< Return to Video

Mume wa Kiroho AMETOWESHWA! Miongo ya Uraibu IMEVUNJIKA!

  • 0:00 - 0:05
    Tangia mwezi wa machi, hadi wa leo, maisha yangu haijakuwa sawa.
  • 0:05 - 0:07
    Hakika nimepona na kuwekwa huru.
  • 0:07 - 0:09
    Hamna Msisimko wa damu tena
  • 0:09 - 0:14
    hakuna magonjwa. hakuna maumivu kichwani. hakuna mzunguko wa kichwa
  • 0:14 - 0:17
    Ndoto mbaya na mapigano - yote yalipotea
  • 0:17 - 0:20
    Simwoni mume wa kiroho tena
  • 0:21 - 0:24
    Dada yetu kutoka Afrika Kusini, tuombe
  • 0:24 - 0:36
    Katika Jina la Yesu kristo, toka sasa hivi!
  • 0:36 - 0:43
    Wewe Roho najisi, chochote umemwekea ndani yake, toka katika jina la Yesu!
  • 0:43 - 0:47
    Roho iliyo nyuma ya uraibu huo toka sasa hivi!
  • 0:47 - 0:59
    Toka sasa hivi, katika jina la yesu kristo!
  • 0:59 - 1:01
    Tabika nje katika jina la Yesu!
  • 1:01 - 1:06
    sababu ya maumivu, kiini cha uraibu - toka sasa!
  • 1:23 - 1:26
    Asante Yesu
  • 1:26 - 1:29
    Dad wetu, Hongera. uko huru sasa
  • 1:29 - 1:35
    Utukufu mpe Mungu kwa kukuweka huru. Uko Huru. asante Yesu
  • 1:37 - 1:40
    Kwa majina naitwa Esther. Natoka Afrika Kusini
  • 1:40 - 1:47
    Niliwatafuta Gods heart Tv nikiwa na shida ya kuvuta madawa ya kulevya
  • 1:47 - 1:53
    Uraibu huu ulianza wakati nilikuwa shuleni. niko miaka sitini (60) sasa
  • 1:53 - 1:56
    Nilijaribu mara nyingi kuwacha kivyangu tu
  • 1:56 - 2:01
    Nilienda kwa madaktari nikitafuta madawa nilizipata kwa Daktari
  • 2:01 - 2:07
    Ya kuweza kuzuia uraibu huo lakini haikusaidia
  • 2:07 - 2:11
    Na sijui kama kila mtu anajua kuhusu hii - ni tumbaku
  • 2:11 - 2:14
    na nikotini iliyonayo ni mbaya sana
  • 2:14 - 2:18
    Inaenda mbele na mbele. Unaweza kuuwacha kwa leo, kesho utairudia
  • 2:18 - 2:26
    Singeweza kulala usiku. Nilipata mashambulizi mabaya, ndoto mbaya kila wakati
  • 2:26 - 2:33
    Nilipata kushambuliwa na mume wa kiroho na afya yangu haikuwa mzuri
  • 2:33 - 2:40
    Nilienda kwa madaktari na msisimko wa damu ulikuwa juu na kupata kufura miguu
  • 2:40 - 2:44
    Nilipewa madawa - lakini haikusaidia
  • 2:44 - 2:49
    Kazini, nilipigana na watu kwa sababu ya hasira hii ikanifanya mimi
  • 2:49 - 2:52
    kukosa kufanya kazi vizuri
  • 2:52 - 2:58
    Fedha zangu zilikuwa mbaya singeweza hata kulipia mahitaji zangu
  • 2:58 - 3:03
    iliendelea hivyo kuwa hadi nikapatana na Gods Heart Tv
  • 3:03 - 3:06
    ili kupata Mungu aingilike kati katika maisha yangu
  • 3:06 - 3:12
    Ilikuwa mwanzoni mwa mwaka nilipata kuombewa na Ndugu Chris
  • 3:12 - 3:20
    NIlihisi Mkono wa mungu ukinigusa mimi na nikatabika vitu vichafu sana
  • 3:20 - 3:28
    Ndani ya roho yangu kulikuwa na furaha kwamba nimepona. na mungu amenifanyia hayo
  • 3:28 - 3:33
    Nipo huru kutokana na uraibu huo na Yesu ameniweka huru
  • 3:33 - 3:40
    Na tangia wakati huo Machi hadi wa sasa maisha yangu haijakuwa sawa
  • 3:40 - 3:42
    Nimeponywa kabisa na kuwekwa huru
  • 3:42 - 3:44
    Hakuna Msisimko wa damu tena
  • 3:44 - 3:47
    hata madawa walionopatia niliwacha kumeza
  • 3:47 - 3:52
    Hakuna magonjwa tena. hakuna maumivu ya kichwa. sioni kuzunguzungu tena
  • 3:52 - 3:58
    asubuhi ningeamka ningehisi kizunguzungu, hivi kwamba ndani yangu nilihisi uzito
  • 3:58 - 4:03
    Ndoto hizo, ndoto mbaya na mashambulizi ziliisha
  • 4:03 - 4:06
    sioni mume wa kiroho tena
  • 4:06 - 4:10
    Je unayo tamaa yoyote ya kuvuta tumbaku?
  • 4:10 - 4:16
    La. nilipata kujua kupitia kwa neno la mungu kwamba inasema
  • 4:16 - 4:23
    tunapopata maombi ya ukombozi tunafaa kubadili jinsi tunavyowaza
  • 4:23 - 4:30
    kwa hivyo, jinsi ninavyofikiri na kukaa ndani ya neno la mungu imenisaidia sana
  • 4:30 - 4:33
  • 4:33 - 4:37
  • 4:37 - 4:45
  • 4:45 - 4:49
  • 4:49 - 4:52
  • 4:52 - 4:57
  • 4:57 - 5:00
  • 5:00 - 5:05
  • 5:05 - 5:08
  • 5:08 - 5:13
  • 5:13 - 5:20
  • 5:20 - 5:21
Title:
Mume wa Kiroho AMETOWESHWA! Miongo ya Uraibu IMEVUNJIKA!
Description:

'' Baada ya kuungana katika maombi ya pamoja, maisha yangu haijakua sawa''... Esther kutoka afrika Kusini alipokea ukombozi kutoka uraibu wa miongo mingi ya sigara, uhuru kutokana na mapigano ya kiroho na uponyaji kutokana na shida nyingi za kiafya, baada ya kuungana katika maombi ya pamoja na Ndugu Chris. Tunaamini Ushuhuda wake mkuu utatia wengi moyo katika jina la Yesu Kristo.

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
05:52

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions