< Return to Video

Una Kikao?Fanya matembezi

  • 0:02 - 0:03
    Unachofanya
  • 0:03 - 0:06
    sasa hivi,wakati huu,
  • 0:06 - 0:08
    kuna kitu kinakuua.
  • 0:08 - 0:11
    Zaidi ya magari au mtandaoni
  • 0:11 - 0:14
    au hata simu za mikononi ambazo huwa tunaziongelea
  • 0:14 - 0:17
    teknolojia unayoitumia zaidi kila siku
  • 0:17 - 0:20
    ni hii, makalio yako.
  • 0:20 - 0:23
    Siku hizi watu wanakaa kwa wastani wa masaa 9.3 kwa siku,
  • 0:23 - 0:26
    muda ambao ni zaidi ya ule tunaolala wa masaa 7.7.
  • 0:26 - 0:28
    Kukaa imekuwa ni jambo la kawaida mno
  • 0:28 - 0:30
    kiasi hatujiulizi,kuhusu muda mingi tunaotumia kukaa,
  • 0:30 - 0:33
    na kwa kuwa kila mmoja wetu anafanya hivyo,
  • 0:33 - 0:36
    hatuoni kuwa kufanya hivyo si sahihi.
  • 0:36 - 0:38
    namna hii,kukaa kumekuwa
  • 0:38 - 0:42
    uvutaji wa sigara wa kizazi chetu.
  • 0:42 - 0:45
    na ukweli ni kuwa kuna madhara ya kiafya,
  • 0:45 - 0:47
    ya kutisha,ukiondoa kiuno.
  • 0:47 - 0:51
    vitu kama kansa ya matiti na utumbo mpana
  • 0:51 - 0:54
    yanhusishwa na ukosefu wa mazoezi,
  • 0:54 - 0:57
    asilimia kumi, katika zote hizo.
  • 0:57 - 0:58
    asilimia sita kwa ajili ugonjwa wa moyo,
  • 0:58 - 1:01
    asilimia saba kwa ajili ya kisukari namba 2,
  • 1:01 - 1:03
    ambacho ndicho baba yangu alichokufa nacho.
  • 1:03 - 1:05
    takwimu hizi zinatakiwa zitushawishi
  • 1:05 - 1:07
    kuinuka zaidi,
  • 1:07 - 1:10
    lakini ukiwa kama, hazitakushawishi.
  • 1:10 - 1:13
    kilichonifanya niinuke ilikuwa ni mahusiano ya kijamii.
  • 1:13 - 1:14
    Mtu mmoja alinialika katika kikao,
  • 1:14 - 1:15
    lakini hakuweza kunipatia nafasi
  • 1:15 - 1:18
    katika chumba cha kawaida cha mikutano, na akasema,
  • 1:18 - 1:22
    "kesho nitafanya matembezi na mbwa wangu. Je unaweza kuja?"
  • 1:22 - 1:24
    ilionekana kama ni kitu cha ajabu kufanya,
  • 1:24 - 1:26
    na katika kikao hiki cha kwanza, nakumbuka niliwaza,
  • 1:26 - 1:28
    "itabidi niwe wa kwanza kuuliza swali la kwanza
  • 1:28 - 1:31
    kwa sababu nilijua nitakuwa napumua sana
  • 1:31 - 1:33
    wakati wa mazungumzo haya.
  • 1:33 - 1:36
    lakini sasa,nimechukua wazo na limekuwa langu.
  • 1:36 - 1:38
    kwa hiyo baada ya kwenda katika vikao vya kahawa
  • 1:38 - 1:40
    au vyumba vya mikutano,
  • 1:40 - 1:43
    nawaomba watu twende katika mikutano ya kutembea,
  • 1:43 - 1:47
    kufikia umbali wa maili 20 hadi 30 kwa wiki.
  • 1:47 - 1:50
    imebadilisha maisha yangu.
  • 1:50 - 1:53
    lakini kabla, kilichotokea ilikuwa ni,
  • 1:53 - 1:54
    nafikiri kama hivi,
  • 1:54 - 1:56
    unaweza ukaangalia afya yako,
