< Return to Video

Kutokusamehe SI rafiki yako!

  • 0:00 - 0:05
    Kutosamehe ni adui anayejificha kama rafiki.
  • 0:05 - 0:06
    Namaanisha nini?
  • 0:06 - 0:12
    Anajifanya kuwa rafiki yako kwa kukuweka katikati ya tahadhari,
  • 0:12 - 0:17
    ili wakati umetingwa na shughuli nyingi ukizingatia mabaya uliyotendewa,
  • 0:17 - 0:24
    ukilamba vidonda vyako, kuuguza kujihurumia, wakati umetingwa ukifanya hivyo,
  • 0:24 - 0:27
    kutokusamehe anakuwa amejikita katika kukuchoma kisu mgongoni -
  • 0:27 - 0:31
    kuiba wakati wako,
  • 0:31 - 0:33
    kunyima furaha yako,
  • 0:33 - 0:36
    kuchafua amani yako,
  • 0:36 - 0:39
    kuleta mgawanyiko katika familia yako,
  • 0:39 - 0:45
    kufufua maumivu ya zamani.
  • 0:45 - 0:51
    Kutokusamehe sio rafiki yako.
  • 0:51 - 0:59
    KuInaweza kukidhi hamu yako ya kuangaliwa kwa muda lakini hakuwezi kutatua shida yako.
Title:
Kutokusamehe SI rafiki yako!
Description:

"Kutokusamehe ni adui anayejificha kama rafiki, ninamaanisha nini? Anajifanya rafiki yako kwa kukuweka katikati ya uangalizi, ili wakati uko umetingwa kuzingatia mabaya uliyotendewa, kulamba vidonda, kuuguza kujihurumia, wakati unashughulika kufanya hivyo, kutokusamehe amejikita katika kazi ya kukuchoma kisu mgongoni - kuiba wakati wako, kuiba furaha yako, kuchafua amani yako, kuzua mgawanyiko katika familia yako, kufufua maumivu ya zamani. Kutokusamehe sio rafiki yako. Kunaweza kukidhi kwa muda hamu yako ya kuangaliwa lakini hakuwezi kutatua tatizo lako.”

Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=yvRzWsIir6U

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:00

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions