< Return to Video

Racism and Mental Health

  • 0:01 - 0:04
    ♪ (muziki) ♪
  • 0:06 - 0:10
    Ubaguzi wa kimbari na afya ya akili
    vimeunganika kwa njia nyingi.
  • 0:10 - 0:13
    Video hii itajadili athari kwa watu
  • 0:13 - 0:16
    na jamii zinazolengwa na ubaguzi wa mbari.
  • 0:16 - 0:20
    ♪ (muziki tulivu wa piano) ♪
  • 0:20 - 0:22
    Kote ulimwenguni,
  • 0:22 - 0:25
    Watu Weusi, Wa Asili na Wenye
    Rangi ndio wanaolengwa
  • 0:25 - 0:28
    na dhuluma, ubaguzi wa kimfumo,
  • 0:28 - 0:31
    uchokozi, na
    matendo halisi ya vurugu
  • 0:31 - 0:33
    kutokana na rangi ya ngozi yao.
  • 0:33 - 0:37
    Matukio ya ubaguzi wa mbari
    hayasababishi tu dhiki kwa wakati huo,
  • 0:37 - 0:40
    lakini yanaweza pia kusababisha
    matatizo ya afya ya akili
  • 0:40 - 0:43
    yanayozidi kuwa mabaya kwa kila tukio.
  • 0:43 - 0:45
    Hebu tukague baadhi ya
  • 0:45 - 0:48
    athari za ghafla na za muda
    mrefu za ubaguzi wa mbari.
  • 0:48 - 0:52
    Wakati wa tukio na baada ya
    kupitia ubaguzi wa mbari,
  • 0:52 - 0:54
    hatua ya kupigana au
    kuondoka ya mfumo wa neva
  • 0:54 - 0:55
    inaweza kuanzishwa.
  • 0:55 - 0:58
    Hatua hii ya kujilinda huwaandaa watu
  • 0:58 - 1:01
    kuchukua hatua kutokana na
    vitisho katika mazingira,
  • 1:01 - 1:03
    na zinaweza kujumuisha
    wasiwasi au mzongo wa mawazo,
  • 1:03 - 1:08
    mapigo ya kasi ya moyo, kutoa jasho,
    kichefuchefu, na mafikira mengi.
  • 1:08 - 1:09
    ♪ (muziki tulivu wa piano) ♪
  • 1:09 - 1:12
    Watu wanaweza kuwa na hali ya
    huzuni, hasira,
  • 1:12 - 1:15
    na ujasiri na hadhi ya chini.
  • 1:15 - 1:18
    Muda unavyosonga, athari ya jumla
    ya ubaguzi wa kimbari
  • 1:18 - 1:22
    inaweza kusababisha mzongo wa kudumu wa
    mawazo na hatua kali za kudhibiti mzongo,
  • 1:22 - 1:26
    afya mbaya ya akili kwa jumla
    na matatizo ya afya ya mwili.
  • 1:27 - 1:30
    Kupitia ubaguzi wa kimbari kunaweza
    kuchangia au kusababisha dalili za
  • 1:30 - 1:33
    mafadhaiko, wasiwasi na PTSD.
  • 1:33 - 1:38
    Unaweza pia kusababisha shinikizo la
    damu na matatizo mengine ya moyo,
  • 1:38 - 1:40
    magumu ya uhusiano,
  • 1:40 - 1:43
    matatizo shuleni au utendaji kazini,
  • 1:43 - 1:45
    na kwa jumla siha mbovu.
  • 1:46 - 1:48
    Si lazima watu walengwe moja kwa moja
  • 1:48 - 1:50
    na matendo ya watu wawili ya ubaguzi wa kimbari
  • 1:50 - 1:53
    ii kupitia athari zake zenye madhara.
  • 1:54 - 1:58
    Utafiti unaonyesha ya kwamba kuwa
    sehemu ya kikundi kilichotengwa
  • 1:58 - 2:00
    ni chanzo cha mzongo wa mawazo.
  • 2:01 - 2:05
    Kushuhudia ukandamizaji au
    vurugu inayoelekezewa watu
