-
Taarifa bandia zenyewe, tunajaribu kuepuka istilahi hii kwa sasa,
-
kwa sababu inajumuisha kwa kundi moja
-
aina nyingi hatari yaliyomo mtandaoni.
-
Kwa hivyo tunatofautisha sasa kati ya taarifa potofu na taarifa potovu.
-
Kilicho sawa kati yao
-
ni kuwa taarifa iliyomo si sahihi, si ya ukweli na si yakini.
-
maelezo ya kawaida ya taarifa bandia
-
ni kuwa ni pamoja na uwongo, upotofu na upotovu.
-
Mara nyingine kuna makosa
-
yanayotendwa
-
katika kupashwa kwa habari vyomboni.
-
mengine ni madogo, mengine ni makubwa.
-
Makosa makubwa hutokana na data muhimu
-
sawasawa na uchambuzi unaoonekana kupuuza
-
vipengele vinginevyo vya data inayokusanywa.
-
Kuna aina mbili ya taarifa bandia.
-
Taarifa ya uwongo inayotokana na tunachokisema,
-
tunachokiita taarifa potofu,
-
kumaanisha "dahil nag-kamali yung nag-rereport"
-
au "pwedeng mali kasi yung taarifa na binigay ng chanzo."
-
Kwa hivyo tofauti kati ya taarifa potofu na taarifa potovu ni
-
kwa njia nyingi taarifa potofu ni asili
-
Inasaambaa, ni asili,
-
watu watakosa kuamini baadhi ya vitu,
-
na hiyo hufanyika, sawa?
-
Taarifa potovu hupangwa.
-
hufadhiliwa, hupangwa
-
huratibiwa.
-
katika siasa, inaendeshwa na wataalamu
-
inaendeshwa na wakubwa wa, wajua,
-
magwiji wa uhusiano bora katika utangazaji na wafanyikazi katika kampeni
-
na wasaragambo waliojipanga katika kampeni za kisiasa,
-
Manukuu na Mauricio Kakuei Tanaka.