< Return to Video

MWITIKIO wao haupaswi kuamua MWENENDO lako!

  • 0:00 - 0:04
    Unapompenda mtu bila matarajio ya
  • 0:04 - 0:09
    kupata kitu fulani kutoka kwa mtu unayempa,
  • 0:09 - 0:12
    basi unapanda mbegu katika roho.
  • 0:12 - 0:16
    Unapompa mtu, mwitikio wake
  • 0:16 - 0:19
    haupaswi kuamua matendo yako.
  • 0:19 - 0:21
    Ikiwa watarudisha vivyo pia au la -
  • 0:21 - 0:23
    endelea kutoa!
  • 0:23 - 0:26
    Ikiwa wanathamini au la - endelea kusaidia!
  • 0:26 - 0:28
    Ikiwa wanasema, 'Asante' au la -
  • 0:28 - 0:29
    endelea kushiriki!
  • 0:29 - 0:32
    Kwa sababu unapanda mbegu kwa roho.
Title:
MWITIKIO wao haupaswi kuamua MWENENDO lako!
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:32

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions