< Return to Video

MAOMBI YA UPONYAJI katika JINA LA YESU!

  • 0:00 - 0:04
    Weka mkono wako popote unapopata maumivu
  • 0:04 - 0:06
    katika mwili wako wa kimwili.
  • 0:06 - 0:11
    Weka mkono wako hapo kama mahali pa kuwasiliana kwa imani.
  • 0:11 - 0:20
    Popote pale ugonjwa huo umeota mizizi au kukaa ndani yako,
  • 0:20 - 0:23
    Natangaza uponyaji!
  • 0:23 - 0:29
    Uponywe, katika jina la Yesu!
  • 0:29 - 0:38
    Maandiko yanasema katika 1Wakorintho 6:19 miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu;
  • 0:38 - 0:43
    sio hekalu la roho ya magonjwa, mateso au maumivu.
  • 0:43 - 0:49
    Hivi sasa, chombo chochote katika mwili wako
  • 0:49 - 0:53
    kuharibiwa na roho ya ugonjwa,
  • 0:53 - 0:56
    Ninatangaza urejesho.
  • 0:56 - 1:00
    Urejeshwe!
Title:
MAOMBI YA UPONYAJI katika JINA LA YESU!
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:59

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions