< Return to Video

SONGA MBELE kutoka kwenye KUTOELEWA!

  • 0:00 - 0:06
    Hakuna uhusiano katika ulimwengu huu ambapo hautakabili uhalisia
  • 0:06 - 0:10
    wa kutoelewana, kutokukubaliana au kutofautiana.
  • 0:10 - 0:12
    Ushahidi wa ukomavu wa kiroho
  • 0:12 - 0:16
    ni jinsi unavyoendelea kutoka kwenye kutokuelewana.
  • 0:16 - 0:18
    Kutakuwa na kutokuelewana.
  • 0:18 - 0:19
    Kutakuwa na tofauti.
  • 0:19 - 0:21
    Kutakuwa na kutokukubaliana.
  • 0:21 - 0:25
    Ikiwa una nguvu kiroho, unachagua njia ya suluhu
  • 0:25 - 0:28
    badala ya njia ya ugomvi.
Title:
SONGA MBELE kutoka kwenye KUTOELEWA!
Description:

"Hakuna uhusiano katika ulimwengu huu ambapo hautakabiliana na uhalisia wa kutokuelewana, kutokubaliana au kutofautiana. Ushahidi wa ukomavu wa kiroho ni jinsi unavyosonga mbele kutoka kwenye kutokuelewana. Kutakuwa na kutokuelewana. Kutakuwa na kutofautiana. Kutakuwa na kutokubaliana. Ikiwa una nguvu ya kiroho, unachagua njia ya suluhu badala ya njia ya ugomvi."

Unaweza kutazama mahubiri kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=rGcRR2HdONY

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:28

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions