UPONYAJI WA PAPO HAPO na Ukombozi / maombi ya mtandaoni / nchi zaidi ya 50
-
0:00 - 0:03Nasema achiliwa kutoka kwenye huo ugonjwa
-
0:03 - 0:05achiliwa kutoka kwenye huo utumwa.
-
0:05 - 0:08achiliwa kutoka kwenye huo ukandamizaji
-
0:08 - 0:15achiliwa, achiliwa katika jina kuu
la Yesu Kristo. -
0:15 - 0:21unakaribishwa kwenye maombi ya ibada,
-
0:21 - 0:28hapa God´s heart TV studio north wales
nchini uingereza -
0:28 - 0:35kwa rehema za Mungu hii ni ibada
kwa ajili ya mataifa yote leo. -
0:35 - 0:38Tuna watu kutoka mataifa yote duniani
-
0:38 - 0:44Wanawakilisha mataifa yote hadi n hi 57
-
0:44 - 0:46Mbali hadi Ukraine
-
0:46 - 0:52Nchi iliyo ndani ya fikra zetu na maombi yetu hadi sasa
-
0:52 - 0:58Nataka kumshukuru mioyo yote, Inayo muamnini Yesu
-
0:58 - 1:03Anae amini kwamba hata kama Kuna umbali Kati yetu
-
1:03 - 1:06Kutoka hapa nilipo na hapo ulipo
-
1:06 - 1:11Una amini Yesu Kristo anaenda kukushika Leo, kwa namba ya kipekee
-
1:11 - 1:16Sababu ni heshima kubwa kumuamini yeye
-
1:16 - 1:21Ambapo kila maana inapingana nae
-
1:21 - 1:26Na Mungu anawaheshimu wale wanao muheshimu
-
1:26 - 1:32Ndio, tumekuja kwa Mungu Leo, tukiamini
-
1:32 - 1:35Kwa mapenzi Yake yatatukomboa
-
1:35 - 1:43Kuturejesha, kutuamsha, kutukomboa, kwenye kila kifungo
-
1:43 - 1:51Acha mapenzi Yake yatimizwe, sababu mapenzi Yake ni amri kwetu
-
1:51 - 1:56Tunaenda kuomba kwa pamoja katika Jina la Yesu Kristo
-
1:56 - 2:04Kabla ya maombi ni muhimu tukishibisha mioyo yetu na Neno
-
2:04 - 2:10Kama biblia inavyosema katika kitabu cha 1 petro 1:23
-
2:10 - 2:12Kua Neno la Mungu ni kama mbegu
-
2:12 - 2:19Si kwa mbegu iharibikayo, Inayo Kuja kwenye mioyo yetu
-
2:19 - 2:22Na kufanya Imani yetu kukua
-
2:22 - 2:27Sasa, andika hii, na Sema inakuja kwenye mioyo yenu
-
2:27 - 2:31Moyo wako ni kituo cha maongezi na Mungu
-
2:31 - 2:37Na ndio maana Imani haisuiani na kuiga matendo ya mwingine
-
2:37 - 2:38Au kumuiga mtu
-
2:38 - 2:46Imani lazima iinuke kutoka ndani ya Moyo wako, ndani ya kijito cha moyo
-
2:46 - 2:48Kutokana na Neno la Mungu
-
2:48 - 2:53Sasa swali langu ni hili
-
2:53 - 2:57Moyo wako upo kwenye Hali gani?
-
2:57 - 3:00Jiulize Hilo swai Sasa hivi
-
3:00 - 3:04Hali ya Moyo wako ipoje?
