Jinsi ya KUYATUMIA MAKOSA IPASAVYO!
-
0:00 - 0:16Kila mtu hufanya makosa. Lakini je, unafaidika zaidi na kosa lako?
-
0:16 - 0:24Tukifanya makosa, kama sisi sote tufanyavyo, tusiyatumie vibaya; tuyatumie vyema.
-
0:24 - 0:29Jinsi gani? Kwa kujifunza kutoka kwayo.
-
0:29 - 0:33Je, unafaidika vipi na kosa lako?
-
0:33 - 0:39Hautakiwi kuyapuuzia. Hautakiwi kuyahalalishi.
-
0:39 - 0:43Hautakiwi kujizamisha ndani yake na kujihukumu.
-
0:43 - 0:47Hapana, tubu na ujifunze kutoka kwayo. Tubu na ukue kupitia hayo.
-
0:47 - 0:56Tubu na uinuke na usonge mbele kwa sababu zamani zako zimekwisha.
- Title:
- Jinsi ya KUYATUMIA MAKOSA IPASAVYO!
- Description:
-
"Kila mtu hufanya makosa. Lakini je, unalitumia vyema kosa lako? Ikiwa tunafanya makosa, kama sisi sote tufanyavyo, usiyatumie vibaya; yatumie vyema. Kwa namna gani? Kwa kujifunza kutoka kwayo. Je, unallitumiaje vyema kosa lako? Hulipuuzii. Hulihalalishi. Hautakiwi kujizamisha ndani yake na kujihukumu. Hapana, tubu na urudi nyuma na jifunze kutokana nalo. yaliyopita yamekwisha.”
Unaweza kutazama mahubiri kamili kutoka kwa Ndugu Chris katika kipindi cha ‘Let Hearts Rise’ hapa - https://www.youtube.com/watch?v=wM-dvPVFv9w
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 0:57
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for How to MAKE the MOST of your MISTAKES! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for How to MAKE the MOST of your MISTAKES! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for How to MAKE the MOST of your MISTAKES! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for How to MAKE the MOST of your MISTAKES! |