Siku zote kuna SOMO katika KILA hali!
-
0:00 - 0:11Usitafsiri vibaya hali yako kupitia lenzi ya kile ulichopoteza.
-
0:11 - 0:18Ndiyo, unaweza kuwa umepoteza uhusiano.
-
0:18 - 0:23Lakini umejifunza uzoefu muhimu na ukomavu
-
0:23 - 0:27ambao utakudumisha katika uhusiano unaofuata.
-
0:27 - 0:34Ndiyo, unaweza kuwa umepoteza kazi yako.
-
0:34 - 0:40Lakini umejifunza kanuni ambazo zitakupandisha cheo
-
0:40 - 0:43katika kazi inayofuata ambayo Mungu anayo kwa ajili yako.
-
0:43 - 0:50Ndiyo, unaweza kuwa umepoteza nafasi hiyo.
-
0:50 - 0:56Lakini umejifunza somo ambalo litakusaidia kuongeza somo linalofuata
-
0:56 - 1:00nikija katika njia yako, juu ya upeo wa macho.
-
1:00 - 1:10Usiangalie maisha kupitia lenzi ya kile ulichopoteza, bali kile ulichojifunza.
-
1:10 - 1:18Daima kuna somo katika kila hali.
-
1:18 - 1:24Kinachoonekana kibaya kinamaanisha wema.
-
1:24 - 1:30Ni suala la muda na maandalizi tu.
- Title:
- Siku zote kuna SOMO katika KILA hali!
- Description:
-
"Usiitafsiri vibaya hali yako kupitia mtazamo wa kile ulichopoteza. Ndiyo, unaweza kuwa umepoteza uhusiano. Lakini umejifunza uzoefu unaohitajika na ukomavu ambao utakutegemeza katika uhusiano unaofuata. Ndiyo, unaweza kuwa umepoteza kazi yako. Lakini umejifunza kanuni ambazo zitakuwezesha kupandishwa cheo katika kazi inayofuata ambayo Mungu anayo kwa ajili yako. Ndiyo, unaweza kuwa umepoteza nafasi hiyo. Lakini umejifunza somo moja linalofuata ambalo litakusaidia. Usiangalie maisha kupitia kile ulichopoteza, lakini kile ambacho umejifunza katika kila hali. Kinachoonekana ni kiovu, kinamaanisha wema.
Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Kaka Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=gViHcKXV74g
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 01:30
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for There is always a LESSON in EVERY situation! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for There is always a LESSON in EVERY situation! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for There is always a LESSON in EVERY situation! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for There is always a LESSON in EVERY situation! |