-
3:04 - 3:09Sababu nimejua Leo, kwamba watu wengi wanamtafuta Mungu
-
3:09 - 3:12Uso wa Mungu, kupumzika kutoka kwenye masumbuko
-
3:12 - 3:15Kutoka kwenye mapambano
-
3:15 - 3:21Lakini mioyo Yao haijatulia
-
3:21 - 3:25Mioyo Yao ina matatizo
-
3:25 - 3:34Na Yesu anatuambia katika Yohana 14:1,27
-
3:34 - 3:39Usiache Moyo wako ufadhaike
-
3:39 - 3:42Hiyo haimaanishi hakutokua na mafadhaiko
-
3:42 - 3:45Hajawai kusema kua hauyopata matatizo,
-
3:45 - 3:53Lakini usiache Moyo wako ukafadhaika, maana kama mkristo
-
3:53 - 3:57Ndio Kuna sababu za kufadhaishwa
-
3:57 - 4:03Lakini Kuna sababu kuu za kutofadhaika
-
4:03 - 4:06Hata kama Hakuna utulivu Mahali pote
-
4:06 - 4:12Angalia Hali ya Dunia kwa Sasa, Hakuna utulivu
-
4:12 - 4:18Lakini kama mkristo acha Moyo wako uwe katika utulivu
-
4:18 - 4:22Katika ufahamu kua Mungu yupo na wewe
-
4:22 - 4:29Kama isaya 41:10 inavyosema, Duniani Kuna majaribu ndio
-
4:29 - 4:34Lakini kama mkristo acha Moyo wako upate amani
-
4:34 - 4:41Katika ufahamu wa kua, Mungu ni wako (Warumi 8:31)
-
4:41 - 4:48Hata kama misukosuko ya Dunia ikikuzunguka na hasira zake
-
4:48 - 4:55Acha Moyo wako utulie, ndani ya ahadi za Mungu
-
4:55 - 5:01Kua hatokuacha wala kukutelekeza
-
5:01 - 5:08Kama maandiko yanavosema katika kitabu cha hebrania 13:5
-
5:08 - 5:16Sasa watu wa Mungu, kukaza mioyo yenu, mjielekeze kwa Yesu Kristo
-
5:16 - 5:20Sio Hali yako, sio matatizo yako, sio misukosuko yako
-
5:20 - 5:22Jielekeze kwa Yesu
-
5:22 - 5:27Kumbuka ahadi Yake kwetu katika mathayo 11:28
-
5:27 - 5:30Yesu alisema Njoo kwangu
-
5:30 - 5:37Nyie mliochoka Nami nitawapumzisha
-
5:37 - 5:40Kama Mungu ametuahidi pumziko
-
5:40 - 5:47Hakuna sababu ya mioyo yetu kutotulia
-
5:47 - 5:52Tunatakiwa kutambua huu ukweli
-
5:52 - 5:55Kuelewana na ushirika wa Mungu
-
5:55 - 5:57Sasa hivi, nataka ukiri hili
-
5:57 - 6:03Nakubaliana na Neno la Mungu
-
6:03 - 6:09Nakataa Hali yoyote, mazingira yoyote
-
6:09 - 6:11Ambayo ni kinyume na Neno
-
6:11 - 6:14Manisha kwa Moyo wako wote
-
6:14 - 6:20Acha kukiri Kwa smdomo yako, iambatane na moto wako
-
6:20 - 6:25Na hayo makubulaino, Sasa hivi
-
6:25 - 6:29Ni muda wa maombi.
-
6:29 - 6:32Moyo wako lazima uambatane na Mungu
-
6:32 - 6:35Moyo wako lazima uwe na makubulaino na Mungu
-
6:35 - 6:39Moyo wako lazima uwe huru, huru kutoka kwenye makosa
-
6:39 - 6:44Huru kutokana na uchungu, huru kutokana na maumivu ya nyuma
-
6:44 - 6:47Hivi ni vikwazo vinavyo simama Kati yako na Mungu
-
6:47 - 6:51Sasa hivi, achana na mambo ya nyuma,
-
6:51 - 6:56Kaa tayari Kupokea kutoka kwa Yesu Kristo Sasa hivi
-
6:56 - 7:03Kosa lolote linalosimama Kati yako na ahadi za Mungu.,
-
7:03 - 7:08Samehewa katika Jina la Yesu.
