Siwezi kudai NAKUPENDA ilihali bado NADHARAU au KUPUUZA dhambi maishani mwako!
-
0:00 - 0:08Kiwango cha upendo wako kwa Mungu kinaonyeshwa katika kiwango cha chuki yako dhidi ya dhambi,
-
0:08 - 0:13si tu ndani yako, bali kwa wengine.
-
0:13 - 0:24Siwezi kudai kukupenda na bado nidunishe au kupuuza dhambi maishani mwako,
-
0:24 - 0:27chini ya "kivuli" cha urafiki.
-
0:27 - 0:30Huo si urafiki. Huo si uhusiano wa kimungu.
-
0:30 - 0:35Ulimwenguni, kuna maoni yaliyoguezwa, yaliyopotoka kuhusu urafiki
-
0:35 - 0:38ambao sana sana ni uaminifu wa upofu.
-
0:38 - 0:42Huo si urafiki wa kweli. Hapana!
-
0:42 - 0:50Unapaswa kutafuta marafiki ambao watakabili makosa yako, sio kuficha makosa yako.
-
0:50 - 0:55Tafuta marafiki ambao watarekebisha makosa, sio kuficha makosa.
- Title:
- Siwezi kudai NAKUPENDA ilihali bado NADHARAU au KUPUUZA dhambi maishani mwako!
- Description:
-
"Kiasi cha upendo wako kwa Mungu kinaonyeshwa katika kiwango cha chuki yako dhidi ya dhambi, si ndani yako tu, bali na kwa wengine. Siwezi kudai kwamba ninakupenda na bado nidharau au kupuuza dhambi katika maisha yako, chini ya kivuli cha urafiki. Huo sio urafiki. Huo sio uhusiano wa kimungu. Katika ulimwengu, kuna maoni haya yaliyogeuzwa, yaliyopotoka kuhusu urafiki ambayo ni zaidi kuhusu uaminifu wa kipofu. Hiyo si lazima kukabiliana na marafiki wa kweli. ficha kosa lako, tafuta marafiki ambao watarekebisha makosa, si kuficha makosa.
Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=BWyJInXxbLM
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 0:56
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for I cannot claim to LOVE you yet DOWNPLAY or IGNORE sin in your life! | |
![]() |
babubiko edited Swahili subtitles for I cannot claim to LOVE you yet DOWNPLAY or IGNORE sin in your life! |