Ni nini kinachoifanya BIBLIA KUWA YA KIPEKEE?
-
0:00 - 0:05Hiki ni Kitabu cha kipekee
-
0:05 - 0:14Ndio kitabu pekee ambacho unapokisoma, pia kinakusoma.
-
0:14 - 0:16Ni kioo.
-
0:16 - 0:22Tunaposoma Biblia tukiwa katika hali ya maombi, ya ibada,
-
0:22 - 0:32basi uko ndani yake, mimi niko ndani yake, lakini cha muhimu zaidi, Mungu Mwenyewe yuko ndani yake.
-
0:32 - 0:40Na Mungu haonyeshi tu moyo wa mwanadamu kupitia Biblia, kupitia Neno Lake,
-
0:40 - 0:44Huonyesha moyo wa Mungu, upendo Wake kwetu
-
0:44 - 0:48na suluhisho Zake kwa matatizo ya wanadamu.
-
0:48 - 0:49Asante, Yesu!
- Title:
- Ni nini kinachoifanya BIBLIA KUWA YA KIPEKEE?
- Description:
-
more » « less
"Biblia ni Kitabu cha kipekee sana. Ni Kitabu pekee ambacho unapokisoma, kinakusoma pia. Ni kioo. Tunaposoma Biblia tukiwa katika hali ya maombi, ya kujitoa, basi wewe umo ndani yake, mimi nimo ndani yake, lakini muhimu zaidi, Mungu Mwenyewe yumo ndani yake. Na sio tu kwamba Mungu anafunua moyo wa mwanadamu kupitia Biblia, kupitia Neno Lake, Upendo wake kwetu na suluhisho lake dhidi ya shida za wanadamu. Asante, Yesu!"
Unaweza kutazama mahubiri kamili kutoka kwa Gary hapa - https://www.youtube.com/watch?v=q2s7XZA7zuk
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 0:50
| georgejbudeba edited Swahili subtitles for What makes THE BIBLE so UNIQUE? | ||
| babubiko edited Swahili subtitles for What makes THE BIBLE so UNIQUE? |