-
-
Karibu kwenye hesabu za kutoa.
-
tuangalie hesabu za kujumlisha kwanza.
-
kama nikisema 4 jumlishab 3, inamaana gani?
-
-
ni sawa na ngapi?
-
Kuna njia mbali mbalia za kuifanya hii.
-
Tungesema nina vitu 4.
-
tuseme maduara 4, au
-
malimao 4.
-
Malimao 1, 2, 3, 4. wakati wa chai.
-
na malimao mengine 3 wakaati wa chakula cha mchana.
-
1, 2, 3 na ungeona 4 jumlisha 3 ni jumla ya
-
malimao mangapi niliyokuwa nayo?
-
nitajumlisha 3 na 4.
-
Je nilikuwa na mangapi?
-
Ni 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7.
-
Nilikuwa na jumla ya malimao 7.
-
Njia nyingine ni hii
-
Choora mstari wa namba
-
na uchore kwa rangi ya njano
-
sio mpana sana.
-
Nitachora kwa rangi ya njano maana tunazungumnzia malimao.
-
Huu ndio mstari wetu wa namba.
-
-
Nitachora namba zote.
-
0, 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7.
-
ni sawa na kusema
-
tuko kwenye msrtari wa namba.
-
Tunaanzia kwenye namba 4.
-
Hii ni namba 4.
-
tunjumlisha 3.
-
Tutaongeza mstari wa namba kwa 3.
-
Tutaenda 1, 2, 3 na kuishia 7.
-
Hivyo ukiwa na 4 ukaongeza 3 unapata 7.
-
au nikiongeza 4 kwenye 3 napata 7.
-
Je kutoa ni nini sasa?
-
kwasababu hii video itahusika na kutoa.
-
Tusipoteze muda kuongelea kujumlisha
-
tuchukue mfano wa 4 toa 3.
-
ni sawa na ?
-
Nitabadilisha rangi kuleta mvuto.
-
4 toa 3 ni sawa na ?
-
Kutoa ni kinyume cha kujumlisha.
-
Kwenye kujumlisha unaongeza.
-
Sitaki ktumia neno kuongeza kuelezea kujumlisha , ila
-
hiki ndicho kinachofanyika.
-
Nilikuwa na malimao 4 nikaongeza 3 zaidi.
-
kwenye kutoa unaondoa.
-
Mfano huu, nilianza na malimao 4,
-
nilikuwa na malimao 4 kwenye sahani.
-
nitaondoa 3, ninasema kutoa 3, badala ya
-
kuongeza 3 na kupata 7, nitaondoa 3.
-
labda nitayala au kumpa mtu
-
kama zawadi kwa kuangalia video hii.
-
Toa 3 kutoka kwenye 4, tuseme hili moja linatoka,
-
hili litatoka na hili linatoka.
-
Je unabakiwa na malimao mangapi?
-
Hili moja ndio sijalikata.
-
HIvyo tumebakiwa na moja.
-
-
Hili ndio limao lililobakia.
-
Isingekuwa moja , kama ningekata
-
hayo matatu.
-
Njia nyingine hebu tuchore mstari
-
wa rangi hiyo hiyo ya limao.
-
Tuseme huu ni mstari wa namba hapa.
-
-
nitazichora namba
-
0, 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7.
-
na mstari wa namba unaendelea.
-
Hakuna namba kubwa.
-
Na unaweza kufikiria namba yoyote unayoweza, naweza
-
kufikiria namba kubwa zaidi ya hiyo.
-
Hivyo hakuna namba kubwa.
-
Ndio maana tunachora mshale.
-
maana siwezi kuchora mstari wa namba zote.
-
Turudi kwenye kutoa.
-
Tulianza na malimao 4 sindio?
-
Tulipoongeza 3--jumlisha 3--tulielekea kulia hatua 4
-
kwenye mstari wa namba.
-
Na kwasababu unaongezeka thamani.
-
Hivyo tulikwenda kutoka 4 mpaka 5.
-
Hii ilikuwa moja zaidi.
-
5 mpaka 6 ilikuwa mbili zaidi, na 7 ni tatu zaidi.
-
Sasa tunatoa kutoka kwenye 4.
-
Tunafanyaje?
-
Unafikiri tungefanyaje?
-
Kwasababu tunatoa tutapunguza
-
jumla ya idadi ya malimao tuliyonayo
-
Tunatoa moja, tunapata 3.
-
Tnatoa mbili tunapata 2.
