Basic Trigonometry
-
0:01 - 0:02kwenye video hii nataka kuelezea juu ya
-
0:02 - 0:06trigonometriki
-
0:06 - 0:09inaonekana kua ngumu
-
0:09 - 0:11ila kadiritutavo jifunza utaona urahisi wake kama somo linalohusu
-
0:11 - 0:15mlinganyo pande za umbo pembe tatu
-
0:15 - 0:18neno trig linasimama kama triangle yaani "umbo pembe tatu"
-
0:18 - 0:21na metric linasimama kama measuments yaani "vipimo"
-
0:21 - 0:24"vipimo.ngoja nikupe maelekezo
-
0:24 - 0:27itakupa nafasi ya kuelewa zaidi
-
0:27 - 0:28tiufanye mchoro wa umbo pembe tatu,kwahiyo ntaanza chora
-
0:28 - 0:32umbo pembe tatu
-
0:32 - 0:34ninaposema umbo pembe ta