  • 1:56 - 1:58
    au kuangalia majukumu yako,
  • 1:58 - 2:02
    na moja lazima lichukue nafasi ya jingine.
  • 2:02 - 2:05
    lakini sasa, baada ya mamia ya maili za vikao hivi vya kutembea,
  • 2:05 - 2:07
    nimejifunza vitu kadhaa.
  • 2:07 - 2:08
    Kwanza, kuna kitu hiki cha ajabu
  • 2:08 - 2:11
    kuhusu kutoka katika mazoea,
  • 2:11 - 2:13
    kunakosababisha usiwe na mawazo ya mazoea.
  • 2:13 - 2:18
    kama ni mazingira au mazoezi ,lakini inafanya kazi.
  • 2:18 - 2:21
    Na pili, na labda muhimu zaidi,
  • 2:21 - 2:23
    ni jinsi ambavyo kila mtu,
  • 2:23 - 2:25
    wakastahimili matatizo
  • 2:25 - 2:27
    hata kama hawako hivyo.
  • 2:27 - 2:29
    na kama tutatua matatizo
  • 2:29 - 2:31
    na kuiangalia dunia,
  • 2:31 - 2:33
    kama ni katika utawala au biashara
  • 2:33 - 2:36
    au mambo ya mazingira,utengenezaji wa ajira,
  • 2:36 - 2:38
    labda tunaweza tukafikiri jinsi ya kuyaangalia upya matatizo haya.
  • 2:38 - 2:40
    ili vitu vyote viwe sahihi.
  • 2:40 - 2:42
    kwa sababu ilikuwa hivyo
  • 2:42 - 2:44
    kuhusu wazo hili la kuongea na kutembea
  • 2:44 - 2:48
    kwamba vitu vinaeza kufanyika na vikadumu.
  • 2:48 - 2:50
    nilianza mazungumzo haya nikiongelea kuhus makalio,
  • 2:50 - 2:54
    kwa hiyo nitamalizia kwa kusema
  • 2:54 - 2:55
    tembea na ongea.
  • 2:55 - 2:57
    tembea na ongea.
  • 2:57 - 3:00
    utashangaa jinsi ambavyo hewa safi inasababisha mazungumzo safi,
  • 3:00 - 3:02
    na katika hali hii,
  • 3:02 - 3:05
    utaleta mawazo mapya katika maisha yako.
  • 3:05 - 3:07
    Asante.
  • 3:07 - 3:11
    (Makofi)
Title:
Una Kikao?Fanya matembezi
Speaker:
Nilofer Merchant
Description:

Nilofer Merchant ana ushauri mdogo ambao unaweza kuwa na mabadiliko makubwa katika maisha na afya yako:Wakati utakapokuwa na kikao kingine na mtu, kifanye kiwe ni "kikao cha matembezi" -- na yaache mawazo yazunguke wakati mnatembea na kuongea

more » « less
Video Language:
English
Team:
closed TED
Project:
TEDTalks
Duration:
03:28
Jenny Zurawell edited Swahili subtitles for Got a meeting? Take a walk
Nelson Simfukwe accepted Swahili subtitles for Got a meeting? Take a walk
Joachim Mangilima approved Swahili subtitles for Got a meeting? Take a walk
Joachim Mangilima edited Swahili subtitles for Got a meeting? Take a walk
Joachim Mangilima edited Swahili subtitles for Got a meeting? Take a walk
Nelson Simfukwe edited Swahili subtitles for Got a meeting? Take a walk
Joachim Mangilima edited Swahili subtitles for Got a meeting? Take a walk
Joachim Mangilima edited Swahili subtitles for Got a meeting? Take a walk

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions