USIMLAUMU shetani kwa kukushambulia kwa risasi unazompatia!
-
0:00 - 0:05Watu wengi siku hizi wanalaumu shetani
-
0:05 - 0:11kwa kuingia kupitia milango ambayo wao wenyewe walimuachia wazi.
-
0:11 - 0:17Wengi humlaumu shetani kwa kuwashambulia
-
0:17 - 0:23na risasi walizompa wao wenyewe.
- Title:
- USIMLAUMU shetani kwa kukushambulia kwa risasi unazompatia!
- Description:
-
"Watu wengi leo wanamlaumu shetani kwa kuingia kwenye milango ambayo wao wenyewe wanaiacha wazi. Wengi wanamlaumu shetani kwa kuwashambulia kwa risasi wanazompatia."
Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=IcSsUKTvwT8
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 0:23
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Don’t BLAME the devil for attacking you with the ammunition you supply him! | |
![]() |
babubiko edited Swahili subtitles for Don’t BLAME the devil for attacking you with the ammunition you supply him! |