17.00,Default,,0000,0000,0000,,ambao wamejiunnga kwa wakati huu. Dialogue: 0,0:18:17.00,0:18:23.00,Default,,0000,0000,0000,,Ikiwa uko hapa na mumeo au mke wako, shikaneni sasa hivi. Dialogue: 0,0:18:23.00,0:18:25.00,Default,,0000,0000,0000,,Tuombe kwa ajili ya ndoa. Dialogue: 0,0:18:25.00,0:18:33.00,Default,,0000,0000,0000,,Kila roho inayoshambulia \Nhuba katika ndoa yako - Dialogue: 0,0:18:33.00,0:18:38.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninasema, toka sasa hivi! Dialogue: 0,0:18:38.00,0:18:41.00,Default,,0000,0000,0000,,Toka, katika jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:18:41.00,0:18:48.00,Default,,0000,0000,0000,,Fungua midomo yako kwa imani moyoni mwako na anza kuomba katika jina la Yesu Kristo Dialogue: 0,0:18:48.00,0:18:52.00,Default,,0000,0000,0000,,dhidi ya roho hiyo inayoshambulia\Nhuba katika ndoa yako. Dialogue: 0,0:18:52.00,0:18:54.00,Default,,0000,0000,0000,,Toka nje sasa hivi! Dialogue: 0,0:19:15.00,0:19:20.00,Default,,0000,0000,0000,,Chochote ambacho shetani anakitumia\Nkuiba furaha katika ndoa yako, Dialogue: 0,0:19:20.00,0:19:25.00,Default,,0000,0000,0000,,kuiba amani katika ndoa yako,\Nkuiba umoja katika ndoa yako - Dialogue: 0,0:19:25.00,0:19:30.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninasema, uondolewe sasa hivi. Dialogue: 0,0:19:30.00,0:19:33.00,Default,,0000,0000,0000,,Ondoka, kwa jina kuu la Yesu! Dialogue: 0,0:19:50.00,0:20:08.00,Default,,0000,0000,0000,,Sikiliza. Chochote kinachosumbua moyo wako sasa hivi - nasema, uimarishwe katika imani! Dialogue: 0,0:20:08.00,0:20:12.00,Default,,0000,0000,0000,,Uimarishwe na \NRoho wa Mungu sasa hivi! Dialogue: 0,0:20:27.00,0:20:33.00,Default,,0000,0000,0000,,Chochote kinachoweza kuwa kinasumbua moyo wako - \Npokea amani, kwa jina la Yesu. Dialogue: 0,0:20:33.00,0:20:36.00,Default,,0000,0000,0000,,Amani ipitayo akili zote. Dialogue: 0,0:20:36.00,0:20:39.00,Default,,0000,0000,0000,,Amani katika ndoa yako!\NAmani nyumbani kwako! Dialogue: 0,0:20:39.00,0:20:45.00,Default,,0000,0000,0000,,Amani katika familia yako! Amani katika \Nfedha zako! Pokea amani! Dialogue: 0,0:21:04.00,0:21:07.00,Default,,0000,0000,0000,,Unapomwomba Mungu amani, Dialogue: 0,0:21:07.00,0:21:13.00,Default,,0000,0000,0000,,ikiwa una bendera ya nchi yako, \Niinue kama mahali pa kuwasiliana - Dialogue: 0,0:21:13.00,0:21:16.00,Default,,0000,0000,0000,,tuombe kwa ajili ya dunia! Dialogue: 0,0:21:16.00,0:21:19.00,Default,,0000,0000,0000,,Kuna nguvu katika maombezi. Dialogue: 0,0:21:19.00,0:21:27.00,Default,,0000,0000,0000,,Omba amani ya Mungu itawale ndani ya mioyo \Nya viongozi wa taifa lako. Dialogue: 0,0:21:27.00,0:21:32.00,Default,,0000,0000,0000,,Omba sasa hivi. Simama katika pengo \Nkwa niaba ya viongozi wako. Dialogue: 0,0:21:32.00,0:21:36.00,Default,,0000,0000,0000,,Omba amani sasa hivi\Nitawale mioyoni mwao - Dialogue: 0,0:21:36.00,0:21:45.00,Default,,0000,0000,0000,,amani ya Kristo itawale mioyoni mwao na kuathiri kufanya maamuzi yao. Dialogue: 0,0:21:45.00,0:21:47.00,Default,,0000,0000,0000,,Muombe sasa hivi! Dialogue: 0,0:22:08.00,0:22:12.00,Default,,0000,0000,0000,,Muombe hekima ya Mungu - Dialogue: 0,0:22:12.00,0:22:18.00,Default,,0000,0000,0000,,Hekima ya Mungu kusema kwa ajili ya \Nviongozi wa taifa lako, Dialogue: 0,0:22:18.00,0:22:23.00,Default,,0000,0000,0000,,Hekima ya Mungu kuabiri \Nmivutano