-
7:08 - 7:18Spanish
-
7:18 - 7:22Huo ukuta Kati ya Moyo wako na Roho wa Mungu
-
7:22 - 7:30Toka Sasa hivi, Toka Sasa hivi, Toka Sasa hivi
-
7:30 - 7:37Spanish
-
7:37 - 7:41Sasa hivi kwa mamlaka ya Jina la Yesu Kristo
-
7:41 - 7:45Achiliwa kwa Jina la Yesu
-
7:45 - 7:51Spanish
-
7:51 - 7:56Nasema achiliwa kutoka kwenye huo ugonjwa, achiliwa kwenye huo utumwa
-
7:56 - 7:59Achiliwa kutoka kwenye ukandamizaji
-
7:59 - 8:02Achiliwa, achiliwa, achiliwa
-
8:02 - 8:05Katika Jina kuu la Yesu
-
8:05 - 8:13Spanish
-
8:13 - 8:20Sasa hivi, naamuru Roho zote, zinazofanya kazi ndani ya Moyo wakk
-
8:20 - 8:26Kutoka katika Jina la Yesu
-
8:26 - 8:32Toka Sasa hivi, Toka kwenye mfuko, Toka kwenye ogani
-
8:32 - 8:33Toka nje Sasa hivi
-
8:33 - 8:48Spanish
-
8:48 - 8:52Anza kutapika, toa nje hayo magonjwa, toa hizo sumu
-
8:52 - 8:56Tapika huo utumwa, tapika huo mfuko Sasa hivi
-
8:56 - 8:58Wewe magonjwa, wewe ugonjwa
-
8:58 - 9:01Nasema Toka katika katika Jina la Yesu
-
9:01 - 9:06Toka katika Jina la Yesu, Toka Sasa hivi katika Jina kuu la Yesu
-
9:06 - 9:08Toka Sasa hivi
-
9:08 - 9:17Spanish
-
9:17 - 9:20Sasa hivi, kama ishara ya imani
-
9:20 - 9:24Weka mikono wako unapopata maumivu
-
9:24 - 9:26Una maumivu ya mwili
-
9:26 - 9:30Weka mikono wako hapo sasa
-
9:30 - 9:32Fungua Moyo wako
-
9:32 - 9:39Naongea na wewe Ugonjwa, wewe udhaifu
-
9:39 - 9:44Toka katika Jina la Yesu, Toka Sasa hivi
-
9:44 - 9:49Nje ya mfumo wao, nje ya viungo vyao, nje ya vitengo vyao
-
9:49 - 9:53Toka Sasa hivi, Toka nje sasa
-
9:53 - 9:55Toka nje Sasa hivi
-
9:55 - 10:09Spanish
-
10:09 - 10:13Watu wa Mungu, kaa kwa Hali ya maombi
-
10:13 - 10:18Unaweza kuiona Yesu Kristo anachofanya Kati yako sahivi
-
10:18 - 10:23Hata kwa umbali mrefu
-
10:23 - 10:27Fungua Moyo wako kwa Imani Yake kwa Neno lake na Roho yake
-
10:27 - 10:31Unaweza kuiona mapepo ya ki jidhihirisha Sasa hivi
-
10:31 - 10:33Sababu za magonjwa zinatoka nje
-
10:33 - 10:35Huu ni muda wako
-
10:35 - 10:37Huu ni muda wako Sasa hivi
-
10:37 - 10:41Nasema na nyie roho
-
10:41 - 10:44Jifunge kwa Roho ya Kristo Yesu
-
10:44 - 10:49Jifunge kwa Roho ya Kristo Yesu, Jina
-
10:49 - 10:58Spanish
-
10:58 - 11:03Muombe NEEMA ya kutii Neno lake
-
11:03 - 11:06Kufanya Neno lake kua kiwango ndani ya Maisha yako
-
11:06 - 11:10Kufuata Ile njia ya utakaso
-
11:10 - 11:12Fungua mdomo yako na uombe sasa
-
11:12 - 11:25Spanish
-
11:25 - 11:32Katika Jina kuu la Yesu tumeomba.
-
11:32 - 11:40Kwa mamlaka ndani ya Jina la Yesu Kristo
-
11:40 - 11:44Na tangazo upo huru Sasa katika Jina la Yesu
-
11:44 - 11:47Sasa hivi Anza kujiangalia
-
11:47 - 11:51Umeponywa, unerejeshwa, upo huru
-
11:51 - 11:54Umefunguliwa, Jiang aloe Sasa hivi
-
11:54 - 11:57Upo huru, upo huru, upo huru.
