< Return to Video

USISTAREHE SANA katika ukanda hatari ambao si nyumbani kwako!

  • 0:00 - 0:09
    Kuna wengi leo ambao wanashughulika na ujenzi wa majumba sokoni -
  • 0:09 - 0:16
    mahali panapopita, na kufifia.
  • 0:16 - 0:23
    Haijalishi unaishi muda gani huko, siku moja utaondoka huko.
  • 0:23 - 0:31
    Iwe ulimwengu huu unacheka na wewe au unakucheka,
  • 0:31 - 0:36
    jambo moja ni wazi - sisi si wa hapa.
  • 0:36 - 0:41
    Usistarehe sana katika ukanda hatari
  • 0:41 - 0:44
    ambao sio nyumbani kwako.
Title:
USISTAREHE SANA katika ukanda hatari ambao si nyumbani kwako!
Description:

"Kuna wengi leo ambao wana shughuli nyingi za kujenga majumba ya kifahari sokoni - sehemu ambayo unapita, panafifia. Haijalishi unaishi kwa muda gani, siku moja utaondoka huko. Dunia hii iwe inacheka na wewe au inakucheka, jambo moja liko wazi - sisi sio wa hapa. Usistarehe sana katika ukanda hatari ambao sio nyumbani kwako."

Unaweza kutazama mahubiri kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=5kjwN9EAA2c

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:44

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions