Una Kikao?Fanya matembezi
-
0:02 - 0:03Unachofanya
-
0:03 - 0:06sasa hivi,wakati huu,
-
0:06 - 0:08kuna kitu kinakuua.
-
0:08 - 0:11Zaidi ya magari au mtandaoni
-
0:11 - 0:14au hata simu za mikononi ambazo huwa tunaziongelea
-
0:14 - 0:17teknolojia unayoitumia zaidi kila siku
-
0:17 - 0:20ni hii, makalio yako.
-
0:20 - 0:23Siku hizi watu wanakaa kwa wastani wa masaa 9.3 kwa siku,
-
0:23 - 0:26muda ambao ni zaidi ya ule tunaolala wa masaa 7.7.
-
0:26 - 0:28Kukaa imekuwa ni jambo la kawaida mno
-
0:28 - 0:30kiasi hatujiulizi,kuhusu muda mingi tunaotumia kukaa,
-
0:30 - 0:33na kwa kuwa kila mmoja wetu anafanya hivyo,
-
0:33 - 0:36hatuoni kuwa kufanya hivyo si sahihi.
-
0:36 - 0:38namna hii,kukaa kumekuwa
-
0:38 - 0:42uvutaji wa sigara wa kizazi chetu.
-
0:42 - 0:45na ukweli ni kuwa kuna madhara ya kiafya,
-
0:45 - 0:47ya kutisha,ukiondoa kiuno.
-
0:47 - 0:51vitu kama kansa ya matiti na utumbo mpana
-
0:51 - 0:54yanhusishwa na ukosefu wa mazoezi,
-
0:54 - 0:57asilimia kumi, katika zote hizo.
-
0:57 - 0:58asilimia sita kwa ajili ugonjwa wa moyo,
-
0:58 - 1:01asilimia saba kwa ajili ya kisukari namba 2,
-
1:01 - 1:03ambacho ndicho baba yangu alichokufa nacho.
-
1:03 - 1:05takwimu hizi zinatakiwa zitushawishi
-
1:05 - 1:07kuinuka zaidi,
-
1:07 - 1:10lakini ukiwa kama, hazitakushawishi.
-
1:10 - 1:13kilichonifanya niinuke ilikuwa ni mahusiano ya kijamii.
-
1:13 - 1:14Mtu mmoja alinialika katika kikao,
-
1:14 - 1:15lakini hakuweza kunipatia nafasi
-
1:15 - 1:18katika chumba cha kawaida cha mikutano, na akasema,
-
1:18 - 1:22"kesho nitafanya matembezi na mbwa wangu. Je unaweza kuja?"
-
1:22 - 1:24ilionekana kama ni kitu cha ajabu kufanya,
-
1:24 - 1:26na katika kikao hiki cha kwanza, nakumbuka niliwaza,
-
1:26 - 1:28"itabidi niwe wa kwanza kuuliza swali la kwanza
-
1:28 - 1:31kwa sababu nilijua nitakuwa napumua sana
-
1:31 - 1:33wakati wa mazungumzo haya.
-
1:33 - 1:36lakini sasa,nimechukua wazo na limekuwa langu.
-
1:36 - 1:38kwa hiyo baada ya kwenda katika vikao vya kahawa
-
1:38 - 1:40au vyumba vya mikutano,
-
1:40 - 1:43nawaomba watu twende katika mikutano ya kutembea,
-
1:43 - 1:47kufikia umbali wa maili 20 hadi 30 kwa wiki.
-
1:47 - 1:50imebadilisha maisha yangu.
-
1:50 - 1:53lakini kabla, kilichotokea ilikuwa ni,
-
1:53 - 1:54nafikiri kama hivi,
-
1:54 - 1:56unaweza ukaangalia afya yako,
-
1:56 - 1:58au kuangalia majukumu yako,
-
1:58 - 2:02na moja lazima lichukue nafasi ya jingine.
-
2:02 - 2:05lakini sasa, baada ya mamia ya maili za vikao hivi vya kutembea,
-
2:05 - 2:07nimejifunza vitu kadhaa.
-
2:07 - 2:08Kwanza, kuna kitu hiki cha ajabu
-
2:08 - 2:11kuhusu kutoka katika mazoea,
-
2:11 - 2:13kunakosababisha usiwe na mawazo ya mazoea.
-
2:13 - 2:18kama ni mazingira au mazoezi ,lakini inafanya kazi.
-
2:18 - 2:21Na pili, na labda muhimu zaidi,
-
2:21 - 2:23ni jinsi ambavyo kila mtu,
-
2:23 - 2:25wakastahimili matatizo
-
2:25 - 2:27hata kama hawako hivyo.
-
2:27 - 2:29na kama tutatua matatizo
-
2:29 - 2:31na kuiangalia dunia,
-
2:31 - 2:33kama ni katika utawala au biashara
-
2:33 - 2:36au mambo ya mazingira,utengenezaji wa ajira,
-
2:36 - 2:38labda tunaweza tukafikiri jinsi ya kuyaangalia upya matatizo haya.
-
2:38 - 2:40ili vitu vyote viwe sahihi.
-
2:40 - 2:42kwa sababu ilikuwa hivyo
-
2:42 - 2:44kuhusu wazo hili la kuongea na kutembea
-
2:44 - 2:48kwamba vitu vinaeza kufanyika na vikadumu.
-
2:48 - 2:50nilianza mazungumzo haya nikiongelea kuhus makalio,
-
2:50 - 2:54kwa hiyo nitamalizia kwa kusema
-
2:54 - 2:55tembea na ongea.
-
2:55 - 2:57tembea na ongea.
-
2:57 - 3:00utashangaa jinsi ambavyo hewa safi inasababisha mazungumzo safi,
-
3:00 - 3:02na katika hali hii,
-
3:02 - 3:05utaleta mawazo mapya katika maisha yako.
-
3:05 - 3:07Asante.
-
3:07 - 3:11(Makofi)
- Title:
- Una Kikao?Fanya matembezi
- Speaker:
- Nilofer Merchant
- Description:
-
Nilofer Merchant ana ushauri mdogo ambao unaweza kuwa na mabadiliko makubwa katika maisha na afya yako:Wakati utakapokuwa na kikao kingine na mtu, kifanye kiwe ni "kikao cha matembezi" -- na yaache mawazo yazunguke wakati mnatembea na kuongea
- Video Language:
- English
- Team:
closed TED
- Project:
- TEDTalks
- Duration:
- 03:28
![]() |
Jenny Zurawell edited Swahili subtitles for Got a meeting? Take a walk | |
![]() |
Nelson Simfukwe accepted Swahili subtitles for Got a meeting? Take a walk | |
![]() |
Joachim Mangilima approved Swahili subtitles for Got a meeting? Take a walk | |
![]() |
Joachim Mangilima edited Swahili subtitles for Got a meeting? Take a walk | |
![]() |
Joachim Mangilima edited Swahili subtitles for Got a meeting? Take a walk | |
![]() |
Nelson Simfukwe edited Swahili subtitles for Got a meeting? Take a walk | |
![]() |
Joachim Mangilima edited Swahili subtitles for Got a meeting? Take a walk | |
![]() |
Joachim Mangilima edited Swahili subtitles for Got a meeting? Take a walk |