-
Fikiria rununu yako au kipakatalishi.
-
Wanajua kila kitu kulihusu.
-
Kila chembe ndani yake, mahali ilipozalishwa.
-
Halafu...
-
haujui chochote tena.
-
Taka za kielektroniki huwa kwa sababu si muhimu kwetu tena,
-
kwa hivyo tunazitupa.
-
Tunazidisha hiyo shida kwa uhalisia kuwa
-
jinsi tumeziunda na kuzibuni
-
inakuwa vigumu kuzitenganisha,
-
Kudondoa vifaa muhimu,
-
na kuvitumua tena
-
tiubu zimeunganishwa na chasisi.
-
Chasisi imeunganishwa kwa kilcho kikuu...
-
Nasikia kuwa kuna takriban watu 4000 na wanaofanya kazi hapo.
-
Nimekuwa hapo kwa takriban miaka 15 sasa.
-
Tuligundua kuwa wengi wao
-
walikuwa na viwango vya juu vya vyembe vya chuma nzito damuni mwao.
-
Nadhani kuwa siyo tu Afrika
-
inapambana na suala hili la taka za kieletroniki
-
kwa sababu elektroniki na kifaa vyake ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku.
-
Hatuwezi tu kuwapa hivi bidhaa
-
watu bilioni 7,8,9 watakao kuwa sayarini baadaye.
-
tukiwa tunatupa idadi kubwa
-
baada ya kutumika kwa miaka miwili au mitatu.
-
Kwa kweli, tunadhani kwa ujumla kuhusu taka za kieletroniki,
-
Ni tofauti ukifikiria skrini za CRT,
-
au ukifikiria kuhusu rununu ya kizazi kipya.
-
Lakini hakika kuna thamani kubwa tunayoweza kurudisha kutoka kwa hizi taka.
-
Kunafaa kuwa na motisha ya kutengeneza upya
-
Mimi ni Professa katika MIT,
-
ninapoendesha mahali panapoitwa Senseable City Lab
-
na pia ofisi ya kubuni inayoitwa Carlo Rtii Associati.
-
Tulianza kushughuikia hii na mradi tuliyouita Trash-Track.
-
Ilikuwa miaka mitano iliyopita na tulishirikiana na jiji la Seattle
-
na kutupa elektoniki nyingi tulizozitambulisha
-
ili kufuata taka
-
tulifuata maganda ya ndizi,
-
skrini za CRT, tarakilishi, Katrigi na kadhalika
-
Taka nyingi zingeishia katika mipaka ya Marekani,
-
halafu, hatungeifuata tena.
-
Mara ya kwanza nilipofika hapa nilishtuka.
-
Unaona aina ya kazi watu wanaoifanya.
-
Wanajikata, wanajiweka wazi kwa vitu vingi.
-
Jina langu ni Bennett Nana Akuffo.
-
Mimi ni meneja wa Green Advocacy Ghana wa Miradi.
-
kwa hivyo, wavulana hapa kawaida huzunguka na malori.
-
Wanaenda kwa kila nyumba.
-
Wakija kwangu,
-
hakika wanaweza kununua jokofu kutoka kwangu.
-
Halafu watalileta hadi hapa,
-
watalikata vipande.
-
Watapata aluminia kutokana na kasha.
-
watapata shaba kutokana na mota iliyoko jokofuni.
-
Kwa hivyo wanachokifanya ni kulikata kwa patasi na nyundo.
-
halafu nyaya zilizoko,
-
watazichoma kudondoa shaba.
-
Halafu kinachotendekea stairofomu,
-
ni kutumiwa kama mafuta.
-
Kwa hivyo wakitaka kusindika aina hizo zote za vyuma,
-
wataongezea Stairofomu halafu waliwashe.
-
Tunajua kuwa udongo umechafuka sana,
-
na viwango vya ledi, kadaminiamu na aseniki mchangani unaongezeka.
-
Tulifanya utafiti ya watu hapa.
-
Tulipata kuwa wengi wao
-
wameongeza viwango vya vyembe vya vyuma miilini mwao.
-
Vyembe vya vyuma vizito vinahusishwa na saratani
-
na magonjwa mengine.
-
Sehemu hii yote ni kama eneo la biashara.
-
Upo na watu wanaouza maji, vinywaji.
-
wengine wanafanya kazi,
-
wengine wanazurura wakiokota vitu mvunguni.
-
Kwa hivyo ni jumuiya yake yenyewe.
-
Nasikia kuwa kuna zaidi ya watu mia nne wanaofanya kazi hapa.
-
Na wengi wao hushinda hapa siku kutwa.
-
Wengi wao yamkini wapo hatarini.
-
Watu wengi huiona Agbogbloshie kama biwi la taka.
-
Lakini ni huduma wanaopatia Waghana wa Kawaida.
-
Ndio ni mbaya,
-
lakini ni huduma tunayohitaji.
-
Ikiwa Agbogbloshie haingekuwa,
-
ni nini ingefanyikia magari zetu kukuu,
-
majokofu yetu zee, maruninga na hayo yote?
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-