You are FREE to FLEE from sin!
-
0:00 - 0:10Mungu amegeuza hali yako ili uwache dhambi.
-
0:10 - 0:17Kwa maneno mengine, uko huru kutoroka dhambi.
-
0:17 - 0:21Nataka useme hivyo sasa hivi. Tangaza!
-
0:21 - 0:24Kwa imani, wacha nisikie ukisema hivyo nyumbani kwako.
-
0:24 - 0:32Sema, 'Niko huru kutoroka dhambi.
-
0:32 - 0:38Nimekombolewa ili niweze kutoroka dhambi.
-
0:38 - 0:44Nimefanywa upya ili kukimbia dhambi.
-
0:44 - 0:51Nimebarikiwa kusema kwaheri kwa dhambi.'
-
0:51 - 0:59Uhuru kutoka kwa nguvu ya dhambi haikupi kibali cha kucheza na sumu ya dhambi.
- Title:
- You are FREE to FLEE from sin!
- Description:
-
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 01:00
![]() |
babubiko edited Swahili subtitles for You are FREE to FLEE from sin! |