-
11:57 - 12:11Spanish
-
12:11 - 12:16Sasa Sasa hivi watazamaji duniani kote
-
12:16 - 12:20Mmeona kazi na nguvu za Mungu
-
12:20 - 12:25Nguvu za Mungu zikifanya maajabu, Katika Maisha ya watu wake
-
12:25 - 12:31Mmeona uaminifu, uhakika na uhalisia wa Mungu
-
12:31 - 12:35Sasa ni muda wako
-
12:35 - 12:39Mwanamke alietokwa damu
-
12:39 - 12:42Alifika kumshika Yesu
-
12:42 - 12:47Ni Imani Yake iliyo mponya kabisa
-
12:47 - 12:53Naomba Imani yako ikuweke huru leo
-
12:53 - 12:57Nakuombea Imani yako ikukomboe leo
-
12:57 - 13:06Nakuombea Imani yakoikuokoe Leo, Katika Jina Kuu la Yesu
-
13:06 - 13:13Sasa hivi, naamuru Roho zote zinazofanya kazi katika Maisha yako
-
13:13 - 13:17Kutoka nje katika Jina la Yesu Kristo
-
13:17 - 13:19Toka nje katika Jina la Yesu Kristo
-
13:19 - 13:24Roho zote zinazofanya kazi kichwani kwako, Toka nje Sasa hivi
-
13:24 - 13:28roho zote, zinazofanya kazi kwenye ulimi wako, Toka sasa
-
13:28 - 13:33roho zote zinazofanya kazi katika macho yako, Toka nje Sasa
-
13:33 - 13:38roho zote zinazofanya kazi katika masikio yako, Toka nje Sasa
-
13:38 - 13:47Toka nje Toka nje katika Jina la Yesu Kristo
-
13:47 - 13:52Eneo lolote Kati a Maisha yako
-
13:52 - 13:56roho chafu zinazofanya
-
13:56 - 14:00Kwenye biashara, kwenye kazi
-
14:00 - 14:06Kwenye fedha, kwenye ndoa, kwenye familia
-
14:06 - 14:11Toka nje, Toka nje Sasa, Katika Jina Kuu la Yesu
-
14:11 - 14:19Na kuwe huru na uwe huru sasa
-
14:19 - 14:26Bwana Yesu Kristo, Neno lako linathibitisha uhuru
-
14:26 - 14:29Neno lako linadai uhuru
-
14:29 - 14:34Sasa hivi, ninadai udhuru Sasa hivi
-
14:34 - 14:38Udhuru kwa roho yangu, udhuru kwa nafsi yangu
-
14:38 - 14:42
-
14:42 - 14:47Uhuru kwa mwili wangu, Uhuru kwa roho yako
-
14:47 - 14:51Uhuru kwa roho yako. Uhuru kwa mwili wako
-
14:51 - 14:57Katika Jina kuu la Yesu Kristo
-
14:57 - 15:00Asante Yesu kwa uhuru wako
-
15:00 - 15:03Asante Yesu kwa uhuru wako
-
15:03 - 15:07Asante Yesu kwa nguvu za uponyaji wako
-
15:07 - 15:14Watu wa Mungu anzeni kusherekea ndani ya uhuru kamili
-
15:14 - 15:19Na tembea ndani ya mwanga wa uhuru wako
-
15:19 - 15:24Furahia sababu Yesu Kristo amesema ni wako
-
15:24 - 15:27Ni wako kabisa.
-
15:27 - 15:30SHUHUDA
-
15:30 - 15:31Habari Jina langu ni Victoria makene.
