WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:04.600 Tangia mwezi wa machi, hadi wa leo, maisha yangu haijakuwa sawa. 00:00:04.600 --> 00:00:07.360 Hakika nimepona na kuwekwa huru. 00:00:07.360 --> 00:00:09.160 Hamna Msisimko wa damu tena 00:00:09.160 --> 00:00:13.880 hakuna magonjwa. hakuna maumivu kichwani. hakuna mzunguko wa kichwa 00:00:13.880 --> 00:00:17.280 Ndoto mbaya na mapigano - yote yalipotea 00:00:17.280 --> 00:00:19.640 Simwoni mume wa kiroho tena 00:00:21.080 --> 00:00:23.800 Dada yetu kutoka Afrika Kusini, tuombe 00:00:23.800 --> 00:00:35.760 Katika Jina la Yesu kristo, toka sasa hivi! 00:00:35.760 --> 00:00:42.720 Wewe Roho najisi, chochote umemwekea ndani yake, toka katika jina la Yesu! 00:00:42.720 --> 00:00:47.440 Roho iliyo nyuma ya uraibu huo toka sasa hivi! 00:00:47.440 --> 00:00:58.680 Toka sasa hivi, katika jina la yesu kristo! 00:00:58.680 --> 00:01:01.360 Tabika nje katika jina la Yesu! 00:01:01.360 --> 00:01:06.360 sababu ya maumivu, kiini cha uraibu - toka sasa! 00:01:22.520 --> 00:01:25.840 Asante Yesu 00:01:25.840 --> 00:01:28.840 Dad wetu, Hongera. uko huru sasa 00:01:28.840 --> 00:01:34.920 Utukufu mpe Mungu kwa kukuweka huru. Uko Huru. asante Yesu 00:01:36.560 --> 00:01:40.440 Kwa majina naitwa Esther. Natoka Afrika Kusini 00:01:40.440 --> 00:01:46.640 Niliwatafuta Gods heart Tv nikiwa na shida ya kuvuta madawa ya kulevya 00:01:46.640 --> 00:01:52.760 Uraibu huu ulianza wakati nilikuwa shuleni. niko miaka sitini (60) sasa 00:01:52.760 --> 00:01:56.000 Nilijaribu mara nyingi kuwacha kivyangu tu 00:01:56.000 --> 00:02:00.600 Nilienda kwa madaktari nikitafuta madawa nilizipata kwa Daktari 00:02:00.600 --> 00:02:06.760 Ya kuweza kuzuia uraibu huo lakini haikusaidia 00:02:06.760 --> 00:02:10.960 Na sijui kama kila mtu anajua kuhusu hii - ni tumbaku 00:02:10.960 --> 00:02:13.720 na nikotini iliyonayo ni mbaya sana 00:02:13.720 --> 00:02:18.440 Inaenda mbele na mbele. Unaweza kuuwacha kwa leo, kesho utairudia 00:02:18.440 --> 00:02:26.240 Singeweza kulala usiku. Nilipata mashambulizi mabaya, ndoto mbaya kila wakati 00:02:26.240 --> 00:02:33.120 Nilipata kushambuliwa na mume wa kiroho na afya yangu haikuwa mzuri 00:02:33.120 --> 00:02:39.760 Nilienda kwa madaktari na msisimko wa damu ulikuwa juu na kupata kufura miguu 00:02:39.760 --> 00:02:44.080 Nilipewa madawa - lakini haikusaidia 00:02:44.080 --> 00:02:49.200 Kazini, nilipigana na watu kwa sababu ya hasira hii ikanifanya mimi 00:02:49.200 --> 00:02:51.720 kukosa kufanya kazi vizuri 00:02:51.720 --> 00:02:57.720 Fedha zangu zilikuwa mbaya singeweza hata kulipia mahitaji zangu 00:02:57.720 --> 00:03:02.920 iliendelea hivyo kuwa hadi nikapatana na Gods Heart Tv 00:03:02.920 --> 00:03:05.880 ili kupata Mungu aingilike kati katika maisha yangu 00:03:05.880 --> 00:03:11.760 Ilikuwa mwanzoni mwa mwaka nilipata kuombewa na Ndugu Chris 00:03:11.760 --> 00:03:19.720 NIlihisi Mkono wa mungu ukinigusa mimi na nikatabika vitu vichafu sana 00:03:19.720 --> 00:03:27.720 Ndani ya roho yangu kulikuwa na furaha kwamba nimepona. na mungu amenifanyia hayo 00:03:27.720 --> 00:03:32.680 Nipo huru kutokana na uraibu huo na Yesu ameniweka huru 00:03:32.680 --> 00:03:39.720 Na tangia wakati huo Machi hadi wa sasa maisha yangu haijakuwa sawa 00:03:39.720 --> 00:03:42.480 Nimeponywa kabisa na kuwekwa huru 00:03:42.480 --> 00:03:44.280 Hakuna Msisimko wa damu tena 00:03:44.280 --> 00:03:47.000 hata madawa walionopatia niliwacha kumeza 00:03:47.000 --> 00:03:51.720 Hakuna magonjwa tena. hakuna maumivu ya kichwa. sioni kuzunguzungu tena 00:03:51.720 --> 00:03:58.160 asubuhi ningeamka ningehisi kizunguzungu, hivi kwamba ndani yangu nilihisi uzito 00:03:58.160 --> 00:04:02.960 Ndoto hizo, ndoto mbaya na mashambulizi ziliisha 00:04:02.960 --> 00:04:05.760 sioni mume wa kiroho tena 00:04:05.760 --> 00:04:10.200 Je unayo tamaa yoyote ya kuvuta tumbaku? 00:04:10.200 --> 00:04:16.120 La. nilipata kujua kupitia kwa neno la mungu kwamba inasema 00:04:16.120 --> 00:04:23.400 tunapopata maombi ya ukombozi tunafaa kubadili jinsi tunavyowaza 00:04:23.400 --> 00:04:30.440 kwa hivyo, jinsi ninavyofikiri na kukaa ndani ya neno la mungu imenisaidia sana 00:04:30.440 --> 00:04:33.120 00:04:33.120 --> 00:04:37.280 00:04:37.280 --> 00:04:45.000 00:04:45.000 --> 00:04:48.960 00:04:48.960 --> 00:04:52.440 00:04:52.440 --> 00:04:56.840 00:04:56.840 --> 00:05:00.480 00:05:00.480 --> 00:05:05.120 00:05:05.120 --> 00:05:07.880 00:05:07.880 --> 00:05:13.040 00:05:13.040 --> 00:05:19.640 00:05:19.640 --> 00:05:21.040