Mume wa Kiroho AMETOWESHWA! Miongo ya Uraibu IMEVUNJIKA!
-
0:00 - 0:05Tangu wakati huo mnamo Machi, hadi sasa,
maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. -
0:05 - 0:07Nimepona kabisa na nimetolewa.
-
0:07 - 0:09Hakuna shinikizo la damu tena.
-
0:09 - 0:14Hakuna ugonjwa tena. Hakuna tena maumivu ya kichwa.
Hakuna kizunguzungu tena. -
0:14 - 0:17Ndoto mbaya na mashambulizi -
yote yalikoma! -
0:17 - 0:20Simwoni huyo mume wa kiroho tena.
-
0:21 - 0:24Dada yetu wa Afrika Kusini tuombe.
-
0:24 - 0:36Katika jina kuu la Yesu Kristo,
toka sasa hivi! -
0:36 - 0:43Ewe pepo mchafu, chochote ulichoweka ndani yake, toka kwa jina la Yesu!
-
0:43 - 0:47Roho nyuma ya uraibu huo -
nje sasa hivi! -
0:47 - 0:59Toka sasa hivi,
katika jina la Yesu Kristo! -
0:59 - 1:01Itapike kwa jina la Yesu.
-
1:01 - 1:06Sababu ya mateso hayo, sababu
ya uraibu huo - sasa hivi! -
1:23 - 1:26Asante, Yesu.
-
1:26 - 1:29Dada yetu, hongera. Uko huru!
-
1:29 - 1:35Mpe Mungu utukufu kwa uhuru wako.
Wewe ni huru. Asante, Yesu. -
1:37 - 1:40Jina langu ni Esther. Ninatoka Afrika Kusini.
-
1:40 - 1:47Niliwasiliana na God's Heart TV nikiwa na
tatizo la uraibu wa ugoro. -
1:47 - 1:53Uraibu huu ulianza nikiwa bado shuleni. Sasa nina karibu miaka 60.
-
1:53 - 1:56Nilijaribu mara nyingi sana kuacha peke yangu.
-
1:56 - 2:01Nilienda kwa waganga na dawa
nilizopata kutoka kwa waganga -
2:01 - 2:07kukomesha au kuondoa hamu haikusaidia.
-
2:07 - 2:11Na sijui kama kila mtu
anajua kuhusu hili - ni tumbaku -
2:11 - 2:14na nikotini katika kitu hicho ni mbaya sana.
-
2:14 - 2:18Inaendelea na kuendelea. Unaweza kuacha kwa leo na kesho utarudi tena.
-
2:18 - 2:26Sikuweza kulala usiku. Ningepata
mashambulizi mabaya, ndoto mbaya kila wakati. -
2:26 - 2:33Nilishambuliwa na mume wa kiroho
na afya yangu haikuwa nzuri pia. -
2:33 - 2:40Nilienda kwa waganga kwa sababu nilikuwa na shinikizo la damu na vifundo vya miguu vilivyovimba.
-
2:40 - 2:44Kwa hiyo, nilikuwa nimepewa dawa -
lakini bila mafanikio. -
2:44 - 2:49Kazini, ningekuwa nikipigana na watu kwa sababu ya hasira iliyoniletea.
-
2:49 - 2:52Na utendaji wangu kazini haukuwa mzuri.
-
2:52 - 2:58Fedha zangu zilikuwa mbaya sana hivi kwamba
sikuweza hata kulipa bili yoyote. -
2:58 - 3:03Kwa hivyo iliendelea hivyo hadi
nikawasiliana na TV ya Moyo wa Mungu -
3:03 - 3:06kupata uingiliaji wa Mungu katika maisha yangu.
-
3:06 - 3:12Ilikuwa mwanzoni mwa mwaka wa Machi nilipopokea maombi kutoka kwa Kaka Chris.
-
3:12 - 3:20Nilihisi mkono wa Mungu ukinigusa kwa sababu nilitapika vitu vyenye sumu.
-
3:20 - 3:28Na moyoni mwangu kulikuwa na furaha hii niliyokuwa nayo - kwamba nimetolewa. Mungu amenitendea!