-
15:31 - 15:33Ni mwana chuo wa miaka 20
-
15:33 - 15:35Naishi uingereza
-
15:35 - 15:38Mwezi wa kumi 2021
-
15:38 - 15:42Nilikua nafanya mazoezi ya mpira wa kikapu chuoni kwangua
-
15:42 - 15:46Na nikapasuka ACL, na viungo vyao ndani
-
15:46 - 15:48Nikachanika kabisa
-
15:48 - 15:49Usiku ule, nilipewa magongo
-
15:49 - 15:53Nilitumia magongo haya kwa wiki kadhaa
-
15:53 - 15:59Bila haya sikuweza kutembea
-
15:59 - 16:05Madaktari waliniambia njia pekee ya mimi kushiriki kwenye
-
16:05 - 16:09Shughuri za ki mwili au kukimbia ni kufanya upasuaji wa ACL
-
16:09 - 16:15Ni upasuaji makini Sana na ingenichukua muda mrefu Sana kupona
-
16:15 - 16:17Lakini naamini kama mkristo nilie zaliwa kwa Mara ya pili
-
16:17 - 16:20Ni nzuri zaidi kumtafuta Mungu kwanza
-
16:20 - 16:25Hivyo nikaamua kuwatafuta God's heart TV na kuwaambia kuhusu Hali yangu
-
16:25 - 16:28Kabla ya maombi haya
-
16:28 - 16:32Nilikua nasikia vibaya kwenye got langu
-
16:32 - 16:35Sikuweza kwenda popote bila kidude cha kuvaa kwenye goti
-
16:35 - 16:37Wakati wa maombi nilifunga macho
-
16:37 - 16:39Nilikua naomba na ndugu Chris
-
16:39 - 16:43Nilimruhusu Mungu kuchukua kwangu na mimi kuchukua kwake
-
16:43 - 16:47Nilikua naomba, nikashika magoti yangu
-
16:47 - 16:49Nikamuona ndugu Chris akigusa kioo
-
16:49 - 16:51Sikusikia chochote
-
16:51 - 16:54Lakini baada ya maombi alipo Sema upo huru
-
16:54 - 16:56Nikatoa kidude kwenye goti, nikalisikia goti langu
-
16:56 - 17:00Nikaamua kwenda kwenye korido na kuanza kukimbia juu na chini
-
17:00 - 17:01Na kuanza kuruka
-
17:01 - 17:04Sisikii maumivu au kusita Sita kama zamani
-
17:04 - 17:07Na tangu hapo nilijua nipo huru
-
17:07 - 17:10Naweza kuruka
-
17:10 - 17:11Naweza kukimbia
-
17:11 - 17:15Asante Yesu
-
17:15 - 17:17Baraka katika Jina la Yesu
-
17:17 - 17:22Jina langu ni Viviena kutoka Honduras
-
17:22 - 17:28Nataka kuwaambia kabla hata ndugu Chris hajaanza kuomba
-
17:28 - 17:37Nilianza kusikia muujiza, Amani ilitawala moyoni mwangu
-
17:37 - 17:40Nikaanza kusikia uwepo wa Mungu
-
17:40 - 17:47Katika maombi nilitapika vitu vichachu kutoka mdomoni mwangu
-
17:47 - 17:53Na nimepona katika Jina la Yesu, nasikia Amani kamili ndani ya Moyo wangu
-
17:53 - 17:54Namtukuza Yesu
-
17:54 - 17:56Asante Yesu
-
17:56 - 17:58Nakupenda Yesu
-
17:58 - 18:02Habari Jina langu ni Samantha na ninatokea Trinidad na Tobago
-
18:02 - 18:05Kwanza, napenda kumshukuru Mungu kwa NEEMA ya kuungana na ndugu Chris
-
18:05 - 18:08Kwa maombi
-
18:08 - 18:11Wakati wa maombi, mwishoni ndugu Chris alisema
-
18:11 - 18:14Kila kitu kilicho kinyume na Mungu lazima kitoke
-
18:14 - 18:17Roho ilitokea ndani yangu ikajidhihirisha na kusema
-
18:17 - 18:19Kwamba haitoki
-
18:19 - 18:23Na nikaanza kutetemeka sana
-
18:23 - 18:27Tulipoendelea na maombi ikatoka
-
18:27 - 18:33Na nikaanza kujiona mwepesi na nikatapika vitu vya sumu
-
18:33 - 18:35Napenda kumshukuru Mungu kwa hilo
-
18:35 - 18:41Habari, naitwa Miriam Mkwena, kutoka Afrika ya kusini