ya sasa Dialogue: 0,0:22:23.00,0:22:27.00,Default,,0000,0000,0000,,na hali zinazoendelea\Nulimwenguni kote. Dialogue: 0,0:22:27.00,0:22:30.00,Default,,0000,0000,0000,,Omba hekima ya Mungu sasa hivi! Dialogue: 0,0:22:47.00,0:22:55.00,Default,,0000,0000,0000,,Mbinu zozote ambazo shetani amezipanga\Nili kukutenganisha na Mungu - Dialogue: 0,0:22:55.00,0:23:02.00,Default,,0000,0000,0000,,Nasema, pokea nguvu ya kuzipinga! Dialogue: 0,0:23:02.00,0:23:07.00,Default,,0000,0000,0000,,Pokea nguvu hizo za kupinga majaribu! Dialogue: 0,0:23:27.00,0:23:33.00,Default,,0000,0000,0000,,Pokea nguvu hizo za kupinga jaribu la maafikiano. Dialogue: 0,0:23:33.00,0:23:39.00,Default,,0000,0000,0000,,Pokea nguvu hizo za kupinga jaribu la kuwa vuguvugu kiroho. Dialogue: 0,0:23:39.00,0:23:44.00,Default,,0000,0000,0000,,Pokea nguvu hizo kutoka \Njuu, katika jina la Yesu. Dialogue: 0,0:24:02.00,0:24:13.00,Default,,0000,0000,0000,,Najua kuna sauti nyingi za kukata tamaa, zinazokuambia ukate tamaa, uache - Dialogue: 0,0:24:13.00,0:24:18.00,Default,,0000,0000,0000,,kwamba hakuna njia ya kutoka au hakuna njia ya mbele. Dialogue: 0,0:24:18.00,0:24:28.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninakuambia leo - pokea \Nujasiri wa kuendelea kushinikiza. Dialogue: 0,0:24:28.00,0:24:32.00,Default,,0000,0000,0000,,Pokea ujasiri wa kuendelea kushinikiza. Dialogue: 0,0:24:32.00,0:24:39.00,Default,,0000,0000,0000,,Pokea imani ya kuendelea kushinikiza - usikate tamaa kamwe! Dialogue: 0,0:25:07.00,0:25:17.00,Default,,0000,0000,0000,,Kuna wengi wetu chini ya \Nmtego wa kutojithamini Dialogue: 0,0:25:17.00,0:25:25.00,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu hatujakubali \Nutambulisho wetu katika Kristo. Dialogue: 0,0:25:25.00,0:25:34.00,Default,,0000,0000,0000,,Uongo wowote kutoka kwa shetani kushambulia hakikisho la wewe ni nani katika Kristo - Dialogue: 0,0:25:34.00,0:25:43.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninasema sasa hivi, uondolewe,\Nkatika jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:25:43.00,0:25:45.00,Default,,0000,0000,0000,,Wewe ni yule ambaye Mungu anasema uko! Dialogue: 0,0:25:45.00,0:25:47.00,Default,,0000,0000,0000,,Una kile Mungu anasema unacho! Dialogue: 0,0:25:47.00,0:25:50.00,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kufanya kile ambacho Mungu anasema unaweza kufanya! Dialogue: 0,0:26:15.00,0:26:21.00,Default,,0000,0000,0000,,Katika jina tukufu la \NYesu Kristo tunaomba! Dialogue: 0,0:26:27.00,0:26:38.00,Default,,0000,0000,0000,,Watu wa Mungu, kwa imani, naweza kusikia sauti ya furaha nyumbani kwako. Dialogue: 0,0:26:38.00,0:26:43.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninaweza kusikia kelele za \Nsherehe nyumbani kwako. Dialogue: 0,0:26:43.00,0:26:48.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninaweza kusikia kelele za ushuhuda \Nnyumbani kwako! Dialogue: 0,0:26:48.00,0:26:52.00,Default,,0000,0000,0000,,Furahia sasa hivi! Dialogue: 0,0:26:52.00,0:26:54.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa nini kuna sherehe? Dialogue: 0,0:26:54.00,0:26:59.