  • 2:05 - 2:08
    kutoka jumuiya yako inaweza
    kusababisha kiwewe
  • 2:08 - 2:13
    na hata dalili zinazohusiana na tatizo la
    mzongo wa mawazo unaotokea baada ya kiwewe.
  • 2:13 - 2:15
    Hili huenea mara nyingi baada ya matukio
  • 2:15 - 2:18
    vurugu ya ubaguzi wa mbari
    kugonga vichwa vya habari kitaifa.
  • 2:19 - 2:23
    Athari za kiuchumi na hisia za
    matendo ya kudhihaki
  • 2:23 - 2:27
    na uonevu zinaweza kuhamishiwa kwa vizazi.
  • 2:27 - 2:28
    (maji yanarashia)
  • 2:28 - 2:29
    Athari zinazoendelea kuenea za historia
  • 2:29 - 2:32
    bado zinawaathiri watu wengi siku hizi.
  • 2:33 - 2:34
    Watu kutoka jumuiya zilizotengwa
  • 2:34 - 2:38
    hawana tu uwezekano wa kupitia
    matatizo ya afya ya akili
  • 2:38 - 2:41
    kutokana na vigezo vya ushirikiano na
    ubaguzi wa mbari wa kimfumo,
  • 2:42 - 2:45
    wana uwezekano mchache wa
    kufikia matibabu ya masuala yao.
  • 2:46 - 2:50
    Ni dhahiri kwamba kuzidisha ufikiaji wa
    huduma ya afya ya akili ni muhimu
  • 2:50 - 2:53
    ili kuimarisha afya na siha ya kila mtu.
  • 2:54 - 2:56
    Tutafanya mabadiliko vipi?
  • 2:56 - 3:00
    Hamna mtu mmoja pekee
    anaweza kuwajibikia kuleta mabadiliko.
  • 3:01 - 3:05
    Mabadiliko mazuri na kupona
    kunahitaji juhudi kutoka kwa kila mtu.
  • 3:05 - 3:06
    (hewa inavuma)
  • 3:06 - 3:11
    Ipohusu tatizo lililosambaa na
    kukolea kama vile ubaguzi wa kimbari,
  • 3:11 - 3:15
    kuleta mabadiliko mazuri kunahitaji sisi
    sote tuwe sehemu za suluhisho.
  • 3:15 - 3:19
    Sote tunanufaika zaidi wakati
    maisha ya kila mtu yanathaminiwa
  • 3:19 - 3:21
    na watu wanaweza kutenda kadri wawezavyo.
  • 3:21 - 3:23
    ♪ (muziki tulivu wa piano) ♪
  • 3:23 - 3:26
    Ni lazima tujielimishe kuhusu
    historia ya ubaguzi wa kimbari
  • 3:26 - 3:29
    na kutupilia mbali mambo mengi
    yanayoonyeshwa kuwa ukweli
  • 3:29 - 3:30
    na utamaduni wenye nguvu.
  • 3:31 - 3:33
    Tuchukue hatua na tufanye utafiti.
  • 3:33 - 3:35
  • 3:35 - 3:38
  • 3:38 - 3:41
  • 3:41 - 3:44
  • 3:44 - 3:46
  • 3:46 - 3:49
  • 3:49 - 3:52
  • 3:52 - 3:54
  • 3:55 - 3:59
  • 3:59 - 4:02
  • 4:02 - 4:04
  • 4:04 - 4:08
Title:
Racism and Mental Health
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
Amplifying Voices
Project:
Mental Health
Duration:
04:10
Eddie Simiyu Wafulah edited Swahili subtitles for Racism and Mental Health
Eddie Simiyu Wafulah edited Swahili subtitles for Racism and Mental Health
Eddie Simiyu Wafulah edited Swahili subtitles for Racism and Mental Health
Eddie Simiyu Wafulah edited Swahili subtitles for Racism and Mental Health

Swahili subtitles

Incomplete

Revisions Compare revisions