-
18:41 - 18:48Nilikua na shida ya magoti
-
18:48 - 18:52Usiku, sikuweza kulala vizuri sababu ya maumivu
-
18:52 - 18:57Maumivu yalikua yaanzia kwenye paja hadi chini
-
18:57 - 18:59Ilikua mbaya sana
-
18:59 - 19:04Wakati anaomba, nilisikia umeme ukipata ndani ya mwili wangu
-
19:04 - 19:10Kila Mahali, hata kwenye magoti umeme ulipita
-
19:10 - 19:14Baadae nikasikia gani, kama nataka kupoteza fahamu
-
19:14 - 19:19Gafla nikasikia kama nataka kukojoa
-
19:19 - 19:22Nikaanza kukohoa
-
19:22 - 19:26Nilikohoa mate mate
-
19:26 - 19:31Baada ya hapo niliinamisha magoti, niliona kabisa nimepona
-
19:31 - 19:34Nikatoa vidude vya magoti
-
19:34 - 19:37Kama unavyoona nimevishika mkononi
-
19:37 - 19:41Nikaanza kuruka na kumsifu Mungu
-
19:41 - 19:42Nakushukuru Mungu kwa uponyaji
-
19:42 - 19:46Na Sasa Hakuna tena
-
19:46 - 19:49Natupa hivi
-
19:49 - 19:54Kama unavyoona naweza kutembea
-
19:54 - 19:57Sasa naweza kuruka
-
19:57 - 20:03Nafanya mazoezi hata kuinama
-
20:03 - 20:05Nimeponywa
-
20:05 - 20:06Asante Yesu
-
20:06 - 20:11Jina langu ni Marcela kutoka Peru
-
20:11 - 20:16Katika maombi
-
20:16 - 20:19Nimepokea uhuru na uponyaji
-
20:19 - 20:23Nimepona kutoka kwa gastritis na vidonda vya timbo
-
20:23 - 20:28Nimetapika hivi vitu
-
20:28 - 20:32Nilisikia moto wa nguvu za Mungu
-
20:32 - 20:36Nimepona na nipo huru kwa utukufu wa Mungu
-
20:36 - 20:38Jina langu ni Antonia, natokea Ukraine
-
20:38 - 20:41Na mshukuru Sana Mungu
-
20:45 - 20:53Kwa nafasi hii ya kuombewa na ndugu Chris
-
20:53 - 20:59Katika maombi haya, nimekombolewa
-
20:59 - 21:06Na vitu vya simu vimetoka ndani yangu
-
21:06 - 21:13Baada ya hayo nikahisi wepesi na furaha Kubwa ndani yangu
-
21:13 - 21:17Namshukuru Sana Mungu
-
21:17 - 21:21Jina langu ni Lylyana, natokea Ukraine
-
21:21 - 21:24Asante kwa maombi kwa ajili ya watu wa Ukraine
-
21:24 - 21:28Asante Sana kwa maombi yako
-
21:28 - 21:31Wakati wa maombi nilikua natapika
-
21:31 - 21:34Na vitu vyeupe vilitoka kutoka kwangu
-
21:34 - 21:43Nabii Chris alipokua anaomba, nilisikia furaha na raha
-
21:43 - 21:46Asante Sana Asante kwa kila kitu
-
21:46 - 21:47Tunafuraha sana
-
21:47 - 21:53Habari za asubuhi, Emmanuel
-
21:53 - 21:57Jina langu ni Jeanly kutoka Afrika ya kusini
-
21:57 - 22:01Nataka kumshukuru Mungu kwa Yale aliyofanya maishani mwangu
-
22:01 - 22:04Nilipojiunga na maombi jumamosi
-
22:04 - 22:08Ndugu Chris alipokua akituombea na kuhakikisha
-
22:08 - 22:11Nilitapika kila kichafu ndani yangu
-
22:11 - 22:14Nilikua naumba kichwa sana
-
22:14 - 22:15Yalikua maumivu makali mno
-
22:15 - 22:17Hata mifupa yangu iliuma
-
22:17 - 22:19Baada ya kutapika kila kitu
-
22:19 - 22:23Niamnini sisikii kitu chochote
-
22:23 - 22:26Kila maumivu yametoweka na nimekua mpya
-
22:26 - 22:31Na kama Mungu amenifanyia hivyo anaeweza kukufanyia na wewe
-
22:31 - 22:35Tunatakiwa kua na Imani na kuamini
-
22:35 - 22:36Habari za asubuhi
-
22:36 - 22:40Jina langu ni Jane naishi ufaransa