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu zamani yako imekwisha! Dialogue: 0,0:26:59.00,0:27:02.00,Default,,0000,0000,0000,,Maisha yako ya zamani ya ugonjwa yamekwisha! Dialogue: 0,0:27:02.00,0:27:05.00,Default,,0000,0000,0000,,Maisha yako ya zamani ya unyogovu yamekwisha! Dialogue: 0,0:27:05.00,0:27:08.00,Default,,0000,0000,0000,,Maisha yako ya zamani ya utumwa yamekwisha! Dialogue: 0,0:27:08.00,0:27:11.00,Default,,0000,0000,0000,,Maisha yako ya zamani ya ndoto mbaya yamekwisha! Dialogue: 0,0:27:11.00,0:27:14.00,Default,,0000,0000,0000,,Maisha yako ya zamani ya ugonjwa yamekwisha! Dialogue: 0,0:27:14.00,0:27:17.00,Default,,0000,0000,0000,,Maisha yako ya zamani ya mateso yamekwisha! Dialogue: 0,0:27:17.00,0:27:21.00,Default,,0000,0000,0000,,Imekwisha! Dialogue: 0,0:27:21.00,0:27:27.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa kuwa Mungu ametangaza mambo yako\Nya kale yamekwisha, jukumu lako ni nini? Dialogue: 0,0:27:27.00,0:27:34.00,Default,,0000,0000,0000,,Ni lazima ukubaliane na ukweli huo \Nna kutembea kulingana na ukweli huo. Dialogue: 0,0:27:34.00,0:27:38.00,Default,,0000,0000,0000,,Anza kutembea kulingana \Nna ukweli huo sasa hivi. Dialogue: 0,0:27:38.00,0:27:40.00,Default,,0000,0000,0000,,Sherehekea katika nuru ya uhuru wako. Dialogue: 0,0:27:40.00,0:27:42.00,Default,,0000,0000,0000,,Furahi katika nuru ya uhuru wako. Dialogue: 0,0:27:42.00,0:27:45.00,Default,,0000,0000,0000,,Shuhudia katika nuru ya uhuru wako. Dialogue: 0,0:27:45.00,0:27:47.00,Default,,0000,0000,0000,,Wale waliokuwa na maradhi miongoni mwenu, Dialogue: 0,0:27:47.00,0:27:51.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninataka ujichunguze, \Nuangalie mwili wako sasa hivi Dialogue: 0,0:27:51.00,0:27:57.00,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu nguvu za Roho Mtakatifu zimekugusa - roho, nafsi na mwili. Dialogue: 0,0:27:57.00,0:28:01.00,Default,,0000,0000,0000,,Jiangalie na ufurahi! Dialogue: 0,0:28:01.00,0:28:06.00,Default,,0000,0000,0000,,Unapofurahi, \Nkusherehekea na kushuhudia, Dialogue: 0,0:28:06.00,0:28:10.00,Default,,0000,0000,0000,,niwakumbushe, watu wa Mungu; Dialogue: 0,0:28:10.00,0:28:19.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa kuwa maisha yako ya nyuma yamepita, hupaswi kurudi kwenye tabia zako za zamani Dialogue: 0,0:28:19.00,0:28:24.00,Default,,0000,0000,0000,,ambayo unajua hayakumtukuza Mungu. Dialogue: 0,0:28:24.00,0:28:33.00,Default,,0000,0000,0000,,Ndiyo, umechukua hatua hiyo ya imani;\Nsasa lazima ubaki katika imani. Dialogue: 0,0:28:33.00,0:28:36.00,Default,,0000,0000,0000,,Kumbuka Maneno ya \NYesu tuliyosoma hapo awali - Dialogue: 0,0:28:36.00,0:28:41.00,Default,,0000,0000,0000,,'Kaeni ndani yangu kama navyokaa ndani yenu.' Dialogue: 0,0:28:41.00,0:28:45.00,Default,,0000,0000,0000,,Je, tunabakije ndani ya Kristo? Dialogue: 0,0:28:45.00,0:28:53.00,Default,,0000,0000,0000,,Kristo na Neno Lake ni kitu kimoja. Dialogue: 0,0:28:53.00,0:29:03.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninakuhimiza usome \NBiblia yako kila siku kwa moyo wazi. Dialogue: 0,0:29:03.00,0:29:10.00,Default,,0000,0000,0000,,Kadiri unavyosoma Neno la Mungu, \Nndivyo unavyoelewa zaidi kukuhusu wewe mwenyewe Dialogue: 0,0:29:10.00,0:29:17.00,Default,,0000,0000,0000,,na ndivyo unavyozidi kuelewa mpango Wake na kusudi la maisha yako. Dialogue: 0,0:29:17.00,0:29:25.00,Default,,0000,0000,0000,,Na mnapochukua hatua hiyo, watu wa Mungu, hatuwezi kusubiri kusikia shuhuda zenu Dialogue: 0,0:29:25.00,0:29:31.00,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu Mungu amegusa maisha yako \Nleo kwa namna ya pekee sana.