-
3:28 - 3:33Niko huru kutokana na uraibu huu
na Yesu ameniweka huru. -
3:33 - 3:40Na tangu wakati huo mnamo Machi, hadi sasa, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa.
-
3:40 - 3:42Nimepona kabisa na nimetolewa.
-
3:42 - 3:44Hakuna shinikizo la damu tena.
-
3:44 - 3:47Hata dawa walizonipa
niliacha kuzitumia. -
3:47 - 3:52Hakuna ugonjwa tena. Hakuna tena maumivu ya kichwa.
Hakuna kizunguzungu tena. -
3:52 - 3:58Asubuhi nilipoamka, nilihisi kizunguzungu na uzito ndani lakini sivyo tena.
-
3:58 - 4:03Ndoto hizo zote, ndoto mbaya
na mashambulizi - yote yalikoma! -
4:03 - 4:06Simwoni huyo mume wa kiroho tena.
-
4:06 - 4:10Je, una hamu yoyote ya kuchukua
ugoro (tumbaku)? -
4:10 - 4:16Hapana. Kwa kweli nilijifunza kwamba
katika Neno la Mungu linasema, -
4:16 - 4:23tunapopokea maombi ya wokovu,
inatubidi kubadili namna tunavyofikiri. -
4:23 - 4:30Kwa hiyo, kubadili jinsi ninavyofikiri na kukaa katika Neno la Mungu kumenisaidia sana.
-
4:30 - 4:33Kwa sababu ikiwa hautabadilisha
jinsi unavyofikiri, -
4:33 - 4:37basi unaweza kurudi nyuma
kwa kile ulichokuwa nacho. -
4:37 - 4:45Lakini kwa kubadilisha namna unavyofikiri na kumkubali Mungu katika Neno lake, inakuwa 'rahisi'.
-
4:45 - 4:49Ninachotaka kushauri kwa yeyote
aliye na hali kama hiyo - -
4:49 - 4:52usikae kimya juu yake;
usiwe na aibu juu yake. -
4:52 - 4:57Kwa sababu Mungu haoni haya.
Yeye si kwenda kusema hapana. -
4:57 - 5:00Neno la Mungu linasema katika Zaburi 66:
-
5:00 - 5:05'Kama singeungama dhambi yangu,
Mungu asingenisikia.' -
5:05 - 5:08Huo ndio ushauri ninaotaka kukupa.
-
5:08 - 5:13Inatubidi kusema hivyo kwa Mungu, kusema,
'Mungu, nina hali fulani.' -
5:13 - 5:20Hatupaswi kuogopa au kuwa na haya kumwambia Mungu kuhusu shida tunayokabili.
-
5:20 - 5:21Na Mungu ni mwema.
- Title:
- Mume wa Kiroho AMETOWESHWA! Miongo ya Uraibu IMEVUNJIKA!
- Description:
-
'' Baada ya kuungana katika maombi ya pamoja, maisha yangu haijakua sawa''... Esther kutoka afrika Kusini alipokea ukombozi kutoka uraibu wa miongo mingi ya sigara, uhuru kutokana na mapigano ya kiroho na uponyaji kutokana na shida nyingi za kiafya, baada ya kuungana katika maombi ya pamoja na Ndugu Chris. Tunaamini Ushuhuda wake mkuu utatia wengi moyo katika jina la Yesu Kristo.
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 05:52
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Spiritual Husband GONE! Decades Of Addiction BROKEN! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Spiritual Husband GONE! Decades Of Addiction BROKEN! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Spiritual Husband GONE! Decades Of Addiction BROKEN! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Spiritual Husband GONE! Decades Of Addiction BROKEN! | |
![]() |
Josephinechepkorir edited Swahili subtitles for Spiritual Husband GONE! Decades Of Addiction BROKEN! | |
![]() |
Josephinechepkorir edited Swahili subtitles for Spiritual Husband GONE! Decades Of Addiction BROKEN! | |
![]() |
Josephinechepkorir edited Swahili subtitles for Spiritual Husband GONE! Decades Of Addiction BROKEN! | |
![]() |
Josephinechepkorir edited Swahili subtitles for Spiritual Husband GONE! Decades Of Addiction BROKEN! |