-
22:40 - 22:44Ushuhuda wangu ni
-
22:44 - 22:47Nilikua na shida ya meno
-
22:47 - 22:52Sikuweza kula chakula vizuri
-
22:52 - 22:57Hata kula cake kilinipa maumivu makali sana
-
22:57 - 22:59Meno na fidhi zangu ziliuma sana
-
22:59 - 23:01Sasa najisikia vizuri
-
23:01 - 23:04Wakati ndugu Chris alipokua akituombea
-
23:04 - 23:13Nilisikia mwanga, joyo ndani ya kichwa changu, macho na uso
-
23:13 - 23:14Na nikaanza kutapika
-
23:14 - 23:21Unaweza kuona nilivyotapika
-
23:21 - 23:25Asante Yesu kwa uponyaji wangu
-
23:25 - 23:27Mimi ni Grace kutoka ufilipino
-
23:27 - 23:31Sasa nipo hapa Qatar
-
23:31 - 23:35Kutokana na uzoefu wangu na TV ya God's heart
-
23:35 - 23:44Nilisikia joto kubwa ndani yangu na nikaanza kutapika
-
23:44 - 23:48Siwezi kuelezea nini kilitokea ndani ya mwili wangu
-
23:48 - 23:51Na nikaanza kutapika
-
23:51 - 23:56Sijui nini kimetokea
-
23:56 - 23:58Namshukuru Mungu
-
23:58 - 24:04Najua ameniweka huru kwa Jina la bwana wetu Yesu Kristo
-
24:04 - 24:09Hallelujah, Asante Yesu
-
24:09 - 24:11Jina langu ni Gert
-
24:11 - 24:14Natokea Afrika ya kusini
-
24:14 - 24:28Wakati wa maombi nilitapika vitu vingi
-
24:28 - 24:33Naweza kusema, Sina maumivu ya kifua tena
-
24:33 - 24:38Goti langu ni 100%
-
24:38 - 24:41Hakuna maumivu tena
-
24:41 - 24:50Nasikia 100%,nasikia huru, nimeponywa mimi ni mpya
-
24:50 - 24:52Utukufu kwa Mungu
-
24:52 - 24:56Jina langu ni Haydee kutoka costa Rica.
-
24:56 - 25:00Namshukuru Mungu kwa siku hii njema
-
25:00 - 25:05Kupitia ndugu Chris nimepokea uponyaji wangu
-
25:05 - 25:11Kutoka kwenye maumivu ya mkono
-
25:11 - 25:16Leo, Mungu ameniponya na kunifikia kwa rehema zake
-
25:16 - 25:19Jina langu ni Amosi kutoka Zambia
-
25:19 - 25:24Nataka kumshuhudia uzuri wa Bwana katika Maisha yangu
-
25:24 - 25:31Kwa Yake ambayo Mungu amefanya ndani yangu
-
25:31 - 25:35Mtumishi wa Mungu alipokua akituombea
-
25:35 - 25:39Nilisikia uwepo wa Mungu kwa ukuu sana
-
25:39 - 25:42Alipokua akituombea
-
25:42 - 25:47Nilijikuta na tapika vitu
-
25:47 - 25:50Baada ya kutapika Sasa najisikia huru na mwepesi
-
25:50 - 25:53Nasikia Sawa ndani ya Moyo wangu
-
25:53 - 25:55Nina Amani
-
25:55 - 25:57Habari Jina langu ni Dina
-
25:57 - 26:00Nilijiunga na maombi kutoka Canada
-
26:00 - 26:07Nataka kumshukuru ndugu Chris kwa kuruhusu Mungu amtumie
-
26:07 - 26:10Kufikia watu wengi ulimwengu wote
-
26:10 - 26:15Nina furaha Sana, na kupata nafasi ya kua mmoja wako
-
26:15 - 26:18Na wale waliojiunga na maombi leo
-
26:18 - 26:21Wakati wa maombi
-
26:21 - 26:24Moja kwa moja ndugu Chris akaanza kuomba
-
26:24 - 26:27Nilisikia kitu kikitoka mwilini mwangu
-
26:27 - 26:30Najisikia mwepesi sana
-
26:30 - 26:32Nasikia Amani ndani yangu
-
26:32 - 26:37Najua Amani hii I naweza kutoka kwa Mungu tu
-
26:37 - 26:39Nasikia kupumzika najisikia furaha
-
26:39 - 26:43Kama mzigo umetolewa kutoka kwangu
-
26:43 - 26:46Nataka kumshukuru Mungu kweli kwa ajili ya Uponyaji wangu
-
26:46 - 26:47Asante Yesu.
