< Return to Video

Ibilisi Hataki Ujue HILI!!!

  • 0:00 - 0:10
    Shetani anaweza kufanikiwa kukudanganya pale tu unapojishusha kwenye kiwango chake.
  • 0:10 - 0:19
    Silaha zake za vita zinaweza kufanya kazi tu unaposhuka kwenye uwanja wake wa vita.
  • 0:19 - 0:24
    Yaani mnapopigana kwa jinsi ya mwili.
  • 0:24 - 0:34
    Kwa sababu muumini anayetembea katika asili hafananishwi na shetani.
  • 0:34 - 0:38
    Je, hii ina maana gani kwako na kwangu?
  • 0:38 - 0:43
    Usiwe na nia ya kiroho kwa ajili ya huduma.
  • 0:43 - 0:47
    Kuwa na nia ya kiroho kama kiwango.
  • 0:47 - 0:55
    Kumtafuta Mungu hakusukumwi kwa msimu au kimazingira.
  • 0:55 - 1:00
    Hapana, ni harakati ya maisha.
Title:
Ibilisi Hataki Ujue HILI!!!
Description:

“Shetani anaweza kufanikiwa kukudanganya pale tu unapojishusha kwenye kiwango chake. Silaha zake za vita zinaweza kufanya kazi tu unaposhuka kwenye uwanja wake wa vita. Yaani mnapopigana kwa jinsi ya mwili. Kwa sababu muumini anayetembea katika asili hafananishwi na shetani. Je, hii ina maana gani kwako na kwangu? Usiwe na nia ya kiroho kwa ajili ya huduma. Kuwa na nia ya kiroho kama kiwango. Kumtafuta Mungu hakusukumwi kwa msimu au kimazingira. Hapana, ni harakati ya maisha yote." - Ndugu Chris

Unaweza kutazama muda wote wa maombi kwenye TV ya Moyo wa Mungu hapa - https://www.youtube.com/watch?v=BQxdr67lxbA

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:00

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions