-
Baadhi ya vitu ambavyo ni nzuri kwa pato la taifa,
-
lakini muholelo kwetu,
-
ni, kwa mfano vimbunga na zani asili,
-
vita, ulanguzi wa madawa ya kulevya na uhalifu wa mtadaoni.
-
Mengi ya mambo hayo yanahitaji huduma za polisi
-
au huduma nyinginezo za kujitolea ili kukinga,
-
na hii ndio inafanya Pato la kitaifa kupanda.
-
Inapima kila tukio linalotokea katika uchumi kwa mwaka.
-
Unaweza ipima ama kwa kuongeza kila hela watu wanatumia,
-
kila pato
-
au kila kitokacho kwa uchumi,
-
kama kupima urefu wa mlima
-
au kina cha mto.
-
lakini siyo kitu halisi kamwe.
-
Ni sanaa ya uchanganuzi.
-
lakini, haswa, hiyo ni aina holela ya kueleza,
-
na ilihusisha maamuzi mengi.
-
Na ninadhani ingesaidia sana
-
kama watu wangefikiri kuhusu hali ya kutojua
-
inayohusika katika kupima pato la taifa.
-
Neno hili asili yake nyakati za Vita vya Pili vya Dunia
-
ambapo kulihitajika kuelewa
-
ni raslimali zipi uchumi wa vita ulihitaji na dhabihu za matumizi
-
wananchi wangetoa ili hayo yafanyike.
-
Kwa hivyo takwimu za taifa za aina yote huanzia miaka ya 1940.
-
Inakosa kujumuisha mambo mengine muhimu.
-
haijumuishi gharama ya mazingira katika ukuwaji wa uchumi,
-
na thamani ya kazi isiyolipiwa wanayofanya watu manyumbani mwao.
-
Na pia haitii maanani
-
mizania ya kitaifa, kama ungependa,
-
kwa raslimali tunazozitumia kufaidikia mapata na matumizi ya leo.
-
Kama kweli tunajali uhimili,
-
cha muhimu
-
ni kuanza kupima raslimali hizo zote vyema pia.
-
Ni kuhusu nafasi kwa wanawake,
-
na ni kuhusu mfumo wa elimu na afya ambao umefadhiliwa na umma
-
ambayo pia inawezesha huduma kupatikana.
-
Naamini kuwa historia yako na mila zako
-
inaathiri jinsi jamii inavyoendeshwa.
-
Nchi zote zinaweza wajibikia umoja
-
huku wakielewa jinsi nchi yao inavyofaa.
-
Nadhani tumenufaishwa na jamii maskini
-
ambayo inaanza kuwa tajiri
-
lakini kuwa tajiri baada ya kuidhinisha taasisi thabiti.
-
Mojawapo ya vitu tulivyo navyo ni sekta ya mashirika yasiyo ya kiserikali
-
iliyo na kazi nyingi gunda
-
ambapo ndipo wengi wanataka kuishia
-
kwa shughuli na wengine
-
Na nadhani hiyo inaleta ushirikiano wa karibu kati ya watu.
-
Kuna hamu kuu kwa sasa kukiuka pato la kitaifa
-
na kupata uelewa bora wa mchakato wa kiuchumi.
-
Hii inasukumwa kwa kiasi na mabadiliko yote ya kidijitali
-
ambayo tunaona ikitendeka katika uchumi
-
Tunafaa kufuatilia ni nini hicho kinafanya,
-
ambacho ni, kizuri
-
kwa sababu ya uvumbuzi ambazo tunaweza kutumia,
-
lakini pia inatia wasiwasi
-
kama inamaanisha kutakuwa na kuvurugwa kwa nafasi za kazi pia.
-
Kwa hivyo tunataka kufuatilia hayo.
-
na kufikiria kuwa mradi wa miaka michache ijayo
-
kwa watafiti na wauunda sera
-
kuwa na mdahalo kuhusu jinsi ya kukiuka pato la kitaifa
-
kwa kipimo bora cha maendeleo yetu ya kiuchumi,
-
lakini ile tunayotaka kuiendea.
-
Manukuu na Mauricio Kakuei Tanaka, uhakiki na Jenny Lam-Chowdhury