-
26:47 - 26:49Jina langu ni Jayson na make wangu Lorna.
-
26:49 - 26:51Tunatokea Ufilipino
-
26:51 - 26:55Tatizo kabla ya maombi nilikua na henia
-
26:55 - 26:58Hernia mwili mzima
-
26:58 - 26:59Na mwili mzito sana
-
26:59 - 27:02Hips zangu zilikua zinauma sana
-
27:02 - 27:07Na make wangu alikua anaumwa hips na magoti na
-
27:07 - 27:12Mawazo ya hasira kila siku
-
27:12 - 27:19Wakati wa maombi, tulipoomba to a kwa ajili ya Dhabi zetu na
-
27:19 - 27:22Nilimuomba Yesu msamaha
-
27:22 - 27:28Nilisikia kama upepo ukishika kichwa changu
-
27:28 - 27:31Na nikalisikia kutapika
-
27:31 - 27:34Baada ya maombi, imekwisha
-
27:34 - 27:35Hakuna maumivu tena
-
27:35 - 27:37Hernia yangu haikui
-
27:37 - 27:42
-
27:42 - 27:45
-
27:45 - 27:47
-
27:47 - 27:54
-
27:54 - 27:56
-
27:56 - 28:05
-
28:05 - 28:10
-
28:10 - 28:12
-
28:12 - 28:16
-
28:16 - 28:22
-
28:22 - 28:27
-
28:27 - 28:31
-
28:31 - 28:36
-
28:36 - 28:41
-
28:41 - 28:47
-
28:47 - 28:51
-
28:51 - 28:55
-
28:55 - 28:58
-
28:58 - 29:01
-
29:01 - 29:04
-
29:04 - 29:09
-
29:09 - 29:14
-
29:14 - 29:16
-
29:16 - 29:19
-
29:19 - 29:24
-
29:24 - 29:27
-
29:27 - 29:31
-
29:31 - 29:34
-
29:34 - 29:37
-
29:37 - 29:40
-
29:40 - 29:43
-
29:43 - 29:45
-
29:45 - 29:48
-
29:48 - 29:53
-
29:53 - 29:57
-
29:57 - 30:04
-
30:04 - 30:06
- Title:
- UPONYAJI WA PAPO HAPO na Ukombozi / maombi ya mtandaoni / nchi zaidi ya 50
- Description:
-
shuhudia nguvu kuu za Mungu, zikisambaa kwa wote walio jiunga kutoka nchi zaidi ya 50 duniani, katika maombi ya moja kwa mija na Ndugu Chris ndani ya God´s heart TV studio ndani ya north wales, uingereza!
katika jian la Yesu Kristo, kuna udhihirisho usio wa kawaida wa uponyaji wa papo hapo na ukombozi - cheni za shetani zinapo katika na mateso yake kutolewa nje,! kaa tayari kupokea muujiza wako pale unapojiunga n ibada hii katika jina la Yesu.
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 30:18
![]() |
GenovevaJohn edited Swahili subtitles for INSTANT Healing & Deliverance! | Online PRAYER! | 50+ Countries � | |
![]() |
GenovevaJohn edited Swahili subtitles for INSTANT Healing & Deliverance! | Online PRAYER! | 50+ Countries � | |
![]() |
GenovevaJohn edited Swahili subtitles for INSTANT Healing & Deliverance! | Online PRAYER! | 50+ Countries � | |
![]() |
GenovevaJohn edited Swahili subtitles for INSTANT Healing & Deliverance! | Online PRAYER! | 50+ Countries � | |
![]() |
GenovevaJohn edited Swahili subtitles for INSTANT Healing & Deliverance! | Online PRAYER! | 50+ Countries � | |
![]() |
GenovevaJohn edited Swahili subtitles for INSTANT Healing & Deliverance! | Online PRAYER! | 50+ Countries � | |
![]() |
GenovevaJohn edited Swahili subtitles for INSTANT Healing & Deliverance! | Online PRAYER! | 50+ Countries � | |
![]() |
GenovevaJohn edited Swahili subtitles for INSTANT Healing & Deliverance! | Online PRAYER! | 50+ Countries � |