< Return to Video

Ni nini kinachoifanya BIBLIA KUWA YA KIPEKEE?

  • 0:00 - 0:05
    Hiki ni Kitabu cha kipekee
  • 0:05 - 0:14
    Ndio kitabu pekee ambacho unapokisoma, pia kinakusoma.
  • 0:14 - 0:16
    Ni kioo.
  • 0:16 - 0:22
    Tunaposoma Biblia tukiwa katika hali ya maombi, ya ibada,
  • 0:22 - 0:32
    basi uko ndani yake, mimi niko ndani yake, lakini cha muhimu zaidi, Mungu Mwenyewe yuko ndani yake.
  • 0:32 - 0:40
    Na Mungu haonyeshi tu moyo wa mwanadamu kupitia Biblia, kupitia Neno Lake,
  • 0:40 - 0:44
    Huonyesha moyo wa Mungu, upendo Wake kwetu
  • 0:44 - 0:48
    na suluhisho Zake kwa matatizo ya wanadamu.
  • 0:48 - 0:49
    Asante, Yesu!
Title:
Ni nini kinachoifanya BIBLIA KUWA YA KIPEKEE?
Description:

"Biblia ni Kitabu cha kipekee sana. Ni Kitabu pekee ambacho unapokisoma, kinakusoma pia. Ni kioo. Tunaposoma Biblia tukiwa katika hali ya maombi, ya kujitoa, basi wewe umo ndani yake, mimi nimo ndani yake, lakini muhimu zaidi, Mungu Mwenyewe yumo ndani yake. Na sio tu kwamba Mungu anafunua moyo wa mwanadamu kupitia Biblia, kupitia Neno Lake, Upendo wake kwetu na suluhisho lake dhidi ya shida za wanadamu. Asante, Yesu!"

Unaweza kutazama mahubiri kamili kutoka kwa Gary hapa - https://www.youtube.com/watch?v=q2s7XZA7zuk

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:50

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions