< Return to Video

Kutokusamehe SI rafiki yako!

  • 0:00 - 0:05
    Kutosamehe ni adui anayejificha kama rafiki.
  • 0:05 - 0:06
    Namaanisha nini?
  • 0:06 - 0:12
    Anajifanya kuwa rafiki yako kwa kukuweka katikati ya tahadhari,
  • 0:12 - 0:17
    ili wakati umetingwa na shughuli nyingi ukizingatia mabaya uliyotendewa,
  • 0:17 - 0:24
    ukilamba vidonda vyako, kuuguza kujihurumia, wakati umetingwa ukifanya hivyo,
  • 0:24 - 0:27
    kutokusamehe anakuwa amejikita katika kukuchoma kisu mgongoni -
  • 0:27 - 0:31
    kuiba wakati wako,
  • 0:31 - 0:33
    kunyima furaha yako,
  • 0:33 - 0:36
    kuchafua amani yako,
  • 0:36 - 0:39
    kuleta mgawanyiko katika familia yako,
  • 0:39 - 0:45
    kufufua maumivu ya zamani.
  • 0:45 - 0:51
    Kutokusamehe sio rafiki yako.
  • 0:51 - 0:59
    KuInaweza kukidhi hamu yako ya kujaliwa kwa muda lakini hakuwezi kutatua shida yako.
Title:
Kutokusamehe SI rafiki yako!
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:00

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions