-
-
Tuna pembe tatu 24.
-
Ninachotaka kufanya
-
ni kuzigawa kwenye makundi ya namba tofauti.
-
Jambo la kwanza ni
-
kugawanya pembe tatu 24 kwenye makundi 3
-
na fikiri kila kundi litakuwa na pembe tatu ngapi.
-
Tujaribu.
-
Nitazigawa kwenye makundi 3 sawa.
-
Hilo ni kundi moja
-
Kundi jingine sawa
-
Na kundi la tatu
-
Hivyo nimegawanya 24 kwenye makundi 3 yanayolingana--1, 2, 3
-
kila kundi litakuwa na ngapi?
-
Tunaweza kuzihesabu.
-
Kila kundi lina 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8
-
Hivyo tunaweza kusema 24 gawa kwa 3 ni 8.
-
Unaweza kusema
-
ni sawa na tulichoona kwenye kuzidisha.
-
kwenye kuzidisha, tulisema kama tuna makundi 3 ya 8,
-
inaweza kuwa ni sawa na 3 mara 8 ni 24
-
Na ni sawa.
-
-
Tufanye ya rangi moja-- tunaweza kuandika 3
-
mara 8-- hivyo kama nina makundi 3 ya 8,
-
itakuwa ni sawa na 24.
-
Tulivoanza tulikuwa na vitu 24.
-
Tukagawa kwenye makundi 3.
-
Tukapata 8 kila kundi, au unaweza kusema makundi 3 ya 8 yanayolingana
-
ni sawa na 24.
-
Ila kuna njia nyingine.
-
Ngoja nifute.
-
-
-
Kwenye mfano wa kwanza, niligawa 24 kwa makundi 3.
-
Pia unaweza kusema 24 gawanya kwa 3
-
kwa kugawanya 24 kwa makundi 3.
-
Tuone itakuwaje.
-
Kama tukigawa kwa makundi 3,
-
mfano hili ni kundi la 3.
-
hili ni kundi la 3.
-
Hili ni kundi la 3.
-
Unaweza kuona inavyokuwa.
-
Hili ni kundi la 3.
-
Kundi jingine la 3.
-
Kisha tuangalie tuna makundi mangapi ya 3
-
tutapata.
-
kundi jingine la 3.
-
Hili nalo ni la 3.
-
Hivyo tuna makundi mangapi ya 3?
-
Tuna makundi 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8 ya 3.
-
Njia nyingine ya kufanya 24 gawa kwa 3
-
ni kugawa 24 kwenye makundi ya 3.
-
Hivyo utakuwa na makundi 8 ya 3.
-
Njia nyingine ya kutumia
-
kama unataka kuelezea kitu kama hiki
-
kwa kuzidisha-- ni kama una
-
makundi 8 ya 3, pia itakuwa sawa na 24.
-
Iwe ni makundi 3 ya 8 au makundi 8 ya 3,
-
vyovyote utapata 24.
-
Tufanye ieleweke zaidi.
-
Kwa kuzingatia ulichojifunza,
-
24 gawanya kwa 12 ni ngapi?
-
Subirisha video,
-
chora pembe tatu 24 kama hizi, na
-
tatuta 24 gawanya kwa 12 ni ngapi.
-
nadhani umesubirisha video.
-
Kuna njia mbili za kugawanya 24 kwa 12.
-
Unaweza kugawa 24 kwenye makundi ya 12
-
kisha tafuta tutapata makundi mangapi.
-
Hunaweza kufanya.
-
-
Hili ni kundi la kwanza la 12
-
Hili ni kundi jingine la 12
-
Tunamakundi mangapi ya 12?
-
tunamakundi 2 ya 12.
-
Hivyo tunaweza kusema 24 gawanya kwa 12 ni 2.
-
Ila njia nyingine
-
ni unaweza kugawa 24
-
kwenye makundi 12 badala ya makundi ya 12.
-
hivyo, kama nagawa kwenye makundi 12,
-
makundi 12 yanayolingana--
-
Hili ni kundi la 1, kundi la 2--
-
ngoja nifanye hivi.
-
ngoja nifanye hivi-- makundi 2 yanayolingana, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10,
-
11, 12.
-
hivyo ukigawa 24 kwa makundi 12
-
yanayolingana, nitapata ngapi kwa kila kundi?
-
Utapata 2.
-
Hivyo 24 inaweza kuwa
-
24 gawanya kwa makundi 12 sawa.
-
nitapata ngapi kwa kila kundi?
-
Au 24 ikigawanywa kwenye makundi ya 12
-
nitapata makundi mangapi?
-
Hicho ndicho tulichoona kwenye mfano wa mwisho.
-
-
Endelea kufanya,
-
Tafuta 24 gawanya kwa 6 ni ngapi.
-
Pia tafuta 24 gawanya
-
kwa 4 ni ngapi.
-
subirisha video,
-
chora hizi pembe tatu utafute jibu.
-
24 gawanya kwa 6 na 24 gawanya kwa 4 ni ngapi?
-
Tuanze na 24 gawanya kwa 6.
-
Tugawanye 24 kwenye makundi 6 yanayolingana.
-
-
Hili ni la 1, la 2,
-
kila kundi lina vitu 4.
-
Na tuna safu 6.
-
Makundi 3 yanayolingana, 4, 5, na 6.
-
Hivyo ukigawa 24 kwa makundi 6 yanayolingana,
-
tutakuwa na ngapi kwa kila kundi?
-
utakuwa na 4.
-
Kwenye kila kundi.
-
Njia nyingine unaweza
-
kusema,
-
nagawanya 24 kwenye makundi ya 6.
-
Hivyo ukigawa 24 kwenye makundi ya 6
-
itakuwa hivi
-
hili ni kundi 1 la 6 hapa.
-
Kundi jingine la 6.
-
Na hilo ni kundi jingine la 6.
-
Nafikiri umeona tuna makundi mangapi ya 6.
-
Tuna mangapi?
-
Yapo 4.
-
Tuna makundi 4 ya 6.
-
Tuangalie 24 gawanya kwa 4 ni ngapi.
-
Nikichukulia 24 gawa kwa 4 ni kugawa 24 kwa
-
makundi 4 yanayolingana, nimeyachora.
-
nina makundi 4 sawa na kila kundi nina 6.
-
-
Hivyo tambua 24 gawanya kwa 6 ni 4.
-
24 gawanya kwa 4 ni 6.
-
Hivyo itakuwa makundi 4 ya 6.
-
au tuseme 4 mara 6 ni 24.
-
-
Pia unaweza kusema 6 mara 4
-
ni 24.
-
pia unaweza kusema 6 mara 4 ni 24.
-