-
Tunatoa 3,
-
Hivyo tutarudi nyuma hatua 1, 2, 3 kwenye mstari wa namba.
-
na tuatishia kwenye 1.
-
Na hii ni moja hapa.
-
Ili kuhakiki, jumlisha unafanya zaidi.
-
Kutoa unaondoa.
-
Ukiiangalia kwenye mstari wa namba , kujumlisha ni
-
kuongeza kiwango kwenye mstari wa namba.
-
Hivyo kwa hapa tunaongeza kwenye mstari wa namba kwa 3.
-
Hivyo tuliongeza kutoka 4 mpaka 7.
-
Kwenye kutoa tunapunguza kurudi nyuma
-
kwenye mstari wa namba.
-
Tunapunguza kiasi ambacho unakiondoa.
-
Hivyo hapa tumepunguza 3.
-
Tulirudi nyuma 1, 2, 3 na tukapata 1.
-
Njia nyingine, kama nina vitu 4.
-
Nikigawa 3 au nikila 3
-
nilichofanya kwenye hivi 3.
-
Nimepoteza 3 hivyo nitabakiwa na 1.
-
Ngoja nikuoneshe kitu hapa
-
kuhusu kutoa.
-
Tunajua 4 toa 3 ni sawa na 1.
-
Wacha nikuoneshe kitu kingine hapa.
-
4 toa 1 ni ngapi?
-
Tunaweza tumia mfano wowote.
-
Tutumie wa malimao.
-
Tutumie wa matufaha, nimeyachoka malimao.
-
Tuseme 1, 2, 3, 4.
-
Kuna wakati siwezi kuchora vizuri.
-
tuseme nina matufaha 4.
-
Tutatumia mfano huu.
-
Na tunakula moja.
-
Hivyo moja litaondoka.
-
Nitabakiwa na matufaha mangapi?
-
3--1, 2, 3.
-
4 toa 1 ni 3.
-
Tukiweka kwenye mstari wa namba, tutaanzia kwenye 4 na
-
tukatoa 1--tumeondoa 1.
-
-
Tunarudi hatua 1, tunapata 3.
-
Njia yoyote inafaa.
-
Je haifurahishai?
-
4 toa 3 ni sawa na 1 na 4 toa 1 ni sawa na 3.
-
Unaweza kusema , nimeokota namba na
-
mara nyingi huwa inarudi kuwa kweli
-
-
Sitaki kuwa mtaalumu sana , ila tumesha
-
gusa kitu utakachojifunza baadae
-
kweye hesabu za mlinganyo.
-
Ila kwa sasa sitaki kufika huko.
-
Je hii imetoka wapi?
-
Hii imetoka kwenye 3 jumlisha 1--
-
sikutaka nikuchanganye
-
samahani
-
nitakuonesha kitu kingine kizuri hapa.
-
3 jumlisha 1 ni ?
-
3 jumlisha 1 ni sawa na ?
-
Hii ni rahisi.
-
Unaijua kutoka kule kwenye kujumlisha.
-
Unaweza kuanzia 3 kwenye mstari wa namba na kuongeza1.
-
Utaishia wapi?
-
Utaishia kwenye 4.
-
3 jumlisha 1 ni sawa na 4.
-
Au ungeanza kwenye 1 kwenye mstari wa namba na kuongeza 3.
-
1, 2, 3 na pia ungeshia kwenye 4.
-
Na pia tunajua ungeweza kuifanya vyovyote vile.
-
Zote jibu ni 4.
-
Unaona nini hapa?
-
kuna fungu la vitu hapa nimeandika
-
kama vinafanana.
-
1 jumlisha 3 ni 4.
-
3 jumlisha 1 ni 4.
-
4 toa moja ni 3.
-
4 toa 1 na kupata 3 ni sawa na
-
3 jumlisha moja ni sawa na 4.
-
Hii inasema kama nikijumlisha 1 kwenye 3 nitapata 4.
-
Hii inamaana nikitoa 1 kwenye 4 nnitabakiwa na 3.
-
Kama nikianzia 4, nikarudi nyuma 1 nikapata 3.
-
Hii ni kusema nimeanzia kwenye 3, nikaenda mbele 1, nikapata 4.
-
Naamini umepata mwanga kidogo.
-
kuhusu kutoa ni nini.
-
Kwenye video zijazo nitafanya mazoezi zaidi ya kutoa.
-
Hesabu ninayoweza ifanya kwa dakika 10.
-
Na utakuwa tayari kufanya mazoezi.
-